Wokovu ni nneema Kwa njia ya Imani maana Ni, (1) Kwa kumwamini yesu kristo kuwa Ni Mwana WA mungu ndipo mwanzo WA neema, (2) tunapo mpokea yesu ndipo neema inatimilika ndani yetu, (3) Kisha kuanzia hapo tunahesabiwa haki Kwa imani Na utakatifu. Amen 🙏
Wokovu ni kwa Neema kwa Njia ya Imani. Maana yake ni hii. Wokovu unapatikana kwa Neema kwa njia ya Imani yaani Misingi ya Imani. Tunaanza na Neema inatuokoa alafu tunakaa kwenye Misingi ya Imani inayotujenga kubakia kwenye Neema ya Wokovu.
Kweli mch. Watu wako wa matangazo waseti mapema kabla hujaanza kuhubiri. Pia watamjue kiwango cha sauti sahihi ili isiwe mtu unasikiliza mara upandishe mara ushushe. Huduma nzuri ila upande wa watu wa video na sauti bado wanahitaji jiyihada kubwa sana sana. Kutoa mahubiri online ya viwango ndiyo yataonesha how serious is the ministry. Tuzingatie hayo wahusika wote.
Hakuna kigezo/vigezo ambavyo mtu anapaswa kuwanavyo ili apate wokovu bali ni jambo la kila mtu kwa neema. Ili kustahili kigezo ni kukubali kazi ya Yesu Kristo
""Wokovu ni kwa Neema kwa njia ya imani "" Wokovu ni nini :-wokovu ni "ukombozi" mfano mtu alitekwa mateka baadae akawa amekombolewa Ndio tunasema amekombolewa Neema nini :-Neema ni upendelo anao upata mtu pasipo kustahili Imani ni nini :-Imani ni kua na hakika na mambo ya tarajiwayo Sasa tunapata upendeleo (neema) ya kukombolewa na dhambi (wokovu) kwa njia ya (imani) kuamini kua Yesu kriso arikufa msarabani kwa ajiri ya ukombozi wa watu wote
Kuokolewa ni kwa neema maana ake wokove unapatikana kw kuamin tu yesu alkufa na alifufuka pasipo kutoa sadaka ya kuteketezwa wa mzaliwa wa kwanza Wala mapenz ya mwili kama vile tohara ama kunawa kbla ya kusali,kutokula baazi ya vyakula,Wala Sheria yoyote Ile
Kumkili yesu kwa kinywa chako kuwa ni bwana na kuamini moyoni kwetu kuwa ni bwana na alikufa na kufufuka yetu utaoko ka Neema ni kristo na Imani ni kukiri Yoh 16:3 kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulinwengu hata akamtia mwanaye pekee ILI Kila aaminiye ataokoka
Tatizo la ulokole ni kutunga hadithi za uwongo, uzushi na hadaa kwa taifa la Mungu. kunenea uwongo kwa wasio. wa madhehebu yao sio dhambi kwao. Hata wanaojiita wasomi kama huyu, hunena uzushi, labda hizo PhD ni kusomea uwongo.
Wokovu ni nneema Kwa njia ya Imani maana Ni, (1) Kwa kumwamini yesu kristo kuwa Ni Mwana WA mungu ndipo mwanzo WA neema, (2) tunapo mpokea yesu ndipo neema inatimilika ndani yetu, (3) Kisha kuanzia hapo tunahesabiwa haki Kwa imani Na utakatifu. Amen 🙏
Neema ni kustahilishwa na Mungu kupokea hi hiyo Imani unayo zaa wokovu
Semina mtumishi ila unawezakuwa wokovu na yesu lakini kumnyima faragha kutwa nzima ikaendeleza mihemko ya kazi mbingu tulisikia tu
Neema ni kazi zote alizozifanya Mungu Imani nichombo chakupokeya ile Neema
Salama baba,ila hapo kwa kugeuza bibilia na papa si kweli
Daah Mungu utusaidie tufike mbinguni
Yesu ni mwema sana katika maisha yetu.
Bwana Yesu tusaidie .
Wokovu ni kwaneema kwanjia yaimani 1 nikwamba niuwezeho wa mungu wa kuukataa ubaya na kuiamini kweli ya kristo
Neema+ Imani= wokovu
Emeeeen balikiwa sanaa mtumishi wa BWANA
Amen amen neema ndiyo inatanguliya
Asante baba angu kwa neno zurii
Amina baba Mungu atusaidie
Kwa neema duh hii imeenda amen
Wokovu ni kwa Neema kwa Njia ya Imani. Maana yake ni hii. Wokovu unapatikana kwa Neema kwa njia ya Imani yaani Misingi ya Imani. Tunaanza na Neema inatuokoa alafu tunakaa kwenye Misingi ya Imani inayotujenga kubakia kwenye Neema ya Wokovu.
Amen ❤
Tuliokolewa kwa neema ipatikanayo katika Cristo yesu kwa hiyo tuko chini ya neema ya Cristo hatuko chini ya sheria
AMEN 🙏🙏🙏
Kweli mch. Watu wako wa matangazo waseti mapema kabla hujaanza kuhubiri. Pia watamjue kiwango cha sauti sahihi ili isiwe mtu unasikiliza mara upandishe mara ushushe. Huduma nzuri ila upande wa watu wa video na sauti bado wanahitaji jiyihada kubwa sana sana. Kutoa mahubiri online ya viwango ndiyo yataonesha how serious is the ministry. Tuzingatie hayo wahusika wote.
Inatangulia neema kisha inafata imani.
Wokovu ni kwa neema kwa njia ya Imani maana yake ni tumepata hakikisho la msamaha wa dhambi pasipo kustahili au si kwa matendo mema kifupi
🎉Iman Neema kwanza inabidi tujue maan ya Neema na Maan ya Imani, mi sihui jaman nauliza Imani ni Nini? na Neema ni Nin?
Watching from Zanzibar tunabarikiwa sana na mafundisho yako Baba
Amen
Neema ndo hutangulia imani
Shalom. Naomba kujua kama kuna vitabu vya uchambuzi wa vitabu vya Bibilia za huyu mchungaji. Niko Kenya kindly nijibuni.
Amen
Hakuna kigezo/vigezo ambavyo mtu anapaswa kuwanavyo ili apate wokovu bali ni jambo la kila mtu kwa neema. Ili kustahili kigezo ni kukubali kazi ya Yesu Kristo
Neema ni upendeleo
Tumeshukuru kwa Neno
Tumeokolewa bure kwa imani
""Wokovu ni kwa Neema kwa njia ya imani ""
Wokovu ni nini
:-wokovu ni "ukombozi" mfano mtu alitekwa mateka baadae akawa amekombolewa
Ndio tunasema amekombolewa
Neema nini
:-Neema ni upendelo anao upata mtu pasipo kustahili
Imani ni nini
:-Imani ni kua na hakika na mambo ya tarajiwayo
Sasa tunapata upendeleo (neema) ya kukombolewa na dhambi (wokovu) kwa njia ya (imani) kuamini kua Yesu kriso arikufa msarabani kwa ajiri ya ukombozi wa watu wote
Asant
😅😅kuamini huja kwa kusikia neno la Mungu
Pasipo Neema huwezi kuokoka. Nayo ili uokoke ni sharti uamini .
Daaah Leo ndio naelewa neno enyi wagalatia msio na akili nani aliye waloga
Neema inaanza maana neema ipo nipo ije Imani baada ya mtu kusikia
Bwana Yesu tusamehe sisiwakosefu
Kuokolewa ni kwa neema maana ake wokove unapatikana kw kuamin tu yesu alkufa na alifufuka pasipo kutoa sadaka ya kuteketezwa wa mzaliwa wa kwanza Wala mapenz ya mwili kama vile tohara ama kunawa kbla ya kusali,kutokula baazi ya vyakula,Wala Sheria yoyote Ile
Kumkili yesu kwa kinywa chako kuwa ni bwana na kuamini moyoni kwetu kuwa ni bwana na alikufa na kufufuka yetu utaoko
ka
Neema ni kristo na Imani ni kukiri
Yoh 16:3 kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulinwengu hata akamtia mwanaye pekee ILI Kila aaminiye ataokoka
Tatizo la ulokole ni kutunga hadithi za uwongo, uzushi na hadaa kwa taifa la Mungu. kunenea uwongo kwa wasio. wa madhehebu yao sio dhambi kwao. Hata wanaojiita wasomi kama huyu, hunena uzushi, labda hizo PhD ni kusomea uwongo.
Wokovu tumekombolewa kwaneema WA efeso 3 8 wakolosai 1 13
Amen 🙏
Amen
Pasipo Neema huwezi kuokoka. Nayo ili uokoke ni sharti uamini .