Kafanya kazi kubwa sana s2keezy tetema imeingiza kiasi kikubwa sana cha pesa na hadi Leo haichoshi,kuna shida gani kumnunulia gari ya million kumi.tofauti na production ya laizer ngoma ingeexpire ndan ya siku mbili
Daaah I am so waoooh tatz sio ray Ila ni situation ambayo unawez Fanya kaz Na MTU then akakulipa Na kaz yake ikawa kubwa kuona hapa pesa alio kulipa haitoxh then aka pay back Na huge gift ,men that's it's really a friendship and more than that
Waaàah....noma I say vanny boe you've made my day count so fast I say you've actually made me shade tears of joy. Daaah.... this is what we call die heard buddyz men wooow....big ups brow may the load grant you with double blessings in return😍what I'm seeing 🔥🔥
I'm not that wasafi fan but everytime I see Ray Vanny n Mbosso I see good hearted , real, talented n hard-working fellas they don't copy they are what they are big up Vanny boy mola akuzidishie
Yani s2kizzy kanifurahisha hapo reyvanny anapotaka kusema zawadi mselaa anaangalia mkono wa rayvanny anataka kutoa nn kumbe gari asee#proud you much vannboy!
Wow God bless you Rayvanny....its good to share with friends what you have.....+254 tujifunze......kupitia kwa mdogo wetu......lovely young Rayvanny......tuweke masifa kando......we show love to each other
Safi sana van boy, maproducer wanatengeneza hit song wasanii wanapiga mkwanja mrefu sana then hawawakumbuki. Hongera Van Boy kwa kumkumbuka Producer S2Kizzy
Nafurahi kila nikiona watoto wa kiswahili wanafanikiwa maana tulizoea kuona watu wa nje tu na wale wanaotoa familia za kishua....Hongereni saaana. Keep moving...I see a brighter future
May Allah bless u Rayvanny hat a juzi ukij Kenya I saw u gat clean heart..! Huna poz wallah na pia Allah ambariki Diamond kwa kuwatoa, Luna kipindi alisema Mkubwa Fella mukimsupport Diamond vijana wengi mtatoka
Jambo zuri ambalo Rayvanny umefanya. kutoa shukurani zako Kwa mtayarishaji wa midundo ya ngoma zako hata yeye itamfanya aongeze ubunifu zaidi katika utayarishaji. Hatutaki kusikia mmepokonyana. Umefanya kwa Upendo. mkikwaruzana mnayajenga yanakwisha mnapiga kazi.
umefany ki2 kizuri sana rayvanny mungu akubariki like hapa kama unamkubali rayvanny
Who is that guy being given a car pliz?
Nakubali sana rayvanny na s2kizzy hongela sa s2kizzy kwa gari zuri sana
Good boy Rayvanny Mungu akuzidishie upate zaidi👏👏👏👏
Mashahallaha ravyanny una Roho Safi kama. Wew ulivyo mzuri mashahallaha hongera sana mungu akuzidishie ridhik zako amina🥰🥰🥰 yaarabi 💯💯🙏🙏🙏
nikitu kikubwa sana umefanya rayvany tetema is big size. kukumbuka shukurani ni kitu kizuri sana rayvany salute kwakukumbuka thamani ya producer
Masha Allah nimelia Kwa furaha upendo unanguvu sana hongera kizzy💞
Mi pia nimelia jmn daaah
Mimi pia it's a beautiful thing
Honger san rayvan ni jamb jem ulolifany unatambua uwepo wa s2kizz...ubalikiwe xn na naamin cjakosea kuwa yua fans vanny boy💕😍
I learn a lot of things with this wasafi guys for reall
Kafanya kazi kubwa sana s2keezy tetema imeingiza kiasi kikubwa sana cha pesa na hadi Leo haichoshi,kuna shida gani kumnunulia gari ya million kumi.tofauti na production ya laizer ngoma ingeexpire ndan ya siku mbili
Huo ndio udugu na ndio kufaana...na ndio ubinadamu...Mungu awape mioyo hiyo hiyo ya kufaana.
Mungu akubariki sana van boy
Daaah I am so waoooh tatz sio ray Ila ni situation ambayo unawez Fanya kaz Na MTU then akakulipa Na kaz yake ikawa kubwa kuona hapa pesa alio kulipa haitoxh then aka pay back Na huge gift ,men that's it's really a friendship and more than that
Waaàah....noma I say vanny boe you've made my day count so fast I say you've actually made me shade tears of joy. Daaah.... this is what we call die heard buddyz men wooow....big ups brow may the load grant you with double blessings in return😍what I'm seeing 🔥🔥
Respect the OG's
kazi nzuri inalipa, this is what we call true friendship , big up Rayvanny, ndo tunazikubal kaz zako, you ar so best guy, hongera S2kizzy.
I'm not that wasafi fan but everytime I see Ray Vanny n Mbosso I see good hearted , real, talented n hard-working fellas they don't copy they are what they are big up Vanny boy mola akuzidishie
I realize it is kinda off topic but do anyone know of a good site to stream newly released series online ?
@Brodie Mauricio flixportal xD
@Angel Emmanuel thank you, I signed up and it seems to work :D Appreciate it!!
@Brodie Mauricio You are welcome :D
Much love rayvanny
WCB for lifE godbless nyinyi
VANNY BOY THAT IS MY GUY...GIVING BACK TO THE PEOPLE#LOVE YOU FROM 254
Yani s2kizzy kanifurahisha hapo reyvanny anapotaka kusema zawadi mselaa anaangalia mkono wa rayvanny anataka kutoa nn kumbe gari asee#proud you much vannboy!
Wow God bless you Rayvanny....its good to share with friends what you have.....+254 tujifunze......kupitia kwa mdogo wetu......lovely young Rayvanny......tuweke masifa kando......we show love to each other
Mungu akubarik kaka ray coz this love
Hongera rayvany kwa moyo ulionao mwenyezi mungu akuzidishie Mara mbili ya ylichotoa
Rayvan umeonyesha upendo mkubwa sana na umeieshimu kubwa anayoifanya be blessed
And That's Why this kind of Hearts Will never lack..... God bless such Hearts.
#MukambaInternational verified issa good deed.
Oe vanny.mwanangu kila siku uko mzee baba..nakuminde sana broo.konki💪
Safi sana van boy, maproducer wanatengeneza hit song wasanii wanapiga mkwanja mrefu sana then hawawakumbuki.
Hongera Van Boy kwa kumkumbuka Producer S2Kizzy
Mungu akuongoze katika kazi zako vanny boy umefanya kitu kizuri sana
Masha'Allah Allah akupe mwisho mwema ray
That's great Mr.comedian vanny boy
good good Rayvanny looking after your homie
MWENYEZI MUNGU akupe moyo huo huo Vanny boy kama ulivyosaidiwa na wewe usaidie wengine ⚡⚡
Inapendeza laia ongela
Nafurahi kila nikiona watoto wa kiswahili wanafanikiwa maana tulizoea kuona watu wa nje tu na wale wanaotoa familia za kishua....Hongereni saaana. Keep moving...I see a brighter future
“WE GROW BY LIFTING OTHERS”
Dah!! Mungu akuzidishie Vannyboy
Daah! hongera sanaa #Vanboy Mungu akujalie upate zaid na uwe na moyo huohuo
Mashaallah nice Ravaniy mungu akubariki unajuwa haki wa ubinadamu
This is awesome vanny More blessings
Hakika ni upendo wa ajabu na shukrani kwa wimbo mkubwa wa #TETEMA.
Awesome Ray vanny! More Blessings your way Bro! No. 1 WCB fun in UG
Siyo fun wewe chakubanga mbwiga...ni fan!
Alirima Nicholai Jnr furaha tu
God bless all wakubwa nakubali kazi mutafika mbali kwa upendo mulionao ndugu zangu
May Allah bless u Rayvanny hat a juzi ukij Kenya I saw u gat clean heart..! Huna poz wallah na pia Allah ambariki Diamond kwa kuwatoa, Luna kipindi alisema Mkubwa Fella mukimsupport Diamond vijana wengi mtatoka
Big up vannyboy..... Much love from +254...
duh! hongera sana #Vannyboy jamaniiii Asante kwa niaba yake.
Jambo zuri ambalo Rayvanny umefanya. kutoa shukurani zako Kwa mtayarishaji wa midundo ya ngoma zako hata yeye itamfanya aongeze ubunifu zaidi katika utayarishaji. Hatutaki kusikia mmepokonyana. Umefanya kwa Upendo. mkikwaruzana mnayajenga yanakwisha mnapiga kazi.
Mungu akuongezee ray
Ni kitu vizuri kapisa kumzawadiy gari👏
naenda TZ producers huko are appreciated
Allah blessed you bro
That's nice God bless you Ray
what a real love???
yan hadi nimesisimkwa na mwili jmn congratulations to you vanny boy
Much love,,much respect #vivanyboy upendo huu wa ajabu sana,,,,never seen b4,,,,incredible %
One day natamani nifikie hapo mulipo wakubwa God bless yaah all
WASAFI MUNGU awabaliki
s2kizzy anastahili kupata zaidi ya gari maana jamaa anajituma sanaaa alafu ana kipaji cha kutengeneza hit
i like this man vanny and all wasafi peoples
Siwaamini wasafi wote ni waongo sanaaaa wasanii na usanii mnaujua hiyo gari si ajabu kiki tuuuuu
Congratulation a lot that's are lill friendship
Mwenyezi mungu akuzidishie. Mzee WA porch nene
Big up bloody sisi kwa sisi🥰💥👏💥🇬🇧
Dah umetisha san #vanyboy Mungu akubariki sana
Ongera sana vanny boy
Kazi izuri zana Chuiìiiiiii
Zombie🙌🔥
That is true love,
rayvanny utafika mbali sana bro hii kitu sii ya kuchukulia powa
Mashallah munqu akubaliki vany
s2kzzy broo hongera sana kwako na rayvanny niko hapa dibu the mnyama
You deserve it bro hongera Sana V boy
Cha kujifunza hapa tufanya kazi kwa nguvu na kwa waminifu mkubwa hujui ataekunyanyua juu kila nafas Fanya kazi kwa nguvu
Kweli kabisaaaa
Kweli mwamba
Hongera sana
Sawa sawa
Mashallah
Chalii alivyotengeneza hit Kali hakuwa na ndinga nzuri daaa?
Vanny boy is so cool ,down to the earth
sio poa kumzawadia MTU kitu mpaka midea zijue haifai
Kuna nyimbo aliimba simba kipande furani Hivi, utu wangu unasamamani inamana kweli hakulijua, thamani yako imeonekana big up ray van
Kama unakubali hata ungekua wewe machoz yangekutoka gonga like daah bonge la surprise
H Matta like ndo nin we fala
Ahsante
awwwww so emotional give a handkerchief am crying
Nihu pendo wazati uho niwakuigwa
Utaamini maco yako bro! Much love
Wasanii wanatakiwa kuiga mfano wa Rayvay wa kuwathamini ma-producer wao. I 'm so interested
Be blessed rayvanny
Vany boy nice
wcb wana maapple noma sana aise safi sana
True love dat z how rastaman we live
Hongera van
Ubarikie reyvany
Safi sana bt watangazaji makelele mengi sana mmejisahau kuwa tunaowaangalia au kuwasililiza hamjatutendea haki.
Hongera DOGO waache wanao waponda endeleeni kupendana (WCB) Safiii
S2 kizz anafanana na wizkid
mi nldhani naona peke yangu
vannyboy kazi poa
God bless you
umetixha vany boy hivyo ndivyo inavyo takiwa
Sasa hii n radio ama n soko official LA Wasafi, kelele tu!!
hongera sana
GOD BLESS YOU VANNY BOY....🙏
Ukitaka kujiunga na studio yangu chart na mimi
WcB for Life!
Kadi iko wapi
Good brother van kuliko unge mpa mtufuran kama zawad ya...
Dats was good brother #Ray VANNY
Tetema to the world
It's amazing
Yakibabe sana 🙌🙌🙌