ZAMARADI afunguka KUWATEMA KAJALA na PAULA/UGOMVI na FAIZA,SHAMSA "Tusiongelee HAYO"/GIGY yupo sana"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah natural hair zinakupendeza Zamaradi sana. 👌👌❤️

  • @asiamohamed8431
    @asiamohamed8431 2 หลายเดือนก่อน +4

    Zamaradi u are the best ❤

  • @ZaituniSanga
    @ZaituniSanga หลายเดือนก่อน +1

    Zamaradi nakupenda sana ❤

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน +6

    Zamarad nakupongeza kwa kumfanyia kitu bi Mwanahawa Ally anajua kuimba anasaut tamu na ya kipekee hakika nampenda sana huyo mama mungu azid kumjaalia umri mrefu

  • @lalilamaingu9426
    @lalilamaingu9426 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana......binafsi napenda pia mziki wote🥰

  • @MaryamaAlly
    @MaryamaAlly 2 หลายเดือนก่อน +22

    Zamaradi anaongea vizuri mashaallah❤😂

    • @SharonWafoga
      @SharonWafoga 2 หลายเดือนก่อน +3

      Yani alafu ana akili sana

  • @Annitahneez
    @Annitahneez 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tuna kushukuru sana zamaradi kwakumkumbuka uyo mama yetu tunampenda sana

  • @fatma83ify
    @fatma83ify 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah mashallah ❤

  • @asiamohamed8431
    @asiamohamed8431 2 หลายเดือนก่อน +1

    Your husband is blessed to have u Zama.❤❤

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very composed!

  • @mawlodafarida
    @mawlodafarida 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubrki👏👏👏👏👏❤❤

  • @HilgathAnthony
    @HilgathAnthony 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubali sana Zamarad

  • @lizbethmishiko1914
    @lizbethmishiko1914 หลายเดือนก่อน

    Bright👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @mawlodafarida
    @mawlodafarida 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda huy dda❤❤❤❤

  • @GrceLaurentkaboigora
    @GrceLaurentkaboigora 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi pia nampenda sana wifi yangu, mama shubira

  • @christopherishengoma6692
    @christopherishengoma6692 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmm wifi nakukibali

  • @GeorginaAnatory-u1z
    @GeorginaAnatory-u1z 2 หลายเดือนก่อน

    nampenda uyo zamaradi

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @MariaJacob-w5v
    @MariaJacob-w5v หลายเดือนก่อน +1

    Yule atabaki kijana milele apige hatua 5 mbele. Kuropokwa tuu ooh kazeeka, fyokofyoko

  • @GemaRoman-y4v
    @GemaRoman-y4v หลายเดือนก่อน

    Mwanamke na nusu

  • @EdnaBarongo
    @EdnaBarongo 2 หลายเดือนก่อน

    tunahitaji kweli

  • @Byme6434
    @Byme6434 2 หลายเดือนก่อน +3

    Zamaradi Ningependa Pia Ufanye Kitu Chengine kwa Bi Mwanahawa Usiku Wa Bi Mwanahawa Aimbe Nyimbo zake Zote Kama itawezekana

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 หลายเดือนก่อน

      Huo mda wa kuomba nyimbo zote unatoja wapi?

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kardashian from tz

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 หลายเดือนก่อน

    Kigoma hapatoki boyi

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 2 หลายเดือนก่อน +6

    Zama hawezi fanya hii shughuli bila maslahi binafsi, hapo anamtumia Mwanahawa apige pesa.

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน +5

      Anaakili sana ni mwanamke kichwa , nawewe jaribu kubuni hata kukaanga mende uone kama utaweza kupiga hela

    • @janemwageni597
      @janemwageni597 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa tunaish kwa kutegemeana mwanahawa anagain na zama pia ndivyo maisha yalivyo​@@joycehaule9717

    • @Agath45
      @Agath45 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂mende tena​@@joycehaule9717

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@joycehaule9717apunguze kutumia watu

    • @zariadunia6328
      @zariadunia6328 2 หลายเดือนก่อน +2

      Akili mingi sasa unataka asitafute pesa mmanyema huyo hapatokagi boyi

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kila mtu tz nasema you understand 😅

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli zamaradi kazeeka uyu dada namkumbuka mwaka 2009 alikuwa binti mrembo

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂we nae asa 2009 mpk leo miaka mingapi imepita..mtu atabaki vilevile kweli!

    • @Americabeautifulland
      @Americabeautifulland 2 หลายเดือนก่อน

      @@nancyg8664 nakubali sana

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 2 หลายเดือนก่อน +3

      We wa 2009 mpaka Sasa upo km ulivyokuwa

    • @halidhemed7524
      @halidhemed7524 หลายเดือนก่อน +1

      15 yrs later ..ww na wazaz wko mpo vilevile?. Mbn mnfny kuzeeka n kma dhambi?

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 หลายเดือนก่อน

      @@halidhemed7524 watu wanamatatizo

  • @giztony2009
    @giztony2009 2 หลายเดือนก่อน

    Kamekaa kipigajii eti asante mwanahawa si umpatie hela zko umeshamuona mh rais alivyompatia 10M unataka kupita na huo upepo ili upige hela pumbavu kabisa halafu kanajikuta CEO wakati hata akina baba levo wanaanzisha hivyo vimedia

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo roho mbaya

    • @chikudunia6273
      @chikudunia6273 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hayo ni maamuzi ya Zama na ww fanya yako kwani Mwanahawa kasema hahitaji msaada wako?

    • @halidhemed7524
      @halidhemed7524 หลายเดือนก่อน

      Una roho ya kimaskin

    • @halidhemed7524
      @halidhemed7524 หลายเดือนก่อน

      Una roho ya kimaskin

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 2 หลายเดือนก่อน

    kazeeka.sura imeshuka

    • @kitonekantasha1687
      @kitonekantasha1687 2 หลายเดือนก่อน +1

      Unayako binafsi na amezaa watoto 4 wewe unawangapi na bado uko young? 😢

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน

      Ulitaka awe mtoto kila asubuhi jmn

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 หลายเดือนก่อน

      @@joycehaule9717wanaboa sana

    • @Auntykeza
      @Auntykeza 2 หลายเดือนก่อน

      Hujuwi kama kuzeeka ni baraka ?

    • @khadijaacute
      @khadijaacute หลายเดือนก่อน

      wakati wako na we ukifika utazeek tu😅😅

  • @JiggaPro-zg8dp
    @JiggaPro-zg8dp หลายเดือนก่อน

    𝐌𝐧𝐚 𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝐛𝐢𝐭𝐮 𝐛𝐲𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐛𝐢𝐤𝐨 𝐲𝐨𝐟𝐚𝐮𝐭𝐢 𝐧𝐚 𝐛𝐲𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐚𝐧𝐚𝐨𝐧𝐠𝐞𝐚 𝐦𝐧𝐚𝐳𝐚𝐧𝐢 𝐡𝐚𝐭𝐮𝐭𝐚𝐬𝐨𝐦𝐚 𝐡𝐚𝐦𝐚 𝐡𝐚𝐦𝐣𝐚 𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝐮𝐩𝐮𝐮𝐳𝐢 𝐡𝐚𝐦𝐣𝐢𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢