Jesca Msambatavangu: Mbegu ya Binadamu ipo kwa Mtoto wa Kiume I Mkulima Mzuri Anaitunza Mbegu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Jesca Msambatavangu, alipochangia hotuba ya bajeti ya Wizara wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum iliyowasilishwa mapema ya leo Bungeni amesema wenye Afya nzuri ya akili wanatunza mbegu zao kuliko kitu chochote.
    Pia Mbunge wa Iringa Mjini amesema hawezi kuwa mshabiki kwa Mwanaume akifanya kosa ahasiwe kwa sababu kutakosekana kwa mbegu.
    Tembelea akaunti yetu ya TH-cam “Clouds Media” tumekuwekea mzigo wote.
    #KutokaBungeni
    #CloudsDigitalUpdates

ความคิดเห็น • 14

  • @EmmamanenoEmmamaneno
    @EmmamanenoEmmamaneno 3 หลายเดือนก่อน +1

    baraka ziwe juu yako mama! nimekuelewa

  • @josehaulee1508
    @josehaulee1508 ปีที่แล้ว +2

    Upo sahihi mkuu

  • @JafethTully
    @JafethTully 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulations

  • @salummlyuka
    @salummlyuka หลายเดือนก่อน

    asante mamaangu

  • @ErnestRere-yy7dt
    @ErnestRere-yy7dt 3 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa mama

  • @FabianLutobeka
    @FabianLutobeka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sis ni mbengu

  • @LaizaLaiza-oj9uw
    @LaizaLaiza-oj9uw 4 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa mama waambie wa bunge hawajuwi

  • @BugomoraKishosha
    @BugomoraKishosha หลายเดือนก่อน

    Jasica sema YOTE na Mimi sipendi Jambo hilo na Kama KUNA mtu anaunga mkono Jambo la kuoana wanaume kwa wanaume nawezs kutoa hukumu mbaya moyoni mwangu kwani kinapungua Nini jinsi tulivyo kwa sasa

  • @user-jc8el6je5e
    @user-jc8el6je5e 10 หลายเดือนก่อน

    Najuekewaga sana mama ....

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 3 หลายเดือนก่อน

    Mama akutunze

  • @Husenimuddi
    @Husenimuddi 2 หลายเดือนก่อน

    Ushuuda wa nisaki

  • @denicegabriel6616
    @denicegabriel6616 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣 izi hoja iz daah

  • @ErnestRere-yy7dt
    @ErnestRere-yy7dt 3 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa mama

  • @ErnestRere-yy7dt
    @ErnestRere-yy7dt 3 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa mama