#ZaNdaaani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 41

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 ปีที่แล้ว +11

    Za Ndaaani Kabisa is one of the best radio segments in the country aisee. Sijui kama jamaa alikusudia au alianza kwa bahati mbaya tu, ila it's a masterpiece.

  • @fadhilimwaiganju3757
    @fadhilimwaiganju3757 ปีที่แล้ว +7

    Nakipenda hiki kipengele cha zaaaa ndaaaani😀

  • @alsaadyalsaady6838
    @alsaadyalsaady6838 ปีที่แล้ว +10

    Ni mwanamke anaejitambua na watamnunia sana mwaka huu na bado atasafisha uchafu wote pale simba

  • @thomasnaibala6171
    @thomasnaibala6171 ปีที่แล้ว +6

    C.O ni mmoja tu Tanzania na ni babra wengine wanajitafuta

  • @realmalik3192
    @realmalik3192 ปีที่แล้ว +5

    Kwahiyo alikuwa yupo sahihi kumfukuza Haji Manara 🤔🤔🤔 #sportsarena

  • @swalehlikongo1512
    @swalehlikongo1512 ปีที่แล้ว +1

    Call a spade never called it abig spoon konk fire mzee wa zandaaaaani

  • @ezeckielymakala4548
    @ezeckielymakala4548 ปีที่แล้ว +6

    Aisee wakudere mwshon umelimwaga live😂😂😂 puuu!!

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 ปีที่แล้ว +1

    Wizi siyo mziki yaani thuruma kila Kona , anaitwa super CEO ,Safi sana komesha hao vishoka..

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 ปีที่แล้ว +3

    Kwa njia hiyo ni hatari

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu yangu mimi sio mchezaji 😆😆😆😆

  • @stevewesco6669
    @stevewesco6669 ปีที่แล้ว +1

    Wa kudereee🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿😂

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 ปีที่แล้ว +2

    Wewe unafanya mchezo mpaka yule msukule kulia mshahala wake ulikuwa laki tano lakini siku zote hizo alikuwa amenyamaza tu alikuwa anasema simba ndiyo inaongoza kulipa pesa nzuli wachezaji kumbe alikuwa anajua malupu lupu yake baada yakufutwa hayo lililia kama litoto jinga linalizwa namwanamke

  • @salama1113
    @salama1113 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana

  • @ip_header
    @ip_header ปีที่แล้ว +1

    Kaboresha kwa kumleta Mzungu?

  • @malilacollins11
    @malilacollins11 ปีที่แล้ว

  • @husseinmwita9642
    @husseinmwita9642 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh huyu jamaa

  • @habarikiswahili
    @habarikiswahili ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂mwanamama

  • @isayandolomindolomi1853
    @isayandolomindolomi1853 ปีที่แล้ว

    Nikweli wa kudele fichuwa bwanaa

  • @johnmwaisunga2339
    @johnmwaisunga2339 ปีที่แล้ว +1

    Baada ya Moh kuchukua Timu utaratibu na usajili wote ulikuwa na ufanywe na yeye, hivyo si kweli anachosema pili Mikataba upitia na body kabla ya kusainiwa iweje leo ndio iwe tofauti? Wakati yeye ndio mtendaji mkuu na upitia mikataba yote kabla kusainia? Lakini ni nani haswa anapaswa kuthibitisha yote hayo? Jibu ni takukuru, ni kweli mambo haya yapo, lkn kwa mfano mimi nimesaini mktaba wa kulipwa Milioni 10 kwa mwezi na timu A, Je ni kipengele gani kwenye mikataba kitakuonyesha kuwa mimi kuna mtu nampa hela?. Kwa matatizo yanayoendelea kwenye Timu yangu Simba kuwa watu walipaswa kujiuzuru au kuwajibishwa.

    • @johnmwaisunga2339
      @johnmwaisunga2339 ปีที่แล้ว +1

      Swali la msingi kujiuliza; ni nani aliyehusika na usajili wa huyu Dejan? Msemaji anasema ndio Mchezaji mwenye mkataba mrefu kuliko wote Simba, Je ni nani alipitisha mkataba huu na alitumia vigezo gani kukubaliana juu ya Mda wa mkataba?Mkataba umepitia kabla ya kusainia alafu waajiri hawataki kufuata mkataba kwanini? WATANZANIA tutaendelea kudanganywa mpaka lini na siasa za mpira?

  • @edomiteda5151
    @edomiteda5151 ปีที่แล้ว +2

    Wakuderee😂😂😂

  • @rickdm1264
    @rickdm1264 ปีที่แล้ว +2

    Ricardo momo bhana🤣🤣

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona umetoa Siri momo mwanamama tena 😜😜😜😜😜🤣🤣🤣

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa nimshenzi tena chizi nanyie mnafurahiatu!😢 ,nimchochezi watukama hawa wanatakiwa kuchomwa moto!😢😢😢

  • @mohamedabubakar4694
    @mohamedabubakar4694 ปีที่แล้ว +1

    2Second to coment @ricardo momo

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kachelewa mpaka mzungu anaamua kuvunja mkataba

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 ปีที่แล้ว

      Siku zote tatizo likitokea huvumbua yaliyojificha

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว +1

      Kuvunja mkataba ni jambo la kawaida kutokana na terms mlizojiwekea

  • @TheGreat-lq9tg
    @TheGreat-lq9tg ปีที่แล้ว

    Wakati wanasajiliwa alikuwa wapi?

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 ปีที่แล้ว

    Weeee chokooo kila siku zaaaaa ndaannniiiii ni Simba tuuu JINGA moja hivi ligi inavilabu 16 kila siku kumwongelea Simba hujielew jinga sn

    • @rashadymuhamad6293
      @rashadymuhamad6293 ปีที่แล้ว

      Kaka Mbilinyi usishangeee. Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe (ndio unaopopolewa kwa sababu ya neema ulionao huo mti). Wa kuderee na apagawe tu. Vilabu vyengine huwa sio stori na ni shida kupata followers(Wafuasi/Washabiki )

  • @ip_header
    @ip_header ปีที่แล้ว +1

    Uliona wapi mshahara unaingi kwenye accounts mbili, huu ni uongo wadhahiri, mzee wa Kudere hapo amelishwa kasa.

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 ปีที่แล้ว

    Hahaha hahaha

  • @aminaboniphace327
    @aminaboniphace327 ปีที่แล้ว

    😂😂🙌🦁🦁

  • @aishahassani5087
    @aishahassani5087 ปีที่แล้ว

    🤪🤪🤪🤪🦁🦁🦁