Wallahi billahib thallawahi sheikh Abdallah humeid ukija south africa cape town ukiyaona yale mazingira watu wanavyo ishi huwezi tena kuongelea kuhusu maulid tatizo lako husafiri..
Kwani south Africa ndio kuna nini hadi tuinyamazie ❓❓❓❓ Hakuna siku Ahlu sunnah waljama'ah kuinyamazia bid'ah yoyote ile hata kama itafanyika nchi tukufu ya saudia lazima TUTALIKEMEA
Aslm alykm Sheikh Abdalla Humeid... Naomba kuuliza baadhi ya masaala ili nipate jawabu kwa Inswaf..Hii Hadith ya Ukba Bin Ameer ndio iliokuja mwanzo ama hili tukio la Sayyid na Bilal Bin Rabbah?ndio Mtume S.A.W.ndio Mtume S.A.W.akatoa bishara kuwa hili jambo ni zuri na watu wali fanye... Mtume S.A.W.aliwahi kuswali Raq'aa mbili za Sunmak wudhu? Hawa ASWHABIL QAAFI walitawasal kwa Amal zao na wakakidhiwa haha zao sasa hiyo ilikuwa ni Shirk? Jee walitegemea AYA ama Hadith gani hapı? Mtume S.A.W. alipendekaza kuwa Maiti ni Bora kustiriwa kwa haraka... Mbona Maswahaba wakubwa walimueka Mtume S.A.W.kwa muda wa siku tatu (3) hiyo haikuwa Bida'a kweli? Mbona Maswahaba wakubwa walimswalia Mtume S.A.W. kwa mapote mapote hivyo ndivyo Mtume S.A.W. alivokuwa akifanya?ama wewe waweza kumfanyia mtu wako hivyo kweli?Jee hiyo si Bida'a ? Mbona wala yamini kuwa Maswahaba hawakufanya Bida'a. Tafadhali naomba jawabu kwa ikhlas /inswaf... Shukran wajazaka allahu kheir...
Je hii Aswalatu khairun mina Naum iko hadith Kabla yake? Nani alimpa ruhsa Aongeze kabla ya kumuuliza Rasuul? Na jee Jibreel alipofundisha Adhan kwa nini asiifundishe kabla
Wallaahi nilikua nikisikia eti uliensa kusoma miez sita naomba unijibu kwa inswafu na kwa ikh,laaswi je nikweli ulikwenda kusoma nje ya tanzania miez 6?
@@mafiatv5479 MAWAHABI HAWARIDHIKI MPAKA TUPIGANE VITA WAISLAMU KWA WAISLAMU TUUWANE, BILA HIVYO DUNIA HAIKALIKI. WAO HAWANA UGOMVI KABISAAAA NA MAKAFIRI.
MASHA, ALLAH SAYYID JAAFARI ALLAH AKULIPE KHERI DUNIA NA AKHERA
Uko vizur mzee ALLAH AKUHIFADHI
Nimekuelewa ❤ allaah akupe umru mrefu wenye kheri na barka
Mashaalah!!!
Amiina. allah akupe dhabapi kuwarudd hawa watu
mashaalaa baraka alaahaa na wapndasana mashehe kwajili ya allah k7unazungumza hakii
Mashaallah Allah ukuhifadh Abul khatwab
This innovaters need to be educated
Wallahi billahib thallawahi sheikh Abdallah humeid ukija south africa cape town ukiyaona yale mazingira watu wanavyo ishi huwezi tena kuongelea kuhusu maulid tatizo lako husafiri..
Kwani south Africa ndio kuna nini hadi tuinyamazie ❓❓❓❓
Hakuna siku Ahlu sunnah waljama'ah kuinyamazia bid'ah yoyote ile hata kama itafanyika nchi tukufu ya saudia lazima TUTALIKEMEA
Unataka kusema nini labda
Salaaaaaaala ,hahahahaha, in short i love you sheikhe for the sake of Allaah
Aslm alykm Sheikh Abdalla Humeid... Naomba kuuliza baadhi ya masaala ili nipate jawabu kwa Inswaf..Hii Hadith ya Ukba Bin Ameer ndio iliokuja mwanzo ama hili tukio la Sayyid na Bilal Bin Rabbah?ndio Mtume S.A.W.ndio Mtume S.A.W.akatoa bishara kuwa hili jambo ni zuri na watu wali fanye...
Mtume S.A.W.aliwahi kuswali Raq'aa mbili za Sunmak wudhu?
Hawa ASWHABIL QAAFI walitawasal kwa Amal zao na wakakidhiwa haha zao sasa hiyo ilikuwa ni Shirk?
Jee walitegemea AYA ama Hadith gani hapı?
Mtume S.A.W. alipendekaza kuwa Maiti ni Bora kustiriwa kwa haraka...
Mbona Maswahaba wakubwa walimueka Mtume S.A.W.kwa muda wa siku tatu (3) hiyo haikuwa Bida'a kweli?
Mbona Maswahaba wakubwa walimswalia Mtume S.A.W. kwa mapote mapote hivyo ndivyo Mtume S.A.W. alivokuwa akifanya?ama wewe waweza kumfanyia mtu wako hivyo kweli?Jee hiyo si Bida'a ?
Mbona wala yamini kuwa Maswahaba hawakufanya Bida'a.
Tafadhali naomba jawabu kwa ikhlas /inswaf... Shukran wajazaka allahu kheir...
Nakuomba kwa ikhlas kasome sana habib
@@muhammadhussein5741 JIBU HAYO ULIOULIZWA ITAKUWA SOMO TOSHA MAISHANI MWAKO UKIPATA MAJIBU YA HAYO MASUALI
Je hii Aswalatu khairun mina Naum iko hadith Kabla yake? Nani alimpa ruhsa Aongeze kabla ya kumuuliza Rasuul? Na jee Jibreel alipofundisha Adhan kwa nini asiifundishe kabla
Mtu anachukua dhima kabisa ya kuingiza watu peponi kwa bid3a ... Hii ni hatari .. . Na si kwa ubaya watu wa lamu mbona ni wazushi mno??? 😢😢
Kwa iyo ndio na wewe hutaacha uzushi kwa sababu hiyo
Wallaahi nilikua nikisikia eti uliensa kusoma miez sita naomba unijibu kwa inswafu na kwa ikh,laaswi je nikweli ulikwenda kusoma nje ya tanzania miez 6?
Sheikh Jafar Saggaf siyo mzee ni kijana bado
Bc abdallah humeid anamiaka takriban 31 saagaf zaid ya 45 Nani aitwe mzee bc achana na umli chukua maneno ya raad
Masuf wanatumia akil zao sio dalili
Vichwa vibovu kwelikweli
Jambo lafanyika na mtume yuko hai
na hiyo pia ni bida, a
sallaaala
ufahamu m bovu ulioje huo yaa jamaa!!
hangaika tu, sheikh jafar humpati humpati hata theluthi ya ilimu yake
Aaaah kabisssa kaka shekh jaafar ni mzittto sana
Mzito kwa kuwasingizia maswahaba kuwa walizua
@@SugowFarah-up3db hilo lako
@@mafiatv5479 hamuoni aibu kuwasingizia maswahaba kuwa walifanya bid'ah
Sagaf ni mpotevu mkubwa na hoja zao hazina ukweli
Masufi tatizo uelewa wao kwenye dini hutumia akili zao hapo ndo wanapopinda.
MAWAHABI MMEKURUPUKA
wewe fanya ujuacho wape wenzako nafasi wafanye yao, mbn mnakua mashoga na maneno ya kebehi
@@mafiatv5479 MAWAHABI HAWARIDHIKI MPAKA TUPIGANE VITA WAISLAMU KWA WAISLAMU TUUWANE, BILA HIVYO DUNIA HAIKALIKI. WAO HAWANA UGOMVI KABISAAAA NA MAKAFIRI.
Hawa masufi upotofu umewaziba akili na fahamu
acha ushoga mshenzi