Jinsi ya kupika chapati za nazi laini na tamu sana kwa muda mfupi na kwa njia rahisi sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @kawilimlimuka8005
    @kawilimlimuka8005 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa recipe rahisi

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      🙏🙏

  • @zuwenasalum4660
    @zuwenasalum4660 2 หลายเดือนก่อน

    Masha’Allah tabarak Allah mungu aibariq mikono yako na baba mkwe hapo anaesaidia ❤🤲

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Amiin 🤲. Aaante sana

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂mkandaji nimempenda

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@fatmaabdallah7709 😂😂 asante

  • @jamal21ma
    @jamal21ma 2 หลายเดือนก่อน

    👌👌❤ "Nisipo kunja nitaota ndoto mbaya...😂👌 Mazowea mabaya jamani..😅

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@jamal21ma 😄😄😄yaani mazowea ni tabu😄😄

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 หลายเดือนก่อน

    Mash allah dear bora weka vipimo kwenye description box ingekuwa bora zaid Shukran ❤❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@shamzone388 description box ipi unayoizungumzia? Kama ni hii ninayoijua mimi hapa TH-cam basi nimeweka vipimo vyote huko. Na si kwa video hii tu, ni kwa video zote kwenye chaneli hii. Always naweka vipimo kwenye description box kwa kila video

  • @saidasaleh7596
    @saidasaleh7596 2 หลายเดือนก่อน

    Masha ALLAH

  • @a.856
    @a.856 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsante

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@a.856 shukrani

  • @zuuhjumadar2584
    @zuuhjumadar2584 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah 👌 pambee ❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@zuuhjumadar2584 asanteee🥰

  • @masoudshaaban8581
    @masoudshaaban8581 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nimependa chapati za nazi nitajiribu kufanya ni nzuri asante kwa kutufunza

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana🙏

  • @zayanamshana268
    @zayanamshana268 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa katoto kanavyojifunza kupika. Hahahaaaaa

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Shukrani🙏🙏

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah unaziweza chapati zinachambuka Allah akubarik

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Amiin🤲. Asante sana

  • @zayanamshana268
    @zayanamshana268 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ulaya. Ndo maana katoto ze english

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      😃😃 hee ze English bana

  • @Suburo767
    @Suburo767 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      🤲

  • @NairatHassan-nm2dg
    @NairatHassan-nm2dg 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😋👌

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      🥰🥰🥰

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 หลายเดือนก่อน

    Gloves za kupikia ni nyeupe sio nyeusi lakini.

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Hizo nyeupe nimewaachia madaktari na manesi. Miye navaa hadi njano kwa kadri ninavyotaka.

  • @MustaphaKategile-rl2sk
    @MustaphaKategile-rl2sk หลายเดือนก่อน

    Kama samri huna mafuta hayatakiwi?

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      Unaweza kutumia

  • @zuwenasalum4660
    @zuwenasalum4660 2 หลายเดือนก่อน

    Na mimi mwenzio lazima nikunje chapati bila hivo naona kama nna mapungufu fulan

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Hee kabisaa. Timu yetu ya wakunja chapati😄

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllaah tabaraAllaahu wa Alhamdulillaah mimi naomba mwaliko nije kula nipo Deutschland 😂😂

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@ZulfahMuhammad karibu sana 😃😃.

    • @ZulfahMuhammad
      @ZulfahMuhammad 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mapishi_TV Ahsante❤️ mkowa upi hupo nijee jamani 🌹😂