Asante sana chief, sema E na L sio punda,, E ni Simba na L ni Samaki.Naongea kwa kujiamin kwani nimesoma kwa Masheikh wakubwa mojawapo ni Sheik YAHAYA HUSSEIN. Lakin sio mbaya tunabadilishana mawazo
Mm sikumbuki tarehe ya kuzaliwa lakini jina langu linaanza herufi ya M na kwenye kiganja changu cha mkono kuna herufi ya M sasa nitajuaje tarehe yangu ya kuzaliwa ikiwa mamaangu haikumbuki tarehe yangu ya kuzaliwa
Ningependa zaidi kujua kuhusu gemini wale kazaliwa may 21 mpaka june 21...natazama kutoka kenya
Uko vizuri sana brother
asante sana bro na tuanzidi kujifunza na kua na hasira za kupambana kupitia wew muhamasishaj wetu
J. nimekubali kiongozi nilitaka tuongee raivu mama kwakweli
Safi sana chf nakuelewa vzr sana brother
Chief Godlove nashukuru kwa ushauri na maelekezo, najufunza mengi kila wakati.Mungu akulinde kaka.❤❤
Asante Mr chief godlove
Nakuerewa Sanaaa Broo,
Nakubali kaka❤
Nakusikia boss wangu, kwakutumbuka nasi tunao angaka, nahaya maisha.
Salute mkuu
Hongera broo ,unatupa changamoto yakutafuta ela kiukweli
I agree Brother
I agree with you sir 100%
Nakuelewa mkuu
Bloo naitj kujuw meng naomba tuwasiliane prez nitaft kak
Fidd kim✌️👁️✌️💥✨
Mkuu uko vizuri
Godlove hivy vitabu kuhusu nyota vinapatikana vp
Nakukubari
Nahitaji sana kujua kuhusu nyota yangu naitwa amos
Naitwa Newton nyota yangu ni ipi hapo na siku gani ya bahati kwangu Chief
chief umeamua kutudanganyanyota haziko ivyo
Kaka nakukubali me napend kuelemich
Ukovzur sana chf
Chief swala la kusaidia kuliko kusaidiwa umenigusa mimi
🏁📿Bro
Leo nashukuru nimekuta nyota yangu niyapunda mana inaanza na m,
Unyama 😮😅😅
brother nipe namba nikupgie ili tuyajenge mi naka kutajirika
Nakubal kak unatupa njia
Chief Mimi Nina alama ya 5 kwenye mkono wangu waku Lia Ina maana gani
Aisehe me naitaji niingie kwenye group lako LA pesa ya nguvu ya pesaa
we fala now days unaongeah vitu conc.
My dear nisaidie nifanyaje ili nifanikiwe jina langu ni Amina
Asant chef
Safi brother
Duuu kka mkubwa hii noma sanaa
Kuna wengine tuna majina ya ukoo na yakikiristo je herufi gani inatakiwa ya ukoo au jina la kikiristo
Nakuelwa kuliko yeyote
Braza vp 6:32
Safi San br
Asante sana chief, sema E na L sio punda,, E ni Simba na L ni Samaki.Naongea kwa kujiamin kwani nimesoma kwa Masheikh wakubwa mojawapo ni Sheik YAHAYA HUSSEIN. Lakin sio mbaya tunabadilishana mawazo
One day
Awsh kuwa kama ww bro chief
Nimerewa
Saw
Sound effects problem
pamoja saaana mkuuu
Kwenda unasoma vitabu uje utubabaishe mimi mwenyew mpunga ninao
Hauna erim kaka nenda ukajifunze tena then uje
Kweli chif
Kaka naomba unifundishe ni namna gani ya kutoa kafara au sadaka ili namimi nibadili maisha yangu
Leta c inashiria nini
Ok
Mtu atajua nyota yake aje..?kitumia herufi y kwanza y njina la kwanza ama ya pili
Mm sikumbuki tarehe ya kuzaliwa lakini jina langu linaanza herufi ya M na kwenye kiganja changu cha mkono kuna herufi ya M sasa nitajuaje tarehe yangu ya kuzaliwa ikiwa mamaangu haikumbuki tarehe yangu ya kuzaliwa
Uyu dogo amutamuelewa
Tatzo maelezo mengi nenda kwenye mada
Mininanyota yapunnda nitafanyikiwaj nipeji bro
Chief kama chief
Naomba kujifunza elimu ya Majin na malaika was faida Gani kwenye siku ya nyota
Elufi r vip
Mkuu umenena
❤
Ili kujua Zaid utanisaidiaje bro
Na J je
endelea kuleta zingne
Blood nisaidie namimi naitaji kuwa kama wewe
✌️👍👊。
Ie
😂😂 saw saw nyoto ya punda ni noma
Awsh kuwa kama ww bro chief