RCO WA MBEYA (KANTIMBO) DHAMIRA YAKO NI KUWAUA SIFA NA HEZEKIA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Ibada Iliyoongozwa na Mch. Mbarikiwa Mwakipesile.
    Sisi kwetu injili ni kuongea na kukemea maaovu na uovu na
    KWA MAWASILIAMO ZAIDI PIGA SIMU
    0655436603 au 0769015164

ความคิดเห็น • 35

  • @janechengula2833
    @janechengula2833 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja nawewe Mungu wahaki🎉

  • @rajabusaimon7662
    @rajabusaimon7662 ปีที่แล้ว +2

    Mama yangu Samia hebuguswa na hawa watu nao wakapate fulaha katika maisha Yao najuwa uwezo unao mungu akupe nguvu utamke neno hapo

  • @NokorenKuluo-xd7wn
    @NokorenKuluo-xd7wn ปีที่แล้ว +3

    Kwa yoyote anaye ratibu zoezi la watumishi wa mungu kuteswa bila sababu hakika mda si mrefu mtavuna mchilicho panda hasema bwana wa majeshi hakika machozi wa Wana wamungu mutaona mungu tenda

  • @alexanderbarnaba7647
    @alexanderbarnaba7647 ปีที่แล้ว +3

    Songa mbele kwajina la yesu amini utavuna uzima na fahari hayo yana mwisho we vumilia

  • @ThaisonMsuya
    @ThaisonMsuya ปีที่แล้ว +1

    Hakika mungu amesikia kilio na naamini ktk kristo yesu mwana wake machozi yenu hayatakuwa Bure mungu analeta adhabu naye hakawii ole ole ole ole. Ole ole ole wenu wenye mioyo migumu maana mungu hataghari hata kdgo juu yenu mnaotesa kanisa lake

  • @georgesimwanza54
    @georgesimwanza54 ปีที่แล้ว +3

    Ivi tz tukoje hatujaona kilio chamchungaji uyu maasikofu mko wap?wachungaji mko wap?waimbaji mko wap?duu atawatanzania tumekaa kimya opendo wetu uko wap?nimeamini wa Tz tunaupendo wakinafiki,ila ipo xiku Leo kwambalikiwa kesho kwako

  • @evaemil856
    @evaemil856 ปีที่แล้ว +2

    WaTanzania wote na Nchi jirani pamoja na wanaotetea haki duniani na nchi rafiki na Tanzania ingilieni jambo hili na kutetea demokrasia Ya kweli.

    • @suzankarambo3325
      @suzankarambo3325 ปีที่แล้ว +1

      Hakika. Kabisa maana Sheria ya. Mtu. Mwenye khaki ni. Uwovu. Kwa. Mtenda. Maovu. Yaani inasikitisha. Sanaa. Mtu. Akisema. Ukweli. Mtu. Uyo ni. Muovu
      Kweli. Mungu. Atalipa. Kisasi. Juu ya. Haya. Mateso

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

      hao wengine wameuchuna wanaona huko hakuna bahasha.
      bila mshiko ni tatizo

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn ปีที่แล้ว +2

    UNAWEEZAA UNAWEEZAA BWANA UNAWEZA,AAAMINA AAAMINA AAAMINA.

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +2

    WANAMBEYA NI WANAMAPINDUZI.
    TUNAWASUBIRI MUANGAZE NURU KILA KONA YA TANGANYIKA TAA YA NURU IKO KWA WANAMBEYA MSIRUDI NYUMA TUKO NYUMA YENU KUTETEA HAKI ZA KILA MTANGANYIKA

  • @EliatoshaLema-rw5hm
    @EliatoshaLema-rw5hm ปีที่แล้ว

    Hapo naona mwisho wa Rpc kuwa mbaya yeye na uzao wake.Mungu simama na Hawa watu wanaolia kwa ajili ya hao wadhalimu

  • @Saidmathayo-uv4gj
    @Saidmathayo-uv4gj ปีที่แล้ว

    Kanisan nimahali pa kutatua tatiso la mtu mojamoja au watu wote nawaliio nje ya kanisa kukemea dhambi sio mbaya sio Kila tatizo linasababishwa na dhambi hata wachawi wanaonea watu unatusaidiaje mm ni mumini wa kikozi Kaz injili

  • @MonicaCharles-nh1nm
    @MonicaCharles-nh1nm 10 หลายเดือนก่อน

    Yesu ingilia kati jambo lamtumishi wako.

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +1

    SEMA BABA SEMA USIOGOPE
    SISI WATANGANYIKA HATUOGOPI MAFISADI SEMA TUNA UHURU WA KUJIELEZA NI HAKI YA KILA BINADAMU.
    KILA NDIMI NA INENE KUWA HAKI ITENDEKE KWA TAIFA LETU
    WANAMBEYA HONGERENI
    MMEKUWA TAA YA TANGANYIKA.

  • @Atuganile-z5n
    @Atuganile-z5n 11 หลายเดือนก่อน

    Jsmani haki zabinadamu ziko wapi siku nne mtuhajala

  • @mcmwakipesile9930
    @mcmwakipesile9930 ปีที่แล้ว

    Umeabudisha vema na kumfanya mtu anayependa ibada kukaa mkao wa kupokea kutoka kwa Bwana ,baada ya maombi tu kilichofuata hapo ndipo penye shida,nakusihi mchungaji unao.upako ndani yako hubiri injili injili watu waokoke na hapo ndipo watatenda haki unayoidai,achana na harakati,siasa ,vijembe na kupambana na serikali unakosea Hubiri injili,mhukumu wa kweli Yesu anakuja hubiri injili.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

      injili anayohubiri ni kubwa sana ananena kwa vitendo na siyo maneno tu

    • @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
      @VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH ปีที่แล้ว

      Injili iliyoletwa na wazungu amekwachia wewe!!! Ila yeye anashughulika na injili iliyo na uwezo wa kuleta wokovu. Ko kama unaona haubiri basi liwashe wewe mwaki ili tunifunze kwako hiyo injili.

  • @evaemil856
    @evaemil856 ปีที่แล้ว +1

    Rais waache hawa watoto

  • @Saidmathayo-uv4gj
    @Saidmathayo-uv4gj ปีที่แล้ว

    Baba. Tunataka injili tumechoka sisa kanisan wachawi watatumaliza tumechoka sisi ni kikozi Kaz Cha injil

  • @RoziNkind-kk8re
    @RoziNkind-kk8re ปีที่แล้ว

    Mungu hamtupi majawapo atatenda

  • @Saidmathayo-uv4gj
    @Saidmathayo-uv4gj ปีที่แล้ว

    Mungu amekuweka Waz ww ni mwanasiasa sio mchungaji tena

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  ปีที่แล้ว +1

      Itakuwa ulichanja chanjo ya corona. Kwani hiyo ndiyo moja ya kazi yake

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

      kwani mchungaj anachunga nini? mwanasiasa ni kwa ajili ya nani?

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 ปีที่แล้ว

    mbarikiwa usishindane na serkal heshimu mamlaka hata kama unaona mambo yanaenda sivyo hawa wanao kamatwa waonee huruma yesu alikuwa kielelezo hakushindana nao walifanya kila waliye lifanya

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 ปีที่แล้ว

      MBARIKIWA HAPAMBANI NA MAMLAKA BALI ANAPAMBANA NA DHURUMA NA UONEVU UNAOFANYWA NA WANAOJIITA WENYE MAMLAKA AU SERIKALI

    • @zawadimwaibako4065
      @zawadimwaibako4065 ปีที่แล้ว

      Mbona yesu alimwambia mwenye mamlaka Herode MBWEHA.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

      hujui biblia wewe kaa kimya

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael ปีที่แล้ว

    NA HAPO PENYE PICHA CHAFU KWENYE MABANGO YA BARABARANI NINAKUUNGA MKONO.
    MAANA HAYO MABANGO YAMEBEBA KAZI ZA KUZIMU