SAYUNI | SIMULIZI MPYA | KISA CHA KWELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 131

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i หลายเดือนก่อน +1

    pole sana Sayuni kwa matatizo yote yaliyo kukuta yani unapambana na kujinyima lakini mama yako anafanya ujinga ujinga anawaza kuzagamuana tuu na siyo kufanya mambo ya kimaendeleo siku zote mwanao anajitaidi kupambana lakini wewe mzazi ujari lolote inaumiza sana Sisi tunao agaika kutafuta maisha kwa ajiri ya family lakini mwishowe tunaambulia maumivu tuu

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 8 หลายเดือนก่อน +2

    ASANTE LUCAS SIMULIZI NZURI ❤❤❤❤❤From Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮eh Mungu umusahidiye Sayuni uyo bwana wa mama yak asi mu dhurumu!

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 8 หลายเดือนก่อน +4

    Daah pole sana dada sayuni mama wengine bhna wanaludisha watoto wao nyuma ukisema utambiwa utaachiwa radhi pole mnoo nimelia kwakweli😢😢🇴🇲🇴🇲

  • @Shadia544
    @Shadia544 8 หลายเดือนก่อน +5

    Haya BINTI SAYUNI kafanyanini tena tunasikiliza hili tujuwe ✌️✌️✌️✌️

  • @ZainabMosa-n3n
    @ZainabMosa-n3n 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nampa pole sna ndungu yngu wzzi weto wanachangiya kutoangusha sna muomba sna mungu akupe ujasiri utapata vingine usijali kipenzi

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 8 หลายเดือนก่อน +16

    😭😭Yani sisi tunaoenda mjini wazazi wetu hawajari tunapitia mangapi wanajari shida zao 😭😭inauma sana Yani mtu unawaachia mtoto akiumwa ukituma elf50 wananunua vidonge vya200 jamn inauma😭😭😭🙏

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 หลายเดือนก่อน +3

      Ni kweli dear.hasa wale tupo nchi za watu ndio tunakipitia zaidi

  • @crestian8343
    @crestian8343 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤🎉🎉 twende na binti sayuni sasa pongezi kaka

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 8 หลายเดือนก่อน +15

    Tuna enjoy lkn anti zena lukas🎉🎉🎉

  • @ANKOZUBERI881
    @ANKOZUBERI881 8 หลายเดือนก่อน +2

    asante sana kaka LUMBASI kwa simulizi tamu

  • @omerrashed9080
    @omerrashed9080 8 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤Lucas lumbasi nice job tùnakupenda sana ❤❤❤

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kitu kipya tùpelaha namafunzo🎉🎉🎉🎉

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante xana lukasi mungu akubalik nakulinda tunakupenda tunazpenda Kaz yako

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo mama Sayuni na bibi yake wanamtumikisha sana kwa manufaa yao bila kujali madhara anayopata,hata maisha yake wala hawakuyajali,inahuzunisha sana

  • @anithaibrahimisack8860
    @anithaibrahimisack8860 8 หลายเดือนก่อน +10

    Lucas lumbas 😭😭😭😭
    """ANTI ZENA"""

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  8 หลายเดือนก่อน +4

      Anitha hii simulizi utakuja kunipa majibu... Anti Zena anakuja

    • @anithaibrahimisack8860
      @anithaibrahimisack8860 8 หลายเดือนก่อน +3

      @@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI unaniahidi???
      Sawa nakuamin 💯

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  8 หลายเดือนก่อน +3

      ​@anithaibrahimisack8860 yes i promise

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 8 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu boss wa sayuni ingelikua mimi ningemu nyongelea mbali

  • @omanss268
    @omanss268 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mama yako hakupendi tena mujinga😢😢😢😢

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana daa yote hayo yamekupata kwasababu ya imani na huruma na ndio hata mamaako hakujali yy yuwajali mume tu

  • @sarafinahprince4265
    @sarafinahprince4265 8 หลายเดือนก่อน +3

    Jamni 😢mbn hii story kama unaadisia ya kwangu Mimi .ni uchungu sana

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 8 หลายเดือนก่อน +3

    Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤67🎉🎉😂😢

  • @AgnessLorry
    @AgnessLorry 8 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani aunti zena

  • @ReyNassor
    @ReyNassor 8 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani. Kwanza asnte pili tuekee ANTI ZENA

  • @GladieCharz
    @GladieCharz 8 หลายเดือนก่อน +4

    Tunasubir na aunt zena

  • @BibiLali-r9f
    @BibiLali-r9f 8 หลายเดือนก่อน +2

    Twangoja binti zena watuletea nyengine😊

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 8 หลายเดือนก่อน +3

    😥😥MAMA SAYUNI ni mama ambae hana shukran☹️☹️yani mtoto wako hanajitoa kwa kila kitu lakni🤔🤔mama mwenyew sasa

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli maisha ni mapambano ila wakati mwengine inabidi tukaze roho na izi familia zetu, mimi kishanikuta kisa kama hicho ila kwa sasa nko makini na mamangu mana ni mchaga hailisi kwa pesa ni moto wakuotea mbali sana

  • @patriciapastory9702
    @patriciapastory9702 8 หลายเดือนก่อน +8

    Ant zena jaman

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mm kama mm mwanaume ukinipenda hakikisha unapenda nawanangu sasa shida gani huyu alipitia watoto wako kwa bibi halafu unaolewaa unawaachaa mm hapana ndomana najielewaa huwa sitegemei mwanaume katika maisha yangu

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 8 หลายเดือนก่อน

      Hapo umenena pia mm kwanza hutanguliza wtt kwn huyu mwanaume mmekutana mkiwa watu wazima na mwanaume anaweza kukutelekeza lkn mwanao hata km mzazi ni mchawi bd ana uchungu na ww,shida ya wanawake wengi tunatanguliza mapenzi kwa wanaume haswa hawa ambao wanaolewa wakiwa na wtt 😢

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 8 หลายเดือนก่อน +3

    😜😜boss kichefuchefu akhaaa🤣🤣

    • @FatimaRamadan-s4f
      @FatimaRamadan-s4f 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hata waarabu Wana nafuu😂😂😂

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o 8 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mamake sayuni ana mapungufu mno ..hivi binti yako ni chuma ulete..basi Silchester kuzaa bila mpango

  • @AminaOmar-z9b
    @AminaOmar-z9b 8 หลายเดือนก่อน

    Yani Roho inauma kama yamenikuta ila Allah aendele kutusmamiya 😢 dah Allah adele kusimamiya mama aguu ❤ na edele kumhfdhi pole sana sayun

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 8 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana SAYUNI hiko kisa kilichokukuta,sio peke yako ni chenye mfanano na baadhi wanaojituma nchi mbali mbali km uarabuni ulaya , USA, na hata UK
    Wanaendelea kulizwa na baadhi ya familia zao
    Wanapoamua kuekeza makwao
    Hizo ndio family zetu
    Wanaziba mashimo yao tu

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mashabiki nimefika hewani like zangu ziko wapi Lucas ako poa sana na simulizi 🎉🎉

  • @STARJAMAL-my4mq
    @STARJAMAL-my4mq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana sayuni

  • @STARJAMAL-my4mq
    @STARJAMAL-my4mq 8 หลายเดือนก่อน +4

    Lukas jameni mbona unachelewesha Anti Zena

  • @RachelJoseph-n7b
    @RachelJoseph-n7b 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ina boa yaani simulizi haziishi

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 หลายเดือนก่อน +1

      Na kwan umelazimishwa kufuatilia dear.ukihisi kubanwa wwe jisongoze aisee.sio.kucomment pumba

  • @ZenaidaDaniel-r9d
    @ZenaidaDaniel-r9d 8 หลายเดือนก่อน +8

    Lucas kipenz Cha watu kijana mtaratibu mwenye sauti yake mjini? Tunakpenda🥰🥰🥰

  • @queen_annah7859
    @queen_annah7859 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hii sio pouw kaka lucas mbona haumalizi simulizi moja moja😒😒😒😒

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 8 หลายเดือนก่อน +6

    Lucas mwambie rafikiyo yako anko jay anachotufanyia sio powa Kabisa 😢😅

    • @ashleymohamed6935
      @ashleymohamed6935 8 หลายเดือนก่อน

      Roby jamnn

    • @SelinaErick
      @SelinaErick 3 หลายเดือนก่อน

      Kumbe hao NI watu tofauti😮

  • @Jennysolange8989
    @Jennysolange8989 8 หลายเดือนก่อน +17

    Wa kwanza leo nipeni like plz❤❤❤ let’s enjoy😊 guys

    • @saumuwani
      @saumuwani 6 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤

  • @Thesons-e9p
    @Thesons-e9p 8 หลายเดือนก่อน +4

    Aunt zena

  • @FarajaKaywanga
    @FarajaKaywanga 7 หลายเดือนก่อน

    Yan anapenda ndoa huyu mama kaaaa jaman mweeee

  • @mbasaartcreative4073
    @mbasaartcreative4073 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh! Huyo bibi kama vile bibi yangu jamani

  • @gladyes1717
    @gladyes1717 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wakwanza jameni😂😂😂💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾

  • @MwasityAbubakar
    @MwasityAbubakar 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sijachelewa sana🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴

  • @dionisiadionis9903
    @dionisiadionis9903 7 หลายเดือนก่อน

    Sayuni simrizi yako kama vile mm yalinikuta najuta sana wazazi wetu wanatuumiza sana

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน

      Inahuzunisha sana,ila kama wakifanya makusudi kama hawa,Mungu atawahukumu sababu watoto hawakujileta wenyewe duniania,wanataka kuwatumikisha tu bila kuwapa haki zao za msingi.utakuta akikua wanavizia tu wamwozeshe kwa kumuuza ili wapate faida au akija kufanikiwa kila mtu anajipendekeza bila haya

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน

    Binti Sayuni ni mkweli siyo mnafiki,sijui kwanini watu wanapenda sana marehemu kuliko uhalisia wenyewe,hata mgonjwa hapewi matibabu kuliko huduma ya mazishi.

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 8 หลายเดือนก่อน

    Pole Sayuni😢😢😢😢😢😢

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน

    Hiyo siyo familia yako Sayuni,ni familia za wengine na wanatakiwa kuwajibika wenyewe! siyo wanakuwa busy tu na uzazi bila kuwajibika na lolote lile

  • @ElizarhobiMotabo
    @ElizarhobiMotabo 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo pa Rose mohando nicheke

  • @asumthamanyahi5255
    @asumthamanyahi5255 8 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks very much

  • @MwazanKadope
    @MwazanKadope 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamni uyo mama ake hana huluma ata kidogo

  • @LovelyBackgammon-rf6od
    @LovelyBackgammon-rf6od 8 หลายเดือนก่อน +1

    wa kwnz leo

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 8 หลายเดือนก่อน +1

    Thx Luc❤❤

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 8 หลายเดือนก่อน

    Mamake sayuni apenda kuzaa ma uwezo hana

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 หลายเดือนก่อน

    Uhondo upo huku .tnaenjoy.ila wengine tukikosa Robby tunaboeka sana

  • @GIFTEDWIN-t9m
    @GIFTEDWIN-t9m 8 หลายเดือนก่อน

    Jmn Lucas part two mbn unaichelewesha ivyo😢😢😢

  • @Sharon-m2s
    @Sharon-m2s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante lucas.

  • @SALMAS-s3d
    @SALMAS-s3d 8 หลายเดือนก่อน

    Wajina wangu love you 💚😂

  • @linetohuru348
    @linetohuru348 8 หลายเดือนก่อน

    Inauma sana haki 😭😭😭😭😭😭

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ankoj Nimeipata

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 หลายเดือนก่อน

      Hivi ni kweli hujui msimuliaji ni nani ama unajiita data tu

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 8 หลายเดือนก่อน

    Mama mzizi jamani shatani ndiyo Hapendi watu tana hana huruma asente Lucas lumbas

  • @bentahmasiemo2742
    @bentahmasiemo2742 8 หลายเดือนก่อน

    Family can drain you without mercy 😢😢.

  • @FarajaKaywanga
    @FarajaKaywanga 7 หลายเดือนก่อน

    Hawana baba hao kaaaa

  • @marymlongojoseph
    @marymlongojoseph 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @leah5307
    @leah5307 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Lucas VP Anti Zena sehmu ya 9😅😅

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 8 หลายเดือนก่อน

    Zawadi wangu mlete😢😢😢

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 8 หลายเดือนก่อน +4

    Thanks but huwa mnamatatizo gani mbona hamumalizi simulizi Kila mara muna Anza simulizi mpya 😢😢

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  8 หลายเดือนก่อน +3

      Kuna wakati nafanya hivyo ili kutomchosha mskilizaji kwa kumfululizia simulizi moja tu. Kwani sio wote wana uwezo wa kufatilia simulizi yenye part zaidi ya 05

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kweli kabisaa ni bora simulizi ikiaza imalizike bwana 🤣🤣 from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @osmannchimwanga5072
      @osmannchimwanga5072 8 หลายเดือนก่อน +1

      Part 05 mtu a hole wakati simulizi tamu,kama gobore la urithi na taxi zote zimeishia njiani,sawa na umenunua kitabu chenye simulizi iliyoishia katikati .

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@osmannchimwanga5072 Sasà na wewe onesma kwani gobole lipo kwa Lucas? 🤣🤣🤣 From Italy 🇮🇹

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@osmannchimwanga5072hapa ni kwa lukas sio simuliz mix 😂😂😂😂

  • @omanmajan9438
    @omanmajan9438 8 หลายเดือนก่อน +2

    Antizena

  • @leah5307
    @leah5307 8 หลายเดือนก่อน

    Walio ndani ya ndoa wanataka kutoka walio toka ndani hwatamani kurudi ndani ya ndoa

  • @Bhokewaibe
    @Bhokewaibe 8 หลายเดือนก่อน

    Yaan huyu mama sayuni jamani hata simuele mmmh

  • @annahnyansiaboka451
    @annahnyansiaboka451 8 หลายเดือนก่อน

    Uyu mama amenisinya tabia mm ata naesatoka niende zangu kutafuta maishà yangu

  • @SaburRashid
    @SaburRashid 3 หลายเดือนก่อน

    Na huyo mama anazaa km panya wakat maisha yake magumu

  • @JosephineMartini
    @JosephineMartini 8 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba part 2 ya binti sayuni

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 6 หลายเดือนก่อน

    Yaani Sayuni unategemea hiyo familia yako itapata furaha hiyo,hao hawana upendo wowote hivyo hawawezi kupata furaha yoyote ile

  • @FarajaKaywanga
    @FarajaKaywanga 7 หลายเดือนก่อน

    Ona Sasa Hela unatuma bad unaambiwa hunamusaada

  • @irflorienbigirmana1305
    @irflorienbigirmana1305 7 หลายเดือนก่อน

    Kwani simulizi zingine sio za kwr mbona munaduchanganya

  • @Clareindusa-qp5gc
    @Clareindusa-qp5gc 8 หลายเดือนก่อน +2

    Lukas tafadhali tumalizie izo simulizi mbili ndiposa utoe simulizi ingine

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 8 หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @SaeedhSaeedh-f6i
    @SaeedhSaeedh-f6i 8 หลายเดือนก่อน

    Boss kama huyo aulize kadamas wa saudhia ndio atakua Kuna vichaa

  • @NkurabwireMargret
    @NkurabwireMargret 8 หลายเดือนก่อน

    Ariane life in proson

  • @FarajaKaywanga
    @FarajaKaywanga 7 หลายเดือนก่อน

    Kwan huyo mama Ako kilasiku anazaa af anataka ww utuze ama mbona sielewii Kila sikua anaolewa anakela Kwan hawez kutulia bila kuolewa kaaaa

  • @NuruAbdullah-h7g
    @NuruAbdullah-h7g 8 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu kuna watu wanajisemesha eti maboss warabuni wanatesa watu nyie jamani.kama hujui kitu kaaa kimyaaa hayo anayosema sayun yalisha nikuta maboss waafrica wanaroho mbaya mnoo nimekaa Oman iraqi dubai sijawahi kuona roho mbaya kama ya Africa

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 8 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 8 หลายเดือนก่อน

    🥲🥲🥲

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani huyu mama sayuni alikataa kumsomesha halafu bado kamuweka kitega uchumi kazini na hao wadogo zake wana baba zao awapeleke kama alivokuwa akimkatalia yeye

    • @FatimaRamadan-s4f
      @FatimaRamadan-s4f 8 หลายเดือนก่อน

      Huyu mama Hana akili yy n kuzaa tu mm ninge zima simu mwaka ajipange kama n laana mungu Yuko

    • @khadejarajab8007
      @khadejarajab8007 8 หลายเดือนก่อน

      @@FatimaRamadan-s4f ukisikia mama kupigwa na mtoto hata laana haipati kweli

  • @JacksonKimbigaro
    @JacksonKimbigaro 8 หลายเดือนก่อน

  • @chrismdawi3524
    @chrismdawi3524 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢

  • @EdinaAosa
    @EdinaAosa 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @AlexSosolo-n5o
    @AlexSosolo-n5o 8 หลายเดือนก่อน

    Wa 259 jamani

  • @omanmajan9438
    @omanmajan9438 8 หลายเดือนก่อน +1

    Minaitaj

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan huyo mama haezi tafuta kazi yakufanya

    • @leah5307
      @leah5307 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wanapenda vya bureee😅😅😅

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @FaithPeter-j4w
    @FaithPeter-j4w 8 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @خديجه-و1خ
    @خديجه-و1خ 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @LeahLissu-x5w
    @LeahLissu-x5w 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤