Oumilkheir tangu enzi hadi leo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • Kipande hiki ni mkusanyiko wa sauti za mtangazaji Oumilkheir tangu miaka ya iliyopita hadi karibuni kabla ya kustaafu kutoka DW

ความคิดเห็น • 10

  • @langatemmanuel7359
    @langatemmanuel7359 3 ปีที่แล้ว

    We need a clip that takes around 10 minutes... I love her voice and accent..

  • @langatemmanuel7359
    @langatemmanuel7359 3 ปีที่แล้ว

    I love her voice..what a blessed one!

  • @abdullahomar8687
    @abdullahomar8687 4 ปีที่แล้ว

    daaah shukran saaana Rashid mama amejaaliwa sauti adhim matamshi matamu ya kipekee na weledi wa hali ya juu....hata akitamka hilo jina lake tu bas aaah burdaaan wallah

  • @abdallaramadhan3850
    @abdallaramadhan3850 4 ปีที่แล้ว +2

    Wakati huo ,enzi hizoo bado makao makuu ya Dw bado yapo mjini Cologne ...aaaah zamani sana Enzi hizo naiskiya sauti ya Bwana Othamani Miraji mdogo wa marehemu Pr.Haroub Othman.

    • @mashakatwalondaga5026
      @mashakatwalondaga5026 4 ปีที่แล้ว

      Kumbe una fatilia vzr sna

    • @side216
      @side216 3 ปีที่แล้ว

      I do love her voice May god bless her

  • @emanueltarangei4390
    @emanueltarangei4390 3 ปีที่แล้ว

    Walaahi mama ana sauti ya kipekee

  • @abdallahsuleiman5286
    @abdallahsuleiman5286 3 ปีที่แล้ว

    Gold voice

  • @datydon6676
    @datydon6676 4 ปีที่แล้ว

    .....kutoka Boooon aa!
    Nenda salama mama

  • @mathewben6833
    @mathewben6833 3 ปีที่แล้ว

    Kongore Rashid kutuletea gwiji,mama niliyemkuta aking'ara na mpaka anastaaf anang'ara