Ukitawala Yesu - Army Of Cherubim Praise Team (Casfeta Tayomi MoCU PT)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- #armyofcherubim #Ukitawalayesu #Casfetatayomimocu
Ufunuo 21:3-4
“Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atakaa pamoja nao. Watakuwa watu wake, naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao, na kuwa Mungu wao. Atapanguza kila chozi katika macho yao. Mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.”
Isaya 35:8-10
“Na patakuwa na njia kuu, na njia, nayo itaitwa Njia ya Utakatifu; mwenye najisi hataipita kamwe; bali watakatifu ndio watakaoiendea; hata wapumbavu hawatapotea njiani. Hapo hapatakuwa na simba, wala mnyama mkali hatakuwepo; hawataonekana huko, lakini waliokombolewa watakwenda huko. Na waliokombolewa wa Bwana watarudi, watakuja Sayuni wakiimba; na furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao; watapata furaha na shangwe, na huzuni na kuugua zitakimbia.”
Songwriter & Composer: Azimio Mpobota
Leader: Azimio Mpobota
MD (First Keyboard): Ezra Maliga
Second Keyboard: Nicky keys
Third Keyboard: Mathias Kamwela
Drums: Oscar Drummer.
Bass: Benny Bariki
Solo Guitar: Agape Gwimo
𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Daddy Media
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Vanny HD
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: George Ndege (Geox Production)
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: Bishop Dickson Mtalitinya
Venue: MTBC Ministry (Moshi - Kibororoni)
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Gift (G Sound)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Tumaini
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: bro tuma
𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Army of cherubim praise team
Facebook: Army of cherubim praise team
TikTok: Army of cherubim praise team
𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 748310448
Email: armyofcherubimpraiseteam@gmail.com
©️2025
Aisee kuna namna 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 MBARIKIWE MNOOOOOO NAWAFURAHIA AA SANAAA MUNGU AZIDI KUWATUNZA
Ubarikiwe pia mtumishi,
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Hongereni sana Majeshi ya Bwana
Kazi yenu ni njema Bwana awainue zaidi na kuwafikisha juu zaidi
❤❤❤❤
Kwa niaba ya majeshi ya bwana NASEMAJEEE NASEMAJEEE UBARIKIWE SANA
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hongeren sana vijana
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Let everything that has breath praise the Lord. Amen
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Lets God be the controller 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Kazi nzuri sana 💯💯
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Hongereni sana,Mungu awainue zaidi katika Jina la Yesu
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Wimbo mzuri Sana ❤❤❤❤, MUNGU awabariki Sana ndugu zetu Army of cherubim
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Yes yes yes so powerful 🙌🙌🙌🙇🙇
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
in deed your ministry is a blessing, akitawala Yesu everything changes 🎉🎉
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Ukitawala yesu👍🔥
#yesu ameshinda
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
This team🎉🎉🎉
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Wooow.....MAY GOD BLESS YOU ARMY OF CHERUBIM😍
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Let us make Jesus famous
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Hii inapendeza saana hongera vijana
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Glory to Jesus , 💯 Mbarikiwe mno na Bwana azidi kuwatumia na kuwainua zaidi . #Imo nguvu kwako Yesu.
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Utukufu kwa Jehovah
Mungu awabariki Sana na awaongeze Hadi kwenye viwango vya ubora wa kimungu
This is so powerful🙏🙏🙏🙏💪, akitawala Yesu ni ushindi tu
Hongera sana Mungu awabariki😊
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
When JESUS reign every thing become Changed. Blessed too much MOCU Praise team
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
🎉🎉
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
❤🔥🔥hakika Mungu amewekeza huduma hii awatumie zaidi ,mfikie kusdi lile na kuwatumia viwango ndani na nje ya nchi,huduma hii iwake ña roh mtakatfu azdi ichochea ndab ndan yenu
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Azimio.... It is wonderful my young brother.
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Ohhhh ukitawala Yesu.....
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Mungu awazidishe katika huduma yenu wimbo mzuri
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Mungu awabariki sana🙏
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Hakika Yesu anabadilisha tumruhusu atawale yaliyomagumu yatabadilika yakale yanapita mbarikiwe sanaa watumishi kwa kazi nzuriii
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Amina sana 🎉🎉
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Ndiye mflame wa amani
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
pongezi sana kwenu mungu azidi kuwapeperusha juu
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Ipo nguvu nani ya YESU
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Big Amen . May our Lord be praised 🎉🎉🎉
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Be blessed
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
🔥🔥🔥🔥
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Be blessed you all! ❤❤
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Bwana azidi kukuinua na kukutunza viwangi hadi viwango
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
🎉🎉 congratulations
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
hongera sana sana keep it up
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Amen hongera sana
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Oooooh hallelujah 🥰
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Mungu awabariki kwa kazi njema ❤
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Mbarikiwe sana 🔥🔥
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
❤❤❤❤❤❤❤❤
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Congratulations 🎉
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Hongera 🎉
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Bwana azidi kukuinuz kaka na kukutunza viwangi hadi viwango
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
Mbona hakuna sehemu ya kukomenti??
Anyway utukufu mwingi hadi unamwagika😂
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...
🔥🔥🔥🔥🔥
Aimen,,, Utukufu Kwa MUNGU...