JINSI YA KUPIKA CHAPATI LAINI ZA MAZIWA NA SIAGI/Jifunze makosa ya kiukandaji yanayoharibu chapati

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 118

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +6

    Kazi nzuri Sana, MashaAllah tabarakaAllah, jitahidi utupe vipimo kwanza au upime kwa vikombe

  • @mimah0559
    @mimah0559 3 ปีที่แล้ว

    thanks kwa maelekezo mazuri broh haki nimepika leo chapat ni tamu hatar yan laini zinachambuka uzuri mpk bhas😘

  • @zahrahussein9895
    @zahrahussein9895 4 ปีที่แล้ว +17

    Ukitaka bakuli lisikusumbue wakati wa kukanda unga unaeka kitambara chini ya bakuli ......ndio halitachezacheza wala kukusumbua

  • @anethwilliam1526
    @anethwilliam1526 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow asante kwa mapishi😋

  • @joycekasakisya7755
    @joycekasakisya7755 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante nashukuru, nilikuwa cjafaham kupika vizuri.🙏🙏

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว +1

      Joyce Kasakisya Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu th-cam.com/video/cGlANylqZKo/w-d-xo.html

  • @gracepaul5585
    @gracepaul5585 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa darasa

  • @fatmaaly3056
    @fatmaaly3056 4 ปีที่แล้ว +21

    Mume km huyu simtaki wallah ila raha maana usipo pika vizuri tu utajuta 😂😂😂

    • @jayratumaulid582
      @jayratumaulid582 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂hatareee

    • @bintdavid7672
      @bintdavid7672 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaa acha kbsa

    • @zulfahhussein505
      @zulfahhussein505 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 kila siku anakukosowa

    • @nagmynamahin2463
      @nagmynamahin2463 4 ปีที่แล้ว +5

      Ndio mzuri uyoooooo coz atakufundishaaaaa na pia atapata kukusaidia jikonii

    • @dorislema1814
      @dorislema1814 4 ปีที่แล้ว +1

      hahahahahahahahah kwan saiyo atakwambia sasa kama yeye ni hodar jikon

  • @mdsadiq2569
    @mdsadiq2569 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah😋😋

  • @magrethurembo1834
    @magrethurembo1834 4 ปีที่แล้ว

    wow chapati nzuri hayo maziwa ni ya moto au baridi

  • @edithamussa9068
    @edithamussa9068 4 ปีที่แล้ว +3

    Mapishi mazur

  • @fatumanjoka7932
    @fatumanjoka7932 4 ปีที่แล้ว +2

    Chefs aloyce huyu chef kiboko😋😋😋

  • @roseswai5778
    @roseswai5778 4 ปีที่แล้ว +5

    Kulingana na mapishe mingi ya chapati ambayo nimeshawai kuangalia uyu jamaa ajanishawishi walaa anapika kawaida sanaa

  • @irenestevene4158
    @irenestevene4158 4 ปีที่แล้ว +1

    asante

  • @jenniferbigeyobwire5534
    @jenniferbigeyobwire5534 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante chef kwa pishi hili

  • @glorysechu83
    @glorysechu83 4 ปีที่แล้ว +1

    Simple and i like ❣

  • @glorytarimo8321
    @glorytarimo8321 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwa kipindi hiki 🔥👌

  • @samkiria450
    @samkiria450 4 ปีที่แล้ว

    Chef Aloyce 🙌💯 huyu jamaa anajua

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 4 ปีที่แล้ว +1

    NATAMANI KUJIFUNZA MAPISHI YA CHAPATI KAKA. NIPO DAR ES SALAAM🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @evajohn5502
      @evajohn5502 3 ปีที่แล้ว

      Ana dalasa la mapishi what's App anda elf 30 kwa mwzi mzima utajifunza mapishi tofauti tofauti

    • @benemadinda375
      @benemadinda375 3 ปีที่แล้ว

      @@evajohn5502 anapatikana wapi?

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 4 ปีที่แล้ว +7

    Kama hutaki kuangalia si I ache kwani umeitwa angalia vingine

  • @liciouspipi5538
    @liciouspipi5538 3 ปีที่แล้ว

    Chef❤️

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 ปีที่แล้ว

    Great work

  • @worldlyricssongs6141
    @worldlyricssongs6141 4 ปีที่แล้ว

    Chef himself...chief aloyce ❤❤❤

  • @chrissdilly
    @chrissdilly 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani bro umenifanya nitamani kupika chspati maana wengine walinikata stim kukanga kuumua donge alafu kuumua rolls chei!!! Thanks

  • @kaninikatua5552
    @kaninikatua5552 4 ปีที่แล้ว +1

    Yummy

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah chapati zimenyambuka

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      very nice thi film NUUR1 Alrahbi Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu th-cam.com/video/cGlANylqZKo/w-d-xo.html Ramadhani kareem

  • @benemadinda375
    @benemadinda375 3 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kujifunza zaidi

  • @tatuiddy9603
    @tatuiddy9603 4 ปีที่แล้ว +1

    umetumia vitu vyote vya barid au?

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Tatu Iddy Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu th-cam.com/video/cGlANylqZKo/w-d-xo.html

  • @hamisaally2627
    @hamisaally2627 4 ปีที่แล้ว +1

    Hayo maziwa mbona yana hema au n macho yangu

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa nimejua ni wapi nilikuwa nakosea asante chef ila kwenye frying pan umeniangusha

  • @fatumahassan2044
    @fatumahassan2044 4 ปีที่แล้ว

    Anajua kupika na kukuelekeza mtazamaji.. sio kama wengine.. wapika tuuuuu 😃😃

  • @hamidaabdully8396
    @hamidaabdully8396 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah nzur kweli

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako uje kunipikia kwangu

  • @rachelbenedict4730
    @rachelbenedict4730 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante bro ur great

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Rachel Benedict Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu th-cam.com/video/cGlANylqZKo/w-d-xo.html

  • @mariamkarikumutima4996
    @mariamkarikumutima4996 4 ปีที่แล้ว +2

    Maziwa ni vugu vgu ao ya kawaida?

    • @RED-kr5vc
      @RED-kr5vc 4 ปีที่แล้ว +1

      vuguvugu

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Mariam Karikumutima Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu th-cam.com/video/cGlANylqZKo/w-d-xo.html

  • @juliettededieu888
    @juliettededieu888 4 ปีที่แล้ว

    Samahani mi ni mkongomani sielewi swahili vizuri ,siagi njo blueband?

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

    Siagi gani hiyo? Blue band au ? Alafu hazikauki ukiziacha bila kufunika ili uanze kuzichoma?

  • @azzaalmaamry5817
    @azzaalmaamry5817 4 ปีที่แล้ว

    Maashaa Allah

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli chapati nzuri,mm sipendelei sana chapati lkn nzuri sana kwamacho tu,kwenye kula sasa sijui.inakuwaje

  • @monicajohn5721
    @monicajohn5721 4 ปีที่แล้ว +3

    Sawa tumeona haujatuambia kama hayo maziwa ni ya Moto au ya baridi.

    • @fellygal5414
      @fellygal5414 4 ปีที่แล้ว

      Yalocheshwa na yapoe

    • @ashuraahmed3568
      @ashuraahmed3568 3 ปีที่แล้ว

      Chapat haikandiwi na kitu moto chapat haitaki gluten

  • @rehemakinande8615
    @rehemakinande8615 4 ปีที่แล้ว

    😘

  • @victoriasifuni8011
    @victoriasifuni8011 4 ปีที่แล้ว +2

    Sikuhizi nikupika tu kila mtu,du??

    • @jayratumaulid582
      @jayratumaulid582 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂corona hamna mgahawa

    • @winnieseme4944
      @winnieseme4944 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni kitu ambacho kipo kila cku. Na wengi wao hatujui kupika vzr

  • @saadaissa2234
    @saadaissa2234 4 ปีที่แล้ว

    Katisha

  • @halimahamid9081
    @halimahamid9081 4 ปีที่แล้ว

    Moto mkali chapati zinababuka

  • @zephanianapegwa632
    @zephanianapegwa632 4 ปีที่แล้ว +2

    Umetumia unga aina gani?

  • @susannesusie3217
    @susannesusie3217 4 ปีที่แล้ว +1

    Yawezekana ni chef mzuri ila sio wa kwenye tv maana hujaosha mikono pili hasemi vipimo ya product zako kwamfano maziwa na mafuta hujasema niya moto au ya baridi kiasi cha moto pia alafu hiyo fraying pan sio ya chapati ndio maana inakusumbua

    • @leylasimba2139
      @leylasimba2139 4 ปีที่แล้ว +4

      Mimi naamini alinawa hawezi pika chakula bila kunawa mikono pia na kila mtu anaupishi wake na namna anavyoandaa yeye usijione wewe ndo unajua kuliko wenzio

  • @raniahaifa4417
    @raniahaifa4417 4 ปีที่แล้ว

    Siagi is what plz

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +10

    Kila mtu mapishi 🙃 bongo hakuna creativity kabisa akianza mmoja basi inakuwa fungulia bomba🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 ปีที่แล้ว +2

      Ndio mana hatuendeleii hakuna aidia mpya ni hizo hizooo hahahahhahahahii bongo ya daslam

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 ปีที่แล้ว

      yaaani kabisa na ukizingatia wanakopi kwa wenzao ata upikaji na tatizo wabongo wamejua juzi kupika kwa kuona wazanzibar mana ilikua wao kubwa wanajua UGALI NA MATEMBERE saiv sasa wache wajipikie😂😂😂😂😂sie tunaenda na maishi mengine chapati zishatukinaisha mtazamo

    • @carolinelivingstone6523
      @carolinelivingstone6523 4 ปีที่แล้ว +2

      Latriciah01 Augustino ww umegundua vingap tangu umezaliwa??kila mtu ana mashabiki wake kuna watu hata hawaangalii pishi la lulu lakini kwasababu wanampenda zama basi wamekuja kujifunzia hapa hamna jipya dunia hii kla kitu kishafanywa ukisubr vizinduliwe kipya utachelewa we sapot tu

    • @latriciah01augustino67
      @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว

      @@carolinelivingstone6523 umejiona genius ulivyoandika hivi eeeeeh😀 unajua maana ya comments? Usifosi mawazo yetu yafanane kila mmoja ana comments kwa maono yake.... Mimi sijagundua kiti tangu nizaliwe nakubaliana na wewe na umesahau pia mwenye Channel na wewe hakuna mlichogundua mpka dakika hii😊 wote tunapita mule mule kama ulivyosema hakuna jipya na kila mtu ana mashabiki zake...... Creativity kwenye kitu ni muhimu tupe kitu cha kutu fanya tuone ni tofauti sio yale yale kila siku... Umesahau kwamba sijakompleini wala nini nimesema kwa upande wangu na we sema kwa upande wako.... Ukitaka maswala ya wewe umegundua nini no one kati yatu aliyegundua kitu tunapita mule mule
      Bye

  • @celestukaless
    @celestukaless 4 ปีที่แล้ว

    Sijajua siagi ni nn??? Help

    • @jessydaktari5209
      @jessydaktari5209 4 ปีที่แล้ว

      Butter like magazine or blue band

    • @celestukaless
      @celestukaless 4 ปีที่แล้ว

      @@jessydaktari5209 ooh ukisema batter ndio nika elewa

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa mapishi yako umevaa cofia sio kama wema minywere had matakon

  • @hadijakabona955
    @hadijakabona955 4 ปีที่แล้ว +2

    Aya Sasa wale wasojua mapushi mshindwe nyie 2 chanel kalibu zote mapishi

  • @mohamedmohd8373
    @mohamedmohd8373 4 ปีที่แล้ว

    Can i use blueband instead of butter?? Mrs🇰🇪🇰🇪

    • @fridahdulle6284
      @fridahdulle6284 4 ปีที่แล้ว

      Kwn butter ni nini

    • @mohamedmohd8373
      @mohamedmohd8373 4 ปีที่แล้ว +1

      @@fridahdulle6284 butter ni siagi .and differnt with blue band

  • @neylicious_mollel5194
    @neylicious_mollel5194 4 ปีที่แล้ว +1

    Hhhhhaaa...duuh jmn uyuu shef knifurhisha anavohangaik na moto kil muda hhhhhaa..ila kz nzur nme enjoy...ila muwe wabunifu da zama

  • @hellenalex9541
    @hellenalex9541 4 ปีที่แล้ว +3

    Hujui kuelewesha audience, pale kwa maziwa hatujui yalikua warm au cold

    • @RED-kr5vc
      @RED-kr5vc 4 ปีที่แล้ว

      warm

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 4 ปีที่แล้ว

      Si moto na maziwa ambayo ya kawaida wala si baridi yangekuwa moto asingeweka kwenye hiyo jag

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      hellen kabila Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu th-cam.com/video/cGlANylqZKo/w-d-xo.html

  • @portinagodson5047
    @portinagodson5047 4 ปีที่แล้ว +2

    HUYU ANAJIITA FUNDI WA JIKO YUPO VZR KWAKWELI.

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Portina Godson Utengenezaji wa milkshake 4 tofaut na tamu th-cam.com/video/cGlANylqZKo/w-d-xo.html

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว

    😋😋

  • @felistanampoka8862
    @felistanampoka8862 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba basi zama tukumbuke wasawahili na vyakula vyetu vya miswahili, mambo ya masiagi tayari tuko masaki

    • @lykamlaki7120
      @lykamlaki7120 4 ปีที่แล้ว

      Mbona chapati za waswahili pia

  • @nellygamuya8487
    @nellygamuya8487 3 ปีที่แล้ว

    Chapati ya maziwa huwa ni laini hadi raha

  • @mamayahaya9739
    @mamayahaya9739 4 ปีที่แล้ว

    Kuna kelele looh

  • @sonofally
    @sonofally 4 ปีที่แล้ว

    doh🤔!

  • @chimwanakasanda3952
    @chimwanakasanda3952 4 ปีที่แล้ว +2

    Tumewachoka hamuna ujuzi mwingine

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahhahaiiiii

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 ปีที่แล้ว

      usishangae best wamejua juzi kupika wabongo sasa fursa hii wacha waitumie mana ata ugali na matembele hawautaji saiv na ilikua kuwalisha wali ugomvi mn hawajauzoea😂😂😂

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว

      Kupika ni silaha kubwa Sana

    • @haniphermuscatoman6554
      @haniphermuscatoman6554 4 ปีที่แล้ว

      @@babyhamisi5331 saana dada

    • @sweetchowdhury1155
      @sweetchowdhury1155 4 ปีที่แล้ว +2

      @@zuleikhakhamis3303 mmmh tuangalie na ya kusema jmn mengine dharau