Magaidi walipiga simu na kumruhusu kuzungumza na familia yake kisha kumpiga risasi.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 เม.ย. 2015
- Familia za waliofiwa wametoa simulizi kuhusu mawasiliano yao ya mwisho na wapendwa wao . Katika eneo la Cherengany .. Familia moja ina huzuni zaidi baada ya msichana wao kuuawa huku wakisikia . Wanasema kuwa magaidi husika waliwapigia simu na kumruhusu kuzungumza na familia yake na kisha kumpiga risasi.
Watch KTN Live www.ktnkenya.tv/live
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
RIP BROTHERS AND SISTERS, our dear God will Jorge them...take hearts God gives the same God takes
Pole sana
I am sorry
May God wash away the memories.
Yani imagine gaidi anakwambia umpigie president simu, aki ni uchungu sana mtu kuuliwa kimadharau ivo. Sitasahau hii siku nilipopata hii habari
Rest in peace
R.l.P dharwesh
R.i.p to all who lost their lives.our government we need to be serious.u say the girl was gunned 12:00.from 5:30 pliiiiiiiiz where is our defence.kenya we need more recce than kdf just imagin something like that has happened in 10parts of country i cant even try to think what could happen.lord help us.
r.i.p dharwesh