Mhudumu wa bodaboda auwawa kwenye kizaazaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2021
  • Mamlaka ya kuthathmini utendaji kazi wa polisi (IPOA) imeanzisha uchunguzi wa kisa cha afisa mmoja wa polisi anayedaiwa kumpiga risasi na kumuua mhudumu wa bodaboda jijini nairobi. Inadaiwa kuwa mhudumu huyo anayetambulika kama rabin patel ogeto alipigwa risasi baada ya kukataa kutoa hongo. Ni tukio ambalo liliwachochea wahudumu wa bodaboda kuandamana jijini kulalamikia tukio hilo.

ความคิดเห็น • 50

  • @beatricekihara9728
    @beatricekihara9728 2 ปีที่แล้ว +7

    Aki kijana mdogo hivyo police ni mashetani

  • @kimosabi5440
    @kimosabi5440 2 ปีที่แล้ว +8

    whoever kills by the sword dies by the sword, now that boy's dreams , expectations and all that he could have been is gone over 50 bob , how can you even live with that in your conscious

  • @violmidega1994
    @violmidega1994 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu Usikubali huyo police apone akufee kabisa

  • @bigmamaa2198
    @bigmamaa2198 2 ปีที่แล้ว +7

    Nani amegundua news repoter amefanana na kijana aliyeuawa

    • @lilialilychiku2126
      @lilialilychiku2126 2 ปีที่แล้ว

      Ww nawe

    • @bigmamaa2198
      @bigmamaa2198 2 ปีที่แล้ว

      @@lilialilychiku2126 😂😂😂hii ndio ile unaambiwangwa watch keenly

  • @bigmamaa2198
    @bigmamaa2198 2 ปีที่แล้ว +4

    Mngengoa huyo askari makangari

  • @lilialilychiku2126
    @lilialilychiku2126 2 ปีที่แล้ว +2

    Kijana mdogo sana, eti 50 bob2 pia huyo polisi akufie huko hospitali shetani kabisa.

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 2 ปีที่แล้ว +2

    Saa zile tuko na wabeberu wausi inchini

  • @sarahmutsami5006
    @sarahmutsami5006 2 ปีที่แล้ว +3

    So sad 😭😭😭😭😭

  • @maggiemuiruri6747
    @maggiemuiruri6747 2 ปีที่แล้ว +2

    Guns in hands of unconscious people

  • @mwashinelson1493
    @mwashinelson1493 2 ปีที่แล้ว +1

    Motorcyclists should have licence and respect other people. Maybe they messed with a wrong person

  • @AlphonsoTheTrader
    @AlphonsoTheTrader 2 ปีที่แล้ว +2

    Injustice on the rise, sad😔

  • @edwinkipchirchir5137
    @edwinkipchirchir5137 2 ปีที่แล้ว

    God will reward acordingly

  • @nancykemunto2899
    @nancykemunto2899 2 ปีที่แล้ว +1

    Aki Kenya hii poleni sana

  • @freddywakakamega2671
    @freddywakakamega2671 2 ปีที่แล้ว +4

    Kenya hakuna police hao ni magaidi wanaohangaisha wananchi wajinga nyinyi police

    • @silasithali3891
      @silasithali3891 2 ปีที่แล้ว

      Stack a police officer at your own peril

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 2 ปีที่แล้ว +1

    Ati Kenya iko uhuru

  • @valeshiavershakivarymosiny6059
    @valeshiavershakivarymosiny6059 2 ปีที่แล้ว

    Justice plz 🙏🙏🙏

  • @nivorodinceatieno5462
    @nivorodinceatieno5462 2 ปีที่แล้ว +2

    Polisi wanafaa kulipwa poa waache kutoa machungu kwa raia,eti wasipopewa hongo kitu ya kwanza inakuja kwa mind ni kuua,wanamwaya tu watu ovyo ovyo!!!

    • @pn2696
      @pn2696 2 ปีที่แล้ว

      Ni their bosses who take the hongos.
      It goes way up.

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 2 ปีที่แล้ว +1

    Hizo ni nishani za Kenya kuharibika

  • @samuelndereva4907
    @samuelndereva4907 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii serikali ya jubilee itatumaliza mpaka lini😢😢😢😢

    • @khanirinaftali1178
      @khanirinaftali1178 2 ปีที่แล้ว +1

      inakumaliza but bado unaongea, sio serikali ni mtu binafsi

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 2 ปีที่แล้ว

    Waah

  • @millicentouma2324
    @millicentouma2324 2 ปีที่แล้ว

    Hongo ya kenyan Police is SHAMEFULL

  • @berilyhnaji3623
    @berilyhnaji3623 2 ปีที่แล้ว

    Malipo ni hapa hapa duniani ,unadhani kilio ya hao watoto na mama amebaki kwa shida njaaa ,itaenda Bure ,

  • @johnmunyoro4428
    @johnmunyoro4428 2 ปีที่แล้ว

    Sasa nani ataishi hapa duniani kama mt kenya unaua mtu na haujui utakufa lini

  • @carocarolinewilim2180
    @carocarolinewilim2180 2 ปีที่แล้ว

    😪😫😪😪

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 2 ปีที่แล้ว +2

    Haya mambo ya polisi murkomen aliyazungumzia kuhusu poliisi kwanini wakubwa wa polisi hivi vikosi wapewe hatuwa kali matiangi ww ndio unachochoa kwasababu huwapi oyo kali mtu akiuwa anafutwa kazi na kufungwa milele

    • @teresaosebe4996
      @teresaosebe4996 2 ปีที่แล้ว +1

      So saaaaad......justice must be served!!! That's my brother they just murdered!! We are in pain😭😭😭😭😭😭💔💔💔

    • @muthonindambi1437
      @muthonindambi1437 2 ปีที่แล้ว +1

      @@teresaosebe4996 Woiyeee poleni

    • @jarsaduba2626
      @jarsaduba2626 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

  • @football964
    @football964 2 ปีที่แล้ว

    Na mukiibiwa watu amujui kuna police munawasha mto for what

  • @johnmunenemaina1350
    @johnmunenemaina1350 2 ปีที่แล้ว

    kenya bola uhai

  • @josephmuthami4710
    @josephmuthami4710 2 ปีที่แล้ว

    Every Day investigation is Done the person who shoot the innocent person is known take him to jail brutality vis very high in this country

  • @riderswatching5157
    @riderswatching5157 2 ปีที่แล้ว

    Raiders tunacheki

  • @sospeterogolla7811
    @sospeterogolla7811 2 ปีที่แล้ว

    U chunguzi uchunguzi nothing comes out

  • @jackleleito4940
    @jackleleito4940 2 ปีที่แล้ว +4

    this reporter should stop his nonsense of showing himself while reporting and present his reports the way Hassan mugambi gives his reports.

  • @michaelalando
    @michaelalando 2 ปีที่แล้ว

    I'm sure it was not just hongo. Two boda boda guys attacked an officer, officer fired in self-defence. Kawaida ya most boda boda taking the law into their own hands.