Tatizo ya choire hii ni huyu muziki wa dunia wanaotumia,kwa kweli nawasihi watu wa Mungu ondoa uyo muziki .muweke muziki wa kinbingu.nina Imani Yesu atawawezesha.
Mbarikiwe VOP nawapata kwa uzuri zaidi nikiwa mkoa wa tabora wilaya ya kaliua na kata ya usinge. Hakika mfike mbali na salamu zangu ziwafikie nyote nafurahi kuona uwepo wa BISANDA NA MERIKIZEDEKI. MUNGU akipenda tutaonana kasulu ndio kwetu Mimi ni DAUD KULINGA
VOP, Kwaya yangu Pendwa. Mungu azidi kuwatumia, msichoke imbeni kwa sauti, msifuni Bwana, tangazeni mwisho umekaribia Kila kabila, lugha na jamaa zijue mtapata zaidi hapa duniani na uzima wa milele pia.
Nyimbo nzuri yenye kuongoa, kufunza na kujulisha. Baraka tele wapenzi.
Tatizo ya choire hii ni huyu muziki wa dunia wanaotumia,kwa kweli nawasihi watu wa Mungu ondoa uyo muziki .muweke muziki wa kinbingu.nina Imani Yesu atawawezesha.
Mbona sikuelewi brother fafanua Kenye unasema tujue vizuuuri 🙏
There is nothing better than seeing a new VOP online. Be blessed and thank you for this blessing.
Mbarikiwe waimbaji wa kasuru nazipenda sana nyimbo zenu zinanibaliki sana na Mungu azidi kuwapambania
Ni kweli kabisa, hasa sisi waadventista wasabato, tunajua kabisa yale ambayo yanaikabilii ulimwengu lakini tumelala usingizi kama vile hatujui.😢😢
Amina!
Bado mnakumbukwa huku Pipeline Nairobi Kenya, hizi nyimbo zina mahubiri sana
Niliwai kufika pipeline SDA..wakati John kirimi and Miriam kerubo walikua n wedding ❤..barikiwa sn mtumishi kw kufatilia choir hii ...ya unabii
God bless you so much I like your songs.
Mungu awabariki sana kweli nyimbo zenu ni nzuri zenye kufundisha
GOD bless your ministry I like your music, following you from LUSAKA ZAMBIA
Kwaya yangu pendwa ya nyimbo za unabii, mbarikiwe sana wana VOP.
Amen voice of prophecy 🙏 God bless you
My fav choir, wimbo mzuri sana Mubarikiwe sana🙏
❤❤❤❤❤❤tuko karibu kufika nyumbani
Sidi warundi,tunawapenda san mungu awabariki
NAWAPENDA SANA MUNGU AZIDI KUWAINUA WAPENDWA WANGU NINAFURAHI NINAPOWAONA MKIMTUKUZA MUNGU KTK ROHO NA KWELI.
Nyimbo.hizi.zinabariki.hatujali
Asanteni sana, BWANA AZIDI KUWAVUVUIA ROHO MTAKATIFU amina!
From Thika town Kenya Aki mbarikiwe watumishi wa Mungu nawapenda sana
Mbarikiwe na Bwana wajori wa Mungu 💯
Mbarikiwe VOP nawapata kwa uzuri zaidi nikiwa mkoa wa tabora wilaya ya kaliua na kata ya usinge.
Hakika mfike mbali na salamu zangu ziwafikie nyote nafurahi kuona uwepo wa BISANDA NA MERIKIZEDEKI. MUNGU akipenda tutaonana kasulu ndio kwetu Mimi ni DAUD KULINGA
Message sent.... Jesus is coming soon get evolved....
Huu wimbo nilikua nimeusubiri kwa muda mreeefu sana. Nawashukuru sana kuufanyia kazi
Nyimbo nzuri hakika unabii unatimia kama Neno lisemavyo
Waw my lovely friend be blessed ❤❤
Mungu awabariki kila kuchao
AMEN BARIKIWENI SANA NA BWANA .KENYA
Bwana wa mbinguni awabariki sana. Mavazi ya kumpendeza mungu
Mbarikiwe sanaa Kwa ujumbe mzurii nawamic ❤
God bless you my good people for good work. Mwalimu asante sana another one
One day, one day I will travel to Tz to listen to you live. All the same wonderful messages to wake us up at this time.
waóóóoh,hónngerennn my fammilly
mungu awape uimbajiborazaidi
Kwaya yangu ya nyumbani iwachu❤❤❤❤❤❤❤
True prophecy of God
The VOP, good work wapendwa. Mzidi kumtumikia Bwana kwa upendo wanachoir
The Adventist Spirit
Nawapendeni sana kasulu 🎉🎉🎉🎉🎉
Barikiwa kwa ujumbe
Mungu awatunze
Amen
Hallelujah
Ameen
Amina
VOP, Kwaya yangu Pendwa. Mungu azidi kuwatumia, msichoke imbeni kwa sauti, msifuni Bwana, tangazeni mwisho umekaribia Kila kabila, lugha na jamaa zijue mtapata zaidi hapa duniani na uzima wa milele pia.
Amina sana
Barikiwen nawapata nikiwa as visiwani Zanzibar Mungu awabariki
Aise hawa watu wanajitaidi sio mchezo
Afu mkosembingu ntawashangaa
❤❤Amen.
nyimbo nzuri
Amazing song
Wimbo wa wakati
Good suprano
Aminaa
Be blessed family
Barikiwa
Mmeshindikana
❤❤❤❤❤
Mbarikiwe
Hallelujah! Time to wake-Up
❤
Mungu awabariki
Mbarikiwe vop
Barikiweni
❤️