RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGA MKUTANO MKUU WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI KWA MWAKA 2024 NA…

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba, 2024.

ความคิดเห็น • 11

  • @KhalidMlinga
    @KhalidMlinga วันที่ผ่านมา +3

    Mama hongera. Hata iweje yuko na wewe hata wachoshe haijalishi iko siku wataondoka mitano tena.

  • @KhalidMlinga
    @KhalidMlinga วันที่ผ่านมา +1

    Ungebahatika kupata wateule wabunifu wanateremka chini kusaidia wanyonge kama makonda nchi indefinable mbali tuombe mungu itatokea ❤

  • @FurahaAndrea-l8d
    @FurahaAndrea-l8d วันที่ผ่านมา

    BIG UP SANA MOTHER

  • @AbdulghanKhamis
    @AbdulghanKhamis 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuilinde tunu ya amani yetu kwa nguvu zone, wanaohamasisha machufuko, tusomeni kwa ndugu zetu Libya.
    Hongera mama kwa kazi nzuri unayoifanya. 2025 Tunawasha kijani tunazima zote. Mitano Tena

  • @mohamedhaji9950
    @mohamedhaji9950 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Mh. Raisi kwa kazi nzuri.

  • @JeremiahMwakanyamale
    @JeremiahMwakanyamale วันที่ผ่านมา

    mungu yupo juu ya yote na anatazama vyema. kama ni haki anabariki kama SI Haki chamtemakuni chaja,,ogopa msaada wa mungu kwawanyonge.

  • @99graphix
    @99graphix วันที่ผ่านมา +3

    Miaka 5 tena

  • @eshanfrancis4275
    @eshanfrancis4275 วันที่ผ่านมา

    💪💪💪🙏

  • @HabilyTech
    @HabilyTech วันที่ผ่านมา

    📍😥😥😥😥