How to make easy,delicious swahili rice cake/Namna ya kuandaa mkate wa sinia mtamu sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @zeeniism
    @zeeniism หลายเดือนก่อน

    Thank you for sharing your recipe

  • @palashsdeliciousfood
    @palashsdeliciousfood ปีที่แล้ว +2

    👋🏻🌻139lk wowww super delicious rice cake looks so mouthwatering 😋 thanks for nice recipe wishing you al the best stay safe & healthy my friend 🤝🏻🇮🇹🌸

  • @AishaMohammed-t2h
    @AishaMohammed-t2h 7 หลายเดือนก่อน

    Shukrani kpenzi, nilikuwa nikijaribu mala nyingi , hatimae nimewezaa,asante kpenzi🙏🙏

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  7 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana mpenzi🥰

  • @BekaHamida-nu4cl
    @BekaHamida-nu4cl 4 หลายเดือนก่อน

    Asant

  • @mwajumaali4395
    @mwajumaali4395 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mungu akubarik

  • @abdullahalmahrooqi8306
    @abdullahalmahrooqi8306 ปีที่แล้ว +2

    Assalam Aleikum furaha niliyonayo leo ni kubwa namshukuru Mwenyezi Mungu na wewe pia asante sana wewe profesa nakupa shahada ya Gold mkate umetokea kama pamba soft No, 1 mweupe lakini mimi nimetumia Oven sikutumia Gass Cooker nakutakia kila la kheri.❤❤

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  ปีที่แล้ว

      Shukran sana.Nimefurahi kusikia hivo💜

    • @RehemaMisigaro
      @RehemaMisigaro 11 หลายเดือนก่อน

      @@azizaskitchen asalam aleikum kama hauna nazi unaweza tumiya maziwa

  • @joshouko
    @joshouko 6 หลายเดือนก่อน

    Kama hauna oven

  • @susanswai8929
    @susanswai8929 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mchele upi mzuri kwa mkate wa kumimina

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  2 ปีที่แล้ว +1

      Mchele wowote unatumika.Tumia unaopenda wewe mpenzi

  • @MozaMnyimage-mt7fo
    @MozaMnyimage-mt7fo 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda kesho nitaribu kupika

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  7 หลายเดือนก่อน

      Shukran.Jaribu uniambie

  • @vanitasuranisongs6837
    @vanitasuranisongs6837 ปีที่แล้ว +1

    Hi can i have makati sinia n kibibi n vitumbva recipe without eggs please thank you for sharing with us 😊

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  11 หลายเดือนก่อน

      I posted vibibi already

  • @Bintimohamed-k6g
    @Bintimohamed-k6g 8 หลายเดือนก่อน

    Asante da kwakutupatia ujuzi,chakula changu hiki .

  • @lujainathkhamiss9911
    @lujainathkhamiss9911 ปีที่แล้ว +1

    Hello kwan ni lazma upike kweny jikoo then oven..huez direct kweny oven

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  7 หลายเดือนก่อน

      Unaweza pika direct

  • @TibuMwamba
    @TibuMwamba 8 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mapishi

  • @mwajumaramadhani92
    @mwajumaramadhani92 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @rahimaabdalahjay4407
    @rahimaabdalahjay4407 2 ปีที่แล้ว

    Wow hii kesho nitajaribu habbty

  • @cornelialiyombo9173
    @cornelialiyombo9173 2 ปีที่แล้ว

    hicho kikombe ni sawa na robo kg?

  • @munamunaidhalma3053
    @munamunaidhalma3053 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @umsalem1081
    @umsalem1081 ปีที่แล้ว

    ♥️💚💜

  • @jumahakizimana9621
    @jumahakizimana9621 7 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kutumika maziwa sehem ya nazi ao

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  7 หลายเดือนก่อน

      Lazima utumie nazi ndio tamu.Ila jaribu maziwa

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  7 หลายเดือนก่อน

      Unasaga na maziwa

  • @zulfazam3131
    @zulfazam3131 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama huna Nazi waeza tumia maziwa?

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  2 ปีที่แล้ว

      Sijawahi tumia maziwa mpenzi ila sidhani kama ni mbaya

  • @husnakassam4216
    @husnakassam4216 11 หลายเดือนก่อน

    Pls print the ingredients in the comments section

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  11 หลายเดือนก่อน

      Ok
      *3cups rice(soaked overnight)
      *3cuos coconut milk
      ½cup sugar
      *2tbsp instant yeast
      *1tbsp cardamon powder
      Note:use the same cup to measure rice and cocinut milk
      Preparation
      ------------------------
      *Put everything in blender and blend until very soft
      *put the mixture in a bowl and cover to double in size
      *Use baking tray to bake for 45mins or until well cooked...
      I hope this is helpful dear
      *

  • @fatumamussa8396
    @fatumamussa8396 2 ปีที่แล้ว +1

    Et samahani Kwan huwezi kutumia unga wa mchele au mpk ublend huwezi saga mchele na ukatumia ??? Jibu lko tafadhali

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  2 ปีที่แล้ว

      Waeza tumia unga wa mchele mpenzi.Waeza nunua unga wa mchele dukani au usage mchele mwenyewe mpaka iwe laini kabisa kisha utumie

  • @Sarah-ef4xn
    @Sarah-ef4xn 6 หลายเดือนก่อน

    Mbn wangu ulikuwa mgumu

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  6 หลายเดือนก่อน

      Jaribu tena mpenzi.Itakua sawa

  • @saidamalik7961
    @saidamalik7961 ปีที่แล้ว

    Kama Huna hamira unaeza tumia bakingpowder

  • @jumahakizimana9621
    @jumahakizimana9621 7 หลายเดือนก่อน

    Kama hauna naz

  • @marystellacosmas1155
    @marystellacosmas1155 2 ปีที่แล้ว +1

    Je mpka uwe umeuloweka siku nzima

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  2 ปีที่แล้ว

      Unaweza roweka masaa masita au 8

  • @ammymohamedy7784
    @ammymohamedy7784 ปีที่แล้ว

    Kama mchele nusu na robo tui kiasi gani

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen  7 หลายเดือนก่อน

      Kiwango kama mchele..Tumia kikombe ulopimia mchele

  • @HalimaHussen-u4e
    @HalimaHussen-u4e 9 หลายเดือนก่อน

    Mtamu

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah