Asante sana Kamwe, umewanyoosha na kiherehere chao. Wanaandika na kutangaza habari zao za kutengeneza. Big up Kamwe. Sidhani kama watarudia tena kukuuliliza tena maswali hayo.
Ally kamwe kiboko.. mmeondolewa kwenye umbea wa kufungwa mechi mbil mmekokotwa na bonge la msemaji hatimaye mmeibukia uwanja wa kmc. Ally shikamoo majinga mengi kwelkwel
Kaka ally unamajibu matamm sana chukua maua yakoo🎉🎉🎉🎉nakpndaa
Asante sana Kamwe, umewanyoosha na kiherehere chao. Wanaandika na kutangaza habari zao za kutengeneza. Big up Kamwe. Sidhani kama watarudia tena kukuuliliza tena maswali hayo.
Woyoooh!
Haya twiiii kimoja shwaaaa!!
Mia🎉🎉🎉❤
Huyu ni colo tuondokee sisi simba
Leo saa 6 kiko wapiii
Waaambie wamezid umbea sana 😂😂
Hahahaha kiko wapiii
Gamondi nikocha wetu asiondoke, mistake is class to learn, wanga mtaendelea kukonda.
Gamondi akibaki niitee shoga
Aliyesikia Sabu inasumbuaa tutambuane jamenii..
Wambie makolo hao wanateseka na uwanja wa kmx
Huyu naye hafai kabisa kuwa msemaji wa yanga
Kwapo kwenye kidhungu chacha😂😂😂
Hamna mawasiliano kati ya msemaji kocha na viogozi huyo ni perpet wa simba
Ally kamwe kiboko.. mmeondolewa kwenye umbea wa kufungwa mechi mbil mmekokotwa na bonge la msemaji hatimaye mmeibukia uwanja wa kmc. Ally shikamoo majinga mengi kwelkwel
Kumbe makolo sio watu😂😂😂
Sikoseli imekumaliza akili hadi ukawa zuzu.
Huko wenye akili ni wawili tu
Huna jipya we😊we
Safi sana mwamba wambieee wamezoea kuzusha
Kiko wapiiii
Domo lako linahatibu timu, punguza upayukaji
Mwanamke ndioana mfwata mme siomme kufwatamke karibu alikamwe kwa mmeo usikae upweke
Babu acha ujinga na safari hii utaongea sana na hamna kitu babu
Gamond aondoke ally kamwe hatukuelewi taarabu nyingi
nenda kamuondoe wew kunguni wew ,kwendaaaa,anakuhusu au uchawa unakunyongorota
@@DoreenMlay-e8ggood msg my best 🫰
Huyu mwanahabar wa crown ni kolo kabisa
Hun jipya ww