ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Barikiwa Mch. Kwa neno la majira haya tunapoendea utimilifi wa unabii wa Agano Jipya
Amen baba yetu MUNGU akupe maisha marefu Bado tunakuitaji ili tuinuke kiroho zaidi amen
Amen 🙏
Amina , Huyu Mchungaji Huwa namuelewa.
Ubarikiwe sana baba Magembe,pia nimefurahia sana kumwina babaangu Rev Mwasangapole ulinibatiza
Ubarikiwe sana Mch. Moses Magembe. Uwepo wako ni muhimu sana katika wakati huu. Mungu wetu akupe maisha marefu na azidi kukuwezesha kwa utukufu wake.
Amen
MUNGU akulinde pande zote uendako
Karibu nyumbani baba. Utukufu kwa Mungu
Amina Amina Amina
Huyu mzee anazeheka vizuri mungu amtunze ila nawaza sana akiondoka sijui nani atabaki mwenye msimamo wa mungu wakusimamia kanisa katika manayake halisi kama huyu mzee
Kabisaaaa
@@womanofgod2217 🙏
Kunaomba MUNGU ainue watu wengi sana kama huyu mtumishi wa MUNGU
@@deodatusmagagura6793 watapatikana kweli kwa kizazi hiki cha sasa?
Hata mm najiuliza sana maana mm huyu ndio baba angu wa kiroho mm mpaka kusimama vizuri na Yesu ni huyu mzee Mungu ambariki sana
Amina baba..Mungu akupe maisha marefu maana nabarikiwa Sana
AMEN
MUNGU aliye tuletea magembe naawalete wengine
Jina la Bwana libarikiweee
Baba njoo na huku Zanzibar jamani 😐😐
Amina
Ningekuwa nauwezo ningeomba mungu huyu baba asiondoke duniani mpaka yesu arudi ili aendelee kulisaidia kanisa ila ndo haiwezekani
Yaani kwa kweli abaki mpaka unyakuo ili aendelee kulitunza kanisa
Mungu atainua watu tu ndugu yangu.
Kwanini wewe usiinuke badala ya wengine kwani jukumu analofanya si ni letu sote!?
Natamani sana aghalabu nipate diploma ya theolojia ya biblia. Nami niihubili kweli yote ya Mungu
Ame