WAKILI MWABUKUSI:AMVAA VIKALI RAIS SAMIA ISHU YA BANDARI NI UVAMIZI "TUTANDAMANA "

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 103

  • @milcahkapan7932
    @milcahkapan7932 ปีที่แล้ว +8

    Ashikuriwe Mungu kwa wazalendo kama ninyi🙏

  • @sabinamathias-qk7bv
    @sabinamathias-qk7bv ปีที่แล้ว +5

    Ahsante,, mungu bado kna wazalendo wa kweli mung asimame nawe katka hil🙏

  • @paulotajiri7854
    @paulotajiri7854 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akusaidie komboa nchi yetu tuko nawewe wakili wetu anaetetea Tanganyika nchi yetu

  • @EgidiusBayon
    @EgidiusBayon ปีที่แล้ว +7

    Hoja hujibiwa kwa hoja, upande wa pili walete majibu ya kisheria kifungu kwa kifungu

  • @MzunguSangahn-eu1es
    @MzunguSangahn-eu1es ปีที่แล้ว +6

    Udhalendo udumu jamani Mungu tusaidie sana kwa kweli

  • @brightonmwainyekule3902
    @brightonmwainyekule3902 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana mzalendo

  • @josephndali9584
    @josephndali9584 ปีที่แล้ว +7

    Tuko pamoja tusimame na Tanganyika yetu.

  • @janetmutashubilwa3041
    @janetmutashubilwa3041 ปีที่แล้ว +2

    Niko na wewe tutapambana. Nchi hawatauza hao majambazi. Yaani hili sakata linaniuma kwani vitukuu vyangu watakua watumwa wa waarabu. Sikubali. Tupambane mimi niko nanyi. Thank you sir wewe ndio mzalendo.

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 ปีที่แล้ว +3

    Mm ni mwanchi hatutaki bandari kuuzwa acheni bandari yetu kwani hamsikii?

  • @deokarisarme884
    @deokarisarme884 ปีที่แล้ว +1

    Thankyou god🙏, uzalendo ni Kila kitu

  • @nsengiyumvalukeha
    @nsengiyumvalukeha ปีที่แล้ว +1

    Big up ma brother

  • @hassanrcharokiwa
    @hassanrcharokiwa ปีที่แล้ว +3

    Ahsante kwa makini Hilo halina Tatizo Ni uharaka uliofanywa kwenye mkataba

  • @nsubiraphael8514
    @nsubiraphael8514 ปีที่แล้ว

    Safi sana na mwarabu mwenyewe Dubai hawezi kuleta makalio yake dar kwa musik wako mwabukusi,unatuamsha usingizini the seed start to germinate and it could be big tree haleluya tuna Yesu haleluya

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu swalinde

  • @HLCTV1
    @HLCTV1 ปีที่แล้ว +3

    Kaka nakuombea Mungu akulinde usiku na mchana kwa ujasiri wako pamoja na wa Tanzania wote wenye nia njema kama wewe Mungu awape maisha marefu
    Isaya 54:17

  • @simonfundisha6817
    @simonfundisha6817 ปีที่แล้ว

    Tunakuombea Mungu, Mungu Wetu hajalala atatupigania, Sasa Tunamlilia Mungu tu. Watawala Hawa watatuua kweupe.

  • @ashaomari-rb1uu
    @ashaomari-rb1uu ปีที่แล้ว +1

    Mungu atasimama nawe kwa ajili ya watanzania wanyonge ubarikiwe sana

  • @costantinekikinda7574
    @costantinekikinda7574 ปีที่แล้ว

    Amen inapasa kichapo tu hakuna vinginevyo ni Kuwango'a tu tupa motoni kwisha

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b ปีที่แล้ว

    Asante sana usiogope pigania haki zetu Tanganyika yetu tusikuba kwamwe kamwe asante kijana mzalendo sauti ya wanyonge na mwisho ngombea ubunge wa arusha Awana shukurani kwa nanchi kuwapa kura zao kuingia bungeni wakijaribu tutawazima watoke waende kwao wapelekwe jela wote pamoja na Samia wa si malaika kutoka mbinguni nibinadamu

    • @user-zk9ox3di4b
      @user-zk9ox3di4b ปีที่แล้ว

      Tunataka katiba mpya tupewe tujitawale kimikoa sababu sisi tutaweze kujenga Tanganyika kimikoa sababu mikoa yenye utajiri walioko mamlakani wamejifanya imekua yao mbuga zetu wameweka waarabu kutudanganya ni wawekezaji lakini miradi yao tunafunikwa tukiambiwa wawekezaji nyuma ya pazia walanguzi wawale waliekua wanaiuza pembeni za ndovu pamoja ndovu nje ya nchi simawajua ni kinanani kila kitu vunja tuanze kujenga upya Tanganyika yetu atuhitaji kuunganishwa na zanzibari akuna tulichokosa utajiri tunao tunamadini tunayo bandari tunayo mbuga zetu Tanganyika watoto wetu wakienda kutafutakazi uko zanzibari awapewi wanaambiwa wabadili dini wakisha badili awapewi kazi sababu nimtanganyika alafu matuambia nini ushahidi ninao inaniuma sana muungano karume na Nyerere wao ndio walijua faida zake wazanzibari ni alali waokufanyakazi tanganyika pasipo kuambiwa wabadilini sio msitupake mafuta kwa mgongo wa chupa mkituua polepole nendeni kwenye misikiti ilioko Zanzibar fanyeni uchunguzi watoto wetu wamedanganywa kubadili baada ya ayo wamebaki uko zanzibari awapewi kazi ata awezi ata kwenda kumsalimia mama yake ni mtumwa alafu Leo hiii. Mnatuambia eti bandari yetu mumewapa awo awo waarabu waarabu watawale zanzibari nakwingineko lakini sio tanganyika kamwe kama nyuma tulilala mbele tsilale tena

  • @nsengiyumvalukeha
    @nsengiyumvalukeha ปีที่แล้ว +2

    Mungu Yuko pamoja nawe licha ya vitisho vyote, uko salama na umeinuliwa Kwa wakati sahihi

  • @user-nf6yc8uw6k
    @user-nf6yc8uw6k ปีที่แล้ว +1

    Hogera.tupambane.mpaka.kieleweke.tanzania.yetu.sio.yakwao

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe nchi hii bado tunawazalendo kama hawa na wala hatulingi, MUNGU akulinde na maadui.

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp ปีที่แล้ว +3

    Tuko pamoja mwakabusi songa mbele

  • @charlessokoine-qp7uq
    @charlessokoine-qp7uq ปีที่แล้ว +1

    Kaka mungu Akupe maisha marefu pia wewe ni nondo wa watanganyika mungu mulinde Sana mwana Sheria wetu. tuka Samia kwenu Zanzibar

  • @NicksonSanga-eq3xg
    @NicksonSanga-eq3xg ปีที่แล้ว

    Hapo super

  • @user-tb1gd4dp9s
    @user-tb1gd4dp9s ปีที่แล้ว +2

    Bandali siyo wazanzibari niyawatqnganyikq wala warabu

  • @rahma6189
    @rahma6189 ปีที่แล้ว +1

    Ongea baba

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 ปีที่แล้ว +2

    Wananchi tumechoka yaani tunaongozwa na vichwa maji hatuna viongozi tuna genge la wahuni

  • @sarahmtambo7515
    @sarahmtambo7515 ปีที่แล้ว

    mungu akurinde jembe letu mzalendo wa kweli

  • @saivellybrutally2994
    @saivellybrutally2994 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu hakulinde hakuepushe na changamoto

  • @meshackbinde1944
    @meshackbinde1944 ปีที่แล้ว +4

    Watanganyika tuamke Sasa wakati ni huu! Mbona Wazanzibar wanaijali nchi yao kweli kweli, lakini Tanganyika inachezewa sana!

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tudaidie tu tufike salama.Kwasafarii hii ndefu ningumu niyakuombeana kweli kweli.

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja na mzee wetu silaa

  • @danielchacha1305
    @danielchacha1305 ปีที่แล้ว +1

    you deserve to be the president to come!!!!!!!!!!!

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 ปีที่แล้ว

    pamoja sana

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 ปีที่แล้ว +1

    ase mungu ni mwema kweli kama kuna watu bado wanahoji swala la badar itakuwa wamelogwa akili hii nielimu tosha mungu akulinde wakili bigao

  • @joshuauisso2930
    @joshuauisso2930 ปีที่แล้ว +1

    Tupo pamoja yatoke maelekezo tuyafanyie kazi

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 ปีที่แล้ว +2

    Safari hii wamekutana na miamba watang'ooka wasituchezee ..polisi kitu gani wanasaport wizi ..bunge takataka tupu .. watajuta ..

  • @ayubusaidi922
    @ayubusaidi922 ปีที่แล้ว +2

    Mama si arisema alifeli 4 inawrzekanna hajui

  • @user-tb1gd4dp9s
    @user-tb1gd4dp9s ปีที่แล้ว +2

    Nakweli ilo genge linatuuzia bandali zetu

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว +2

    Ukienda huko unaitwa uma tunakungoja nje ya sababu hao watu wameshiba damu za watu kwahio hawajali na kiti chao usije ukakalia wanatega vikudhoofishe. Wao wanakuita ni mahakama?kama kuna kosa wakashitaki sio kukuita .walianza kwa mh kolimba kumwita

  • @samsonmmuta8978
    @samsonmmuta8978 ปีที่แล้ว +2

    Natamani namba yako ya simu we wakili jasiri tupo pamoja na wewe hatuhitaji watu waoga.wengine tumekwisha kufa bado kuthibitishwa vifo vyet tu ikiwa kusema ukweli ni kukabiliwa na risasi na vitisho.

    • @samsonmmuta8978
      @samsonmmuta8978 ปีที่แล้ว

      Hoja zinajibiwa kwa hoja na siyo vitisho

  • @JosephHaule-ik1ty
    @JosephHaule-ik1ty ปีที่แล้ว +2

    Watu wa ajabu Tanzania ndo wanaotuletea mambo ya ajabu,viongozi, wasomi na idara zote za kiserkali na kitengo cha kiintelejensia wanasemaje kuhusu hili "wakumbuke wanapata mishahara itokanayo na Watanzania ikiwemo bandari pia.

  • @user-hc9zw7pd9e
    @user-hc9zw7pd9e ปีที่แล้ว +1

    Pamoja

  • @joesydney3646
    @joesydney3646 ปีที่แล้ว

    Noted thanks

  • @HamadiSaidi-dc1sj
    @HamadiSaidi-dc1sj ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa baba

  • @hashimumatata9941
    @hashimumatata9941 ปีที่แล้ว

    Daah! Mungu abariki kwa ukwer mnaosema.

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 ปีที่แล้ว +1

    Tunamnukuu ndugai alisema nchi inauzwa mnaona?

  • @techrecyclers3460
    @techrecyclers3460 ปีที่แล้ว +1

    Safi saaana tupo pamoja kupinga hawa wadhalimu

  • @eleonorabokewarioba4420
    @eleonorabokewarioba4420 ปีที่แล้ว +2

    Huu ndo muda wetu tupo pamoja wakili wetu, nakuunga mkono

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mungu yupo upande wako

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว +1

    Tumechoka kweli kweli,Mungu tusaidie na mengine yapo ya kisili yataoneka si punde.

  • @StephanoGumbo-ti8ig
    @StephanoGumbo-ti8ig ปีที่แล้ว

    Haleluya

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp ปีที่แล้ว

    Hongera sana watanzania tunakuombea

  • @simonfundisha6817
    @simonfundisha6817 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana Mwabukusi. Yaani Spika amenikera sana. Eti anasema yeye ni Msomi wa sheria mwenye high performance. Kweli jamani? Hivi anauelewa kuliko wewe kweli? No. Tulia tupishe bhana huna unacho kijua. Komboa Nchi Mzee. Wananchi wa Tanzania tuko na Wewe.

  • @Clement-px8eg
    @Clement-px8eg ปีที่แล้ว

    Ndiyo maana hata shahidi hajulikana

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว +2

    Propaganda in ccm it has been there since late Julias kambarege nyerere left leadership to ally Hasan mwinyi
    We don't have to fear them because tanzania is for all of us Tanzania people be strong enough to reject
    Sich agreement let ccm notice thia they have steps on rong battle

  • @uwesusaid5334
    @uwesusaid5334 ปีที่แล้ว +2

    Mkataba wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii kila mwananchi ameukata Waliokubali ni Machawa

  • @TemwaJilaha-vw9md
    @TemwaJilaha-vw9md ปีที่แล้ว +2

    Tunahitaji wasomi kama hawa watutetee

  • @gabrielymatembo8770
    @gabrielymatembo8770 ปีที่แล้ว +1

    Brother nakuelewa sana , mungu kwa nini hakunipa akili kama zako.?

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 ปีที่แล้ว

      Akili sio tatizo kila mtu anazo je ulisha wahi kujiuliza kuwa una ujasiri wakutosha hata kumlinda mpenz, mkeo na hata mtoto wako.

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 ปีที่แล้ว

    alichokifanya kiongozi ni kuwambia watanganyika kwamba wenye akili ni wazanzibari ndio maana ata tukiamua kitu chochote tanganyika tunaweza

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 ปีที่แล้ว

    Huyu ni aibu kujiita hakimu yaani anaongea pumba nje ya mada basi mtoeni mbowe yuko mwenyekiti miaka mia mpaka hana najenda tena za maana

  • @user-tb1gd4dp9s
    @user-tb1gd4dp9s ปีที่แล้ว +1

    Bandali siyo ya samiq na genge lake

  • @user-gq6vz6we3m
    @user-gq6vz6we3m ปีที่แล้ว

    Tunakusapoti hata Kwa lolote simamia uzalendo wa Mali za watanganyika.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +1

    Mkataba huo ni wa samia walisema wale waliokua wanashangilia...

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 ปีที่แล้ว

    👋👋👌

  • @mallowmduhu4933
    @mallowmduhu4933 ปีที่แล้ว +1

    Maandamano tu ndiyo yanatakiwa,Tangazeni tu tarehe ya Maandamano hayo tuje tuungane

  • @user-tb1gd4dp9s
    @user-tb1gd4dp9s ปีที่แล้ว +1

    Njaa zipo wanaouza mali zetu kwa warabu

  • @MchungajiEliamtishibi-hy3qk
    @MchungajiEliamtishibi-hy3qk ปีที่แล้ว +1

    Mtakoma kuwasomesha hawa wanasheria mh sasa wamewageuka

  • @JuliusMsabaha-gh1fi
    @JuliusMsabaha-gh1fi ปีที่แล้ว

    Ccm manayake chamachama majambazi

  • @sirajbakari104
    @sirajbakari104 ปีที่แล้ว

    Du hatari San😊

  • @bakariamour1024
    @bakariamour1024 ปีที่แล้ว

    8ehalwndo unao hivi, mbona haukuwa nao hapo mwanzo kipindi cha mwendazake ,wacheni kulitia taifa shimoni ,mnatumiwa kwwli sio uwongo ila dawa yeno ipo jikoni

  • @onelovetz7935
    @onelovetz7935 ปีที่แล้ว

    JPM jembe wamemuua kwa kusimamia haki

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 ปีที่แล้ว

    Tunanjaa

  • @janetmutashubilwa3041
    @janetmutashubilwa3041 ปีที่แล้ว

    Mapambano yanaendelea. Nakuombea uliwekwa kwa wakati muhafaka. Tunataka raisi MTANGANYIKA.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว

    One of painful comment from tanganyika advocate head of tanganyika advocate
    Team.wich pull gavment in high court in mbeyea on dp would agreement
    Speech and let police obay costuetion principal in Tanzania wich beginning of protesting against palament pass agreement of dp world iligle accourding tanganyika advocate low explanation under tanzania costuetion
    Hard time
    For ccm use powerforce with the poluce but this protesting is under tanganyika advocate front of protesting with tanzania population disagree that agreement we think mwaburukus tanganyika advocate team of advocate to confront ccm leadership with full force

  • @rajabumkina6118
    @rajabumkina6118 ปีที่แล้ว

    Nyie ndio dongo la magufur tusaidieni tulioko chini

  • @ipepeetube449
    @ipepeetube449 ปีที่แล้ว

    Nipo na wewe kidumba au maombi

  • @user-bz1hn3in9t
    @user-bz1hn3in9t ปีที่แล้ว

    Ww kweli kibubusa eleza hoja sio kutoa ukali ww usomi wako ni zero huna jambo

  • @SaugoNdemo-tx4le
    @SaugoNdemo-tx4le ปีที่แล้ว +1

    NAUNGA MKONO HOJA....!!

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 ปีที่แล้ว

    Tusiseme tuko pamoja tu ya maneno hao serikali wanaowaita wanasheria ktk vyumba vyao vya siri walianza kitambo na anaeitwa ni lazima adhoofike kwani wao wana mahakama ya siri?kama mtu kakosea kusema mumuite mahakamani sio vyumba vyenu vya siri.mahakamani tuna uwezo wakija kuwasindikiza mawakili wetu .mkiwaita dodoma mna maana gani?mnataka kuwakolimba

  • @user-bz1hn3in9t
    @user-bz1hn3in9t ปีที่แล้ว

    Wazanzibar wao ndio walimu wenu wao ndio waliotokazanzibar kuja kukufundisha ww tanganyika acha ujinga wako

  • @BakariAbdala-so9wk
    @BakariAbdala-so9wk ปีที่แล้ว

    Nyinyi pingeni ila bandari lazima ipate Mwekezaj binafsi

  • @BakariAbdala-so9wk
    @BakariAbdala-so9wk ปีที่แล้ว

    Mimi navipongeza vyombo vyeti vya ulinzi kwa uvumilivu wao ningekuwa Mimi nimeshakutupa bahatini wewe

    • @alexchonanga1821
      @alexchonanga1821 ปีที่แล้ว

      Unatakiwa kujibu hoja za mkataba upoje usilete upuuzi Wa kusema ungekua umeshaweka ndani afu ukiweka ndani unahisi ndio utakua umepata nini kama sio ujinga

  • @Shabani-uz1sb
    @Shabani-uz1sb ปีที่แล้ว

    Ww unatakaumalufu

  • @BakariAbdala-so9wk
    @BakariAbdala-so9wk ปีที่แล้ว

    Huna uzalendo wewe una njaa tu mwanasheria utakuwa wewe

    • @user-ni9zc3gx5t
      @user-ni9zc3gx5t ปีที่แล้ว

      Pinga kwa hoja

    • @josephndali9584
      @josephndali9584 ปีที่แล้ว

      Ndugu acha kisema hivyo, haiwezekani Bandari ya Tanganyika tu ndio waarabu wakabidhiwe hiyo haiwezekani tafakari kwa upya

    • @janetmutashubilwa3041
      @janetmutashubilwa3041 ปีที่แล้ว

      Huyu ndio mzalendo na ameenda shule. Wewe kwa jina TU elimu Yako inajulikana .

  • @azizbashir
    @azizbashir ปีที่แล้ว

    POLE NDUGU YANGU HIYO BANDARI UNAYOKAMIA MPAKA MSHIPA UNAKUSIMA NI YA MAMA YAKO AU YA BABA YAKO WACHA USHAMBA WEWE BOYA UTAKUFA KWA PRE-SHAVE-LOTION WE MWEHU

    • @SaugoNdemo-tx4le
      @SaugoNdemo-tx4le ปีที่แล้ว

      Naona katiba anafuata...ipasavyo!!

    • @MzunguSangahn-eu1es
      @MzunguSangahn-eu1es ปีที่แล้ว

      Wale wale kasoro majina ninyi

    • @janetmutashubilwa3041
      @janetmutashubilwa3041 ปีที่แล้ว +1

      Rudi Zanzibar tuachie nchu yetu mimi mtanganyika tutapambana na nyinyi. Wewe kazi Yako hapa mchuni ni nini? Rudi Zanzibar tuachie Tanganyika yetu sisi wazao. Huna shule ndio maana unaonavsawa bandari iuzwe. Wewe ukipewa ugali na majarage ndio umeridhik. Wacha wenye akili wafanye kazi.

    • @azizbashir
      @azizbashir ปีที่แล้ว

      SHULE YA POMBE NA ZINAA NA MSHIPA KUTOKA UTASEMA PANYA KABANWA NA MTEGO SHULE HIPI HATA KIZUNGU CHENU BROKEN