Dr.Elie V.D Waminian - (Sababu Za Migogoro) Sehemu Ya Pili.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Kwa MaonI, Ushauri Wasiliana Nasi Kwa Simu Namba (0747-744744 CHOMOZA MEDIA LIMITED) Au Kwa Barua Pepe Email. chomozamaoni@gmail.com
    Pia Unaweza Kutupata Facebook ChomozaTV Na Istagram ‪@chomozanews2707‬
    Mungu Wetu Wa Mbiguni Akubariki......Endelea Kujifunza Na Kushare Mafundisho Haya Kwa Rafiki Na Nduguzo.

ความคิดเห็น • 34

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 9 หลายเดือนก่อน +2

    "Silaha mbaya Dunian anayotumia shetani kuharibu jamii ni ujinga" ... i love that
    Na Ujinga ni kujua Vibaya..
    Mbarikiwe sana.. nafuatilia masomo haya kwa ukaribu sana

  • @mwlyohana4058
    @mwlyohana4058 7 ปีที่แล้ว +5

    jaman nabarikiwa sana na Dr.Ellie,naomba kupata vitabu vyake

  • @stelapiusnkini5838
    @stelapiusnkini5838 7 ปีที่แล้ว +2

    Mi napenda sana kaul zako mojawapo ni hii usipende kumtaja sana shetan mtaje sana Yesu

  • @husnasiraji9298
    @husnasiraji9298 5 ปีที่แล้ว +3

    Daah kweli mahusiano mazuri yanajengeka wakati wa shida

  • @afomabula8487
    @afomabula8487 6 ปีที่แล้ว +2

    mafundisho ya dr.Ellie yananibariki sana

  • @naiyanaeshongo1958
    @naiyanaeshongo1958 6 ปีที่แล้ว +3

    ukweli kabisa,, i do love this teaching may you live long to teach many

  • @benitoluvanda6853
    @benitoluvanda6853 7 ปีที่แล้ว +2

    Hekima ni uwezo wa kutambua tofauti

    • @chomozatv_
      @chomozatv_  7 ปีที่แล้ว +1

      Karibu sana Benito Luvanda Uncle Jimmy Tz

  • @johnchristophermahugi
    @johnchristophermahugi 7 ปีที่แล้ว +1

    Uncle Jimmy muongezeeni muda Dk. Elie V.D Waminian hakika anatoa madini ambayo ni adhimu sana. muda tu hautoshi jamani.

  • @saidinikipingi8783
    @saidinikipingi8783 7 ปีที่แล้ว

    mungu ambariki sana mtumishi wa mungu

  • @kavoomshana2413
    @kavoomshana2413 7 ปีที่แล้ว

    nakufualia sana doctor napenda sana ushauri wako

    • @jamestemu969
      @jamestemu969 7 ปีที่แล้ว

      Kaka Kovoo Mshana asante kwa comment yako

  • @boazysanga6320
    @boazysanga6320 4 ปีที่แล้ว

    Thanks for your lesson dr. 🙏

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 7 ปีที่แล้ว

    Dr ..napenda sana kukusikiliza huwa sitoki hivihivi

  • @justinwashington823
    @justinwashington823 7 ปีที่แล้ว +2

    Uncle Jimmy jumapili ya tarehe 23/7/2017Wakati mnaanza session na dk Elie mwanzoni mmepoteza kama dk 4 wewe na moses mkiongelea mnavyovaa mmenikera sana huo ni mda wa dk mliokula ambao angeweza kuongelea vitu ving vya kitaalam kama anavyofanya punguzeni stori mwacheni doctor awe na mda mrefu kidogo

    • @Coachsamwel
      @Coachsamwel 9 หลายเดือนก่อน

      Sijapenda namna ulivyoattack hawa watumishi.. ni binadamu wenye hisia sio maroboti

  • @albinoentreprises2176
    @albinoentreprises2176 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna mafundhisho yoyote ya makanisani unayoweza kuyapata ya kuzidi haya ya Dr. Elie . Mimi huwa nafuatilia hata wahubiri wa kimataifa kama akina TB JOSUA

  • @hnbjkjn4344
    @hnbjkjn4344 7 ปีที่แล้ว

    mubarikiwe sana

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 2 ปีที่แล้ว

    Kujua ni vibaya lakini kuna wakati ni muhimu. Kwani unaweza kuendela na ujinga mwisho unaangamia. Bora ujue ili ukamate hatua nyingine. Kwa mufano pastor mukeo au mumeo akiwa msharati ni vizuri kujua ili upana namna ya kujikinga kwa kumufukuza au kuwa makini nawale ambao wanatembea nae. Bila ivo utakufa bure.

  • @salumshabansalum9732
    @salumshabansalum9732 7 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 2 ปีที่แล้ว

    Kutokutambua tafauti nu ujimga kweri pastor unaweza.

  • @bonmanevarister8930
    @bonmanevarister8930 7 ปีที่แล้ว +2

    kaka james naomba mahubiri ya dr ellie ya ijumaa kuu yalikuwa live hapo 360 clousure please naomba uturushie

  • @saumuawadhi8032
    @saumuawadhi8032 7 ปีที่แล้ว

    asnte Uncle jimmy

    • @jamestemu969
      @jamestemu969 7 ปีที่แล้ว

      Saumu awadhi karibu tena na tena Uncle Jimmy TZ

    • @mj.tv.forpeople992
      @mj.tv.forpeople992 7 ปีที่แล้ว

      Natamani nipate vitabu vyake

    • @neymarmbilinyi9735
      @neymarmbilinyi9735 6 ปีที่แล้ว

      kipindi hiki KUNA JAMAA hayupo hapo bwana SASALI mising kubwa SANA YAN duh

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 7 ปีที่แล้ว

    Jm tunapataje vitabu vyake huyu dr but vya swalihi

    • @chomozatv_
      @chomozatv_  7 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa comment yako mwamin Ngabo TV

  • @nelibaba
    @nelibaba 7 ปีที่แล้ว

    dah! watu makini nyie

  • @bongetpinto2742
    @bongetpinto2742 7 ปีที่แล้ว

    Uncle Jimmy mahojiano na Dr ya tarehe 23 July 2017 umeshapost? mbona nashindwa kuipata?

  • @miriamonyango1828
    @miriamonyango1828 7 ปีที่แล้ว

    Jm naomba namba ya Dr ninashida nae binafsi naomba sana kaka Jimmy... no yangu n 0765075030

  • @williamnchimbi4482
    @williamnchimbi4482 7 ปีที่แล้ว

    anatoa vitabu namkubali sana