Marekani haina good social benefits kama inchi zingine za ulaya.kwa mfano canada,Norway,Denmark, Sweden, Finland, Germany, nertherland, Belgium, France, Austria, Ireland, UK, luxembourg, Switzerland, austalia,newzealand. Hizo ndo ichi za kutafutia maisha ndo inchi za kuishi,acheni kutafuta maisha ya kinamarekani,marekani ningumu sana ku survive.
Bills ni wewe mwenyewe na sifa zako, unless otherwise bills nyingine zote ni zile zile kama za Tz, OYA MTZ UKIPATA CHANCE YA MAREKANI USIACHE watu tuna 5 yrs tu, ila tumepga hatua za ajabu
Dada yangu witnesses achana na mawazo ya marekani ila kama unataka kwenda kutembea siyo mbaya lakini siyo pakuishi,icho kiwanja ulichopo dada yangu nikiwa bora sana kuliko marekani.
Habarini ndugu . Subscribe kwenye channel ya jack 👇🏿 youtube.com/@jackwausa?si=N3NYrNlsCCnQTWYm Pia Naombeni usubscribe kwenye channel yangu ya pili ya kingereza youtube.com/@witnessvlogenglish?si=ut-wRUSgEPFfvfSi Asante
Alafu kitu kingine haina usalama hata kidogo,kupigwa bunduki au kuchomwa kisu marekani ni mambo ya kawaida,ujambazi nimambo ya kawaida,ukabaji nimambo ya kawaida,utekaji nyara nimambo yakawaida,yani mabaya yote yapo marekani lakini hawayaoneshi kwenye TV.
Kila sehemu kuna matatizo yake kama UK karibu kila siku watu wanauana Kwa kuchomana visu,Jana tu binti wa miaka 15 alikua anaenda shule kachomwa kisu kafariki
marekani ni ngumu sana kama hutokua mpambanaji na kama hautoheshimu na kufata sheria zao ila kwa kipato mimi sitaki kwenda nchi nyengine mana najua sitopata kama ninavopata hapa watu wengi wavivu hukimbilia canada kwenda kulelewa na serikali 😅 by the way majembe tu ndo tunaweza kuishi USA nyie wengine bakini uko mulipiwe kodi na serikali
ndugu nipo marekani sio miaka mingi nimeingia hapa ila watu wavivu na wasio wachapa kazi nimewapita kimaendeleo sana na wao wamenitangulia kwa miaka 5 sasa kama wewe ni mpambanaji marekani ni sehemu ya kutengeneza maisha kwa haraka sana ukijituma uhakika kwa kazi hizi za kawaida utaingiza hata dola laki 1 kwa mwaka iyo ni kazi ya kawaida endapo utakua na social ila uwe ni mpambanaji sio unafanya masaa 8 kisha unaenda kulala nyumbani na kujiposti instagram bill ni kawaida watu wanakopa magari wanakopa nyumba sasa kwanini usilipe na umekopa ok kodi za serikali za ni za kawaida ambazo zinakuja kurudi kwako baadae km hazijarudi basi zitakusaidia kwa njia tofauti
Wanaoongoza kwa homeless nahisi ni Philadelphia, New York upande wa chini na New Jersey. Hii miji kuna maeneo ni machafu imejaa mateja unaweza hisi haupo America.
Waarabu Wana ubaguzi WA kazi Kwa wageni sanaaa kingine nao wanauwana Tu mfano majuzi Tu kijana kapewa adhabu ya kachinjwa sababu kamuua binamu yake yaani mauwaji NI dunia nzima Tu nchi zuri za kuishi NI ulaya na canada
Hey there kaka Jack... ok tuingie kwenye debate basi... you ever see parts of the county in a state like Mississippi that have alot of minorities... check out their services there.. go to that Walmart or another store. Compare to a Walmart in Hollywood or with a huge caucasian people. Very different. Prices, items etc. Clinics, day cares, even hospitals they are quite different in terms of their services they provide depending on locations. Now having said, I completely agree with you that it may not be a direct reason why people are homeless but it's definitely a contributing factor. It makes it harder but not impossible for a black or minority person living and competing on unequal territory. Think about it? nakupenda bure lakini !!!and (by the way you are talking to an educated lady with a Masters Degree in Social Work attained at Howard University....lol. one day would love tuongee face time on how allocation of resources in this country is a huge contributing factor to homelessness..
Also this one is also a huge factor that you mentioned. Mental health. In terms of Alcoholism and drugs, this is a huge factor. They continue to target the minority population on where pombe is sold. Kila kona kuna maduka ya pombe in a poor area, very sad 😿
@ruthmukami7573 Well said. Hata miaka ya nyuma wazungu walisambaratisha umoja wa waafrika kwa kuwauzia drugs ila wasifight against American racist system
The best combination ever, ntafunga WiFe home niwafatilie Jack & Witness am very inspired with you guys
This was my best interview as well. Thank you
Wity sisi wasukuma wajanja bwana harafu wa kaka wa handsome wadada kaka mimi warembo hatari😍💐💐💐
🤣🤣 Mnajitahidi sana
Marekani haina good social benefits kama inchi zingine za ulaya.kwa mfano canada,Norway,Denmark, Sweden, Finland, Germany, nertherland, Belgium, France, Austria, Ireland, UK, luxembourg, Switzerland, austalia,newzealand. Hizo ndo ichi za kutafutia maisha ndo inchi za kuishi,acheni kutafuta maisha ya kinamarekani,marekani ningumu sana ku survive.
I agree hapo kwenye social services. Europe is good hapo
Ni kweli kabsa nchi za ulaya ziko powah sana
lakini Canada haipo Ulaya
Bills ni wewe mwenyewe na sifa zako, unless otherwise bills nyingine zote ni zile zile kama za Tz, OYA MTZ UKIPATA CHANCE YA MAREKANI USIACHE watu tuna 5 yrs tu, ila tumepga hatua za ajabu
Hapo german ni mtumbwi wa vibwengo bora urusi hao wagerma n wabaguz knoma
Moja ya watu nawakubali sana jack ni moja ya vijana ambao wanapenda kuwaonyesha njia piya sana vijana wenzao
Hakika yani 🙌🏾🙌🏾
Mimi ni mmoja wa watu ambaye nimekuwa nikikufatilia Jack muda mrefu. Ubarikiwe
Nimefurahi sana kujua
Dada@@Witnessvlog
Kiswahili ya huyu Mwamba Jack wa USA huwa top notch.
Hatari🔥
Wanajitangaza sana wamarekani kwa sababu media nyingi nizakwao
Jack nampenda sana nilianza naje akiwa na 10k
This is your best interview my sister🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Aw it is. Thank you so much
Namfatilia sana Jack❤❤❤
Marekani ina uchumi mkubwa lakini uchumi wa marekani hauna faida kwa watu wake,nguvu kubwa ya uchumi wa marekani umeishia kwenye kulijenga jeshi lao.
Siyo kweli FANYA tafiti za kutosha
Binafsi napenda sana kumfatilia jack,huwa nakuelewa na kujifunza kwa maelezo yako.🙏💖
He is amazing
@@WitnessvlogHabari yako dada yangu samahani vp kuhusu visa nataka kuja marekani naomba msaada kwa hilo please🙏🙏
Mimi ni raia wa Kenya 🇰🇪 natazama hapa Rome Italy 🇮🇹
Nimefurahi sana kujua. Salaam Rome
jack jieshimu kigoma tuwajanja wewe unachezea mwisho wa reli wewe lakini wote wa tanzania ni utani tu na mimi niko USA
🤣🤣🤣🤣si ndioo. Habari za uko
Nakufatilia sana Niko Kitwe Zambia
Habari za kitwe? nashukuru sana
Jack home boy kabsa. Chali mjanja sana na kuna kitu ndani yake Mungu awe nae na hata akatimize yote yaliyomatarajio yake.
Amen! yuko vizuri sanaa
Noma sana aisee
Nice enterview Jack
Dada yangu witnesses achana na mawazo ya marekani ila kama unataka kwenda kutembea siyo mbaya lakini siyo pakuishi,icho kiwanja ulichopo dada yangu nikiwa bora sana kuliko marekani.
Denmark is among of the best country to live my sister witness,be proud of Denmark that beautiful.
Thanks and i am happy that i am here. Maswali nayouliza ni kwa faida ya wengine pia
waooh kaka jack
👏🏾👏🏾
Wow.
Congratulations dada
Thank you kaka
Nice interview,Hongera witness🤝
Asante sana Davis.
Watu ndo wanaopendaga kuipambia marekani,na marekani yenyewe inajitangaza sana kwamazuri lakini ina mabaya mengi
Yes! power of branding. Wanajua kujibrand
Habarini ndugu .
Subscribe kwenye channel ya jack 👇🏿
youtube.com/@jackwausa?si=N3NYrNlsCCnQTWYm
Pia Naombeni usubscribe kwenye channel yangu ya pili ya kingereza
youtube.com/@witnessvlogenglish?si=ut-wRUSgEPFfvfSi
Asante
Respect from 255
Thank you William
Actually this is most valuable interview I have watched 🎉🎉❤❤
Say that again🙌🏾👏🏾👏🏾. Sure it is. Thank you for the feeback
Watz n wachache L.A Lakin niliona pamoja na uchache wao lakin walileta hamsha hamsha Kidogo
Kabisa they were so loud
Good interview
Thank you
Mashaalah alhamdulilah
Interview imetulia
Asante sanaa
brother Ako anaye anaye fanya vulgo Russian account yake ya TH-cam inaitwa je
Sijaelewa
Marekani ni nchi imbayo inajipenderea sana
Inajipromote sana
Marekani inashindwa sana na inchi zingine za ulaya kimaisha
Watu wangu wa nyumbani kabisa mlimhola ghete 😊
Mhola sana
Mhola sana ong'wese
Mshahara wote mkubwa utakaoupata marekani utaishia kwenye bills,wana bills za ajabuajabu sana,kilakitu kwao ni pesa.
Wewe mwenyewe uko Bongo haulipi bills, stima, maji, takataka, shule hulipi Karo na hospitali unatibiwa bure?
Izi vitu kama nyumba ambazo wanajenga Africa iyo hela wanatoa wapi?
@devidjav3583 Ukipokea pesa in USD ukiileta bongo inathamani zaidi kuliko huku. So ni rahis kuendeleza home
Guanini Willis she also making my community
All in all Tanzania 🇹🇿 tuko poa
Thank you so much for watching
Ngoja niweke bando kbs wooou🎉😢😅😅😅😂
Haswaa🙌🏾👏🏾
Saivi umetusaliti mkali unabonga english tu hutúambii kwa kiswahili mkali
😂🙌🏾
witness ko wasukuma ni washamba Sisi??🙄😂 tutawashangaza
🤣🤣🤣nisameheni jamani
Interview ni nzuri
Shukrani sana kwa kuangalia
Alafu kitu kingine haina usalama hata kidogo,kupigwa bunduki au kuchomwa kisu marekani ni mambo ya kawaida,ujambazi nimambo ya kawaida,ukabaji nimambo ya kawaida,utekaji nyara nimambo yakawaida,yani mabaya yote yapo marekani lakini hawayaoneshi kwenye TV.
Kwakweli that part is scary
Kila sehemu kuna matatizo yake kama UK karibu kila siku watu wanauana Kwa kuchomana visu,Jana tu binti wa miaka 15 alikua anaenda shule kachomwa kisu kafariki
🥹🥹That is very sad kwakweli.
Ni kuomba Mungu atuepushe na majanga
You have a panda sound like Tanzania me navigate
OK
Nakupata vizuri kutoka kahama,kagongwa
Salaam Kahama
@@Witnessvlog zimewafikia saaana wasalimie huko ulikoooo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@thomasadriano4191 Shukrani sana
Nili fatilia china na marekani kwenye miji na vijiji daaaa China iko juuu Zaid
china hakuna kazi kwa wageni
@@kwisa4899kabisaaaa
Nipo Tanzania nawapata vizuri
Thank you charles
From tz no problem Jack wa U S A Niko zangu home chekanao village kiteto manyara nakufwatilieni Na my ccter witness
Thank your bro
Wa nyumbn kbc matui me nipo namibia
@@zuli.comedy. Allah atulinde sote ndugu yangu
Mambo from Daresalam vip uko manyara
Jacque umedili lisha
Watanzaniaaa mpo wachacheeee
Uko na mwanangu jack mzee rodeo drive 😅
😊 He is good
Marekani ni jina tu,lakini ni inchi ya kipumbavu sana,siyo inchi ya kuishi
marekani ni ngumu sana kama hutokua mpambanaji na kama hautoheshimu na kufata sheria zao ila kwa kipato mimi sitaki kwenda nchi nyengine mana najua sitopata kama ninavopata hapa watu wengi wavivu hukimbilia canada kwenda kulelewa na serikali 😅 by the way majembe tu ndo tunaweza kuishi USA nyie wengine bakini uko mulipiwe kodi na serikali
Niko USA 🇺🇸 ni pazuri na pesa ina patikana vizuri tu.
Duh mnatuchanganya sasa embu wewe wa marekan tupe picha kamili mwaya,pesa ipo au haipo,na kama ipo ipo kwa non professional jobs au professional jobs?
Nashea experience za watu na kila mtu ana experience yake.
Mm natamani kuja huko KUSOMA postgraduate nifanyaje ndugu?
@@happymaimu4330apply Kwa shule direct
Ukiwa na Utashi
🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥
Na inchi nyingine nzuri kwa kuishi ni iceland
ndugu nipo marekani sio miaka mingi nimeingia hapa ila watu wavivu na wasio wachapa kazi nimewapita kimaendeleo sana na wao wamenitangulia kwa miaka 5 sasa kama wewe ni mpambanaji marekani ni sehemu ya kutengeneza maisha kwa haraka sana ukijituma uhakika kwa kazi hizi za kawaida utaingiza hata dola laki 1 kwa mwaka iyo ni kazi ya kawaida endapo utakua na social ila uwe ni mpambanaji sio unafanya masaa 8 kisha unaenda kulala nyumbani na kujiposti instagram bill ni kawaida watu wanakopa magari wanakopa nyumba sasa kwanini usilipe na umekopa ok kodi za serikali za ni za kawaida ambazo zinakuja kurudi kwako baadae km hazijarudi basi zitakusaidia kwa njia tofauti
Siyo tu calfornia yenye homeless,karibia marekani nzima ina homeless.
Wanaoongoza kwa homeless nahisi ni Philadelphia, New York upande wa chini na New Jersey. Hii miji kuna maeneo ni machafu imejaa mateja unaweza hisi haupo America.
@dorahmcharo3083 whoa! asante kwa kutwambia zaidi
Homeless ni kawaida wanalipa rent kwa mwezi
Dar es salaam Tanzania 🇹🇿
I see you😊
Nchi nzr kwa kuishi ni Dubai peke yke coz hii nchi huckii mtu kauwawa kwa kuchomwa kisu au kupigwa risasi yani UAE iki vzr sana.
Ila kweli sijawahi sikia matukio ya hivyo dubai. Wako vizuri kwakweli
Na australia je?
Waarabu Wana ubaguzi WA kazi Kwa wageni sanaaa kingine nao wanauwana Tu mfano majuzi Tu kijana kapewa adhabu ya kachinjwa sababu kamuua binamu yake yaani mauwaji NI dunia nzima Tu nchi zuri za kuishi NI ulaya na canada
@@anastaziamathias8861Kwa usalama hakuna nchi inafika kiwango Cha UAE, very safe ila kule unaishi tu kazi za mshahara mdogo haki maisha dubai
Nipo mwanza
Thanks for watching
Mbona km mnafanana saaana
🤣🤣🙌🏾
❤
❤️❤️
Ninakuona home boy
🙌🏾
Sababu ya homeless ya watu weusi ni history yao ya discrimination, Jack kasahau hiyo.
It might be a reason but not necessarily. Thank you for your comment
Hey there kaka Jack... ok tuingie kwenye debate basi... you ever see parts of the county in a state like Mississippi that have alot of minorities... check out their services there.. go to that Walmart or another store. Compare to a Walmart in Hollywood or with a huge caucasian people. Very different. Prices, items etc. Clinics, day cares, even hospitals they are quite different in terms of their services they provide depending on locations. Now having said, I completely agree with you that it may not be a direct reason why people are homeless but it's definitely a contributing factor. It makes it harder but not impossible for a black or minority person living and competing on unequal territory. Think about it? nakupenda bure lakini !!!and (by the way you are talking to an educated lady with a Masters Degree in Social Work attained at Howard University....lol. one day would love tuongee face time on how allocation of resources in this country is a huge contributing factor to homelessness..
Also this one is also a huge factor that you mentioned. Mental health. In terms of Alcoholism and drugs, this is a huge factor. They continue to target the minority population on where pombe is sold. Kila kona kuna maduka ya pombe in a poor area, very sad 😿
@ruthmukami7573 Well said. Hata miaka ya nyuma wazungu walisambaratisha umoja wa waafrika kwa kuwauzia drugs ila wasifight against American racist system
Niko kigoma nakufatilia sana ja wa usa.
Asante sana kwa kuangalia. Hakika yuko vizuri
Mnaikandia USA lol!!! Kila mtu na priority yke
Ni kweli kila mtu ana mawazo yake
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌。
RUDINI NYUMBANI KUMENOGA
Twaja twaja
Jack uko poa san
Yuko vizuri mnoo
@@Witnessvlog Jack .nakuelewa sana unaotuonyesha mitaa.kama tumefika malekan
@CarvinMichael Kabisa
@jackwausa watu wa kigoma tunaku zoom hapa .
🤣🤣Yani ni uchokozi huo
Instagram ya Jack ni ipi?
jacchalz
Nakufatilia sana Niko Kitwe Zambia
I see you brother