SADAKA INAVYOWAPELEKA WATU GEREZANI | Mwl. Augustine HB. Tengwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @christinephilip5043
    @christinephilip5043 ปีที่แล้ว +1

    Asnte YESU nimepona kwa sehemu yangu Mungu akubariki mtumishi Tengwa

  • @helenmdee4004
    @helenmdee4004 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu

  • @mariumngusa571
    @mariumngusa571 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mtu Wa Mungu kwa haya mafundisho mazuri. Kwa kweli najifunza sana

  • @mariumngusa571
    @mariumngusa571 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aliye mbinguni atusaidie sana tuwe watu wakusikia neno la Mungu na kulitendea kazi

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana Mtu wa Mungu

  • @frolasospeter6000
    @frolasospeter6000 ปีที่แล้ว +1

    UBARIKIWE Sana Mtumishi wa BWANA.

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu utusaidie kusamehe ili tusamehewe

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba ปีที่แล้ว +3

    Hili SoMo limenigusa sana Ngoja nirudi nikapatane na washitaki wangu haijalishi wao ndo walinikosea ,maana mbingu naitaka kabisa ,Kwa Neno hili nimejiona Mimi mwovu Sana

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu

  • @happnesskitumbo5713
    @happnesskitumbo5713 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa wanawake wengi wana viburi kwa waume zao hasa mwanamke wanaosuka na kujipamba kwa mapambo ya kidunia na mwanamke akianza kupata pesa anaona anaweza kuendeleza maisha yake hata bila mume ni changamoto Yesu atusaidie wanawake.

  • @raphaelsikumbi5517
    @raphaelsikumbi5517 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina Baba ninajifunza vitu vingi sana MUNGU azidi kukubariki

  • @happynesspaul7988
    @happynesspaul7988 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu 🙏

  • @mariamyinga2141
    @mariamyinga2141 11 หลายเดือนก่อน

    Amen ujumbe mzito sana

  • @helenmdee4004
    @helenmdee4004 ปีที่แล้ว

    Asante kwa maarifa haya

  • @fidonifidel770
    @fidonifidel770 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa ujumbe nimebariwa!!

  • @selestinimassawe3601
    @selestinimassawe3601 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed man of God

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi nimekuelewa

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 ปีที่แล้ว

    Nakuja kugundua watu wa Mungu tuliomo makanisani hatujafikia uwezo wajuu wakumuelewa Mungu ndani ya neno lake,Paulo anawaambia corintho hata Sasa chakula kigumu hamkiwezi😢Yani Mungu atusaidie tumuelewe kwaupana Sana naumia niwamgapi wanapitwa na masomo Kama haya mazuri hivi ooohoo😢😢,Asante Yesu kwa kunijuza,mtunze mtumishi wako tengwa uzidi kumtumia atufungue macho ili tupone shetani asimuweze kamwe.

  • @mercymwasha3993
    @mercymwasha3993 ปีที่แล้ว +1

    Kweli inatisha sana juu ya Kanisa la leo.

  • @silyvianekesa4689
    @silyvianekesa4689 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni ukueli kabiza 🙏🙏🙏

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +4

    Na MUNGU ATUSAIDIE NA MADHAMBI YAMETUZINGA MNO TUNASALI MAKANISANI LAKINI HALI NI MBAYA MNO NA TUNAAMBIWA TU KEKI NA MAFUTA NA KUJIUNGAMANISHA NA MADAHABAU ZA KIHUNI DHAMBI INATESA DUNIANI NA JEHANAMU MILELE

  • @agnessbruno3591
    @agnessbruno3591 2 ปีที่แล้ว +2

    Utukufu kwa BWANA MUNGU wetu 🙏 amen

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +1

    Mm vyangu Ni vingi mno hapa

  • @mariambeyale2215
    @mariambeyale2215 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU azidi kuturehemu

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 ปีที่แล้ว +1

    Akina sugue na mwamposa,ndo hawafundishi Neno wao ni miujiza na upako tu,

  • @lovemajogolafia5839
    @lovemajogolafia5839 ปีที่แล้ว

    Eeh Mola uturehemu sisi wenye dhambi, siku moja tukakuzalie matunda mema.

  • @HelbethMlelwa
    @HelbethMlelwa 2 ปีที่แล้ว

    Mwakasege ni nani yako??

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaani anahubiri kama mwakasege kabisa

    • @jimmympinge6551
      @jimmympinge6551 2 ปีที่แล้ว

      Ameni, MUNGU anisaidie ,katika Jina la YESU KRISTO.,maana mimi NI mtupu tu.YESU KRISTO naomba unisaidie siwezi Mimi.,nipe nafasi Tena,narudi kwako YESU KRISTO naomba unisikie sahii.

  • @LinaMisheto-ex3nr
    @LinaMisheto-ex3nr ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUBARIKI NA AKUONGEZE HONGERA KWA HUDUMA ILIYO NJEMA

  • @stephanomaduhu5426
    @stephanomaduhu5426 10 หลายเดือนก่อน

    Huduma zako zina confusion

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Mmmh na MUNGU ATUSAIDIE SS ni WENYE dhambI TU MAANA dhambI Ni nyingi mno wamama wengi Sasa Ni mashindano ya KUJICHUBUA na mawigi