WAKWE - PART 2 - STARING TINI WHITE/ MKOJANI /MWALUVANDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2020
  • #wakwe#tinwhite#mkojani#comedy

ความคิดเห็น • 186

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 4 ปีที่แล้ว +37

    Kama umemsikia Tin White akisema nipime na thermometer yngu.Msimnyime likes zake na zangu.Hhhhhh

  • @johnlinus5306
    @johnlinus5306 4 ปีที่แล้ว +27

    Kama hawa watu wanakula bando lako kama mm gonga twendwe sawa

  • @abdiaziz2978
    @abdiaziz2978 4 ปีที่แล้ว +18

    Dah nampongeza sana mume wa sauda anajua sana ku act kwa kweli kwanza hiyo part anayojaribu kumuamsha sauda dah its like a real life. Big up sana Man

  • @angelnoble5063
    @angelnoble5063 4 ปีที่แล้ว +10

    Yan Tin na mkojani kwenye movie zenu ladhima mgombane, ila mkojani pasua kichwa, big up unafanya kazi na watu wazuri Mungu awabariki katika kazi zenu baba mkwe shemeji wangu mie, big up Tin tena sana wewe na mkojani na mwaneo Mme wangu Nagwa salute 👏👏👏👏👏👏👏❤️❤️❤️❤️

  • @mittemainc2549
    @mittemainc2549 4 ปีที่แล้ว +16

    nawakubali sanaaaaaa...... ndio bongo movie pekee ninayoiangalia bana

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว +6

    Jamani hi movie nzuriiiiiiii sana aiseeee. Nimeshindwa kuipredict mbele Nini kitatokea toka naanza! Tofaut na bongo movie zetu

  • @kamilojuraibb2688
    @kamilojuraibb2688 4 ปีที่แล้ว +5

    Dah mkojani noma achoshi kumtazama tin mkovizur san

  • @officialyoungtotti9131
    @officialyoungtotti9131 4 ปีที่แล้ว +9

    Kazi nzuri tiny, mkojani Asante OSO ONLINE TV

  • @mazrui1948
    @mazrui1948 4 ปีที่แล้ว +4

    Jukumu.letu sote kuwapenda na kuwathamini wake zetu.Katika ndoa yyte hakukosi misukosuko kila mmoja ako na umuhimu na mwenzake. Move nzuri na mafunxo mubashara. Napenda kuangalia move za mkojani na tin.

  • @daudbusanji2586
    @daudbusanji2586 4 ปีที่แล้ว +6

    Mko vizur Sana wallah Allah awaweke zaidi mzidi kutupa elimu na burudan ndan yake Ila msichelewe xna kutupa v2 vipya

  • @zaby-n-mamashasha6671
    @zaby-n-mamashasha6671 4 ปีที่แล้ว +5

    Tini mkojani 😀😀😀mke n mume Wallahi mko na akili nyingi nawapend sn ,nakuja bongo kuwaona ,napata raha nikiwa saudi Arabia

  • @aboumassoud4659
    @aboumassoud4659 4 ปีที่แล้ว +18

    Wapo kwli wanawake waina hii Mungu awalinde wanawake wote wazur kama hawa

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 4 ปีที่แล้ว +2

      Amin 🙏

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 3 ปีที่แล้ว

      Sio kwa karne hii ya sasa maana wasasaivi wanaabudu pesa ata kuliko kitu kingine na ikitokea amekuibia ivyo basi izo pesa utoziona maishani mwako.

    • @salhaabdullah6971
      @salhaabdullah6971 3 ปีที่แล้ว

      Ameen summa Ameen🤲 allah atulinde

    • @themask4665
      @themask4665 3 ปีที่แล้ว +1

      wanawake wazuri wapo ila inafaa umjue vizuri mwanamke wako. mwanamke ni kama udongo wewe ndio unaetakiwa kumtengeneza, kwa hiyo wewe ukimfanyia ubaya mwanamke anaeza kubadilika kutoka kwa malaika akawa shetani

    • @themask4665
      @themask4665 3 ปีที่แล้ว

      @@alfanm.8221 mwanamke ukimtongoza ukitumia pesa basi jua yeye atakua akikunyonya tuu mpaka ushangae, maisha yanataka ushauri mzuri na umakini

  • @alhajjimuftyburma9912
    @alhajjimuftyburma9912 4 ปีที่แล้ว +19

    Kwelii inafundisha sana. Mmeicheza movie hiyo. Ki dini kabisa

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 4 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli saida alipigwa kila cku ila binti alikuwa na maono ya mbali na mwambaaa umedondoka 😢 paradise bila mtoto daaah hatari hii comedy nzuri sana

  • @highnesseverest3619
    @highnesseverest3619 4 ปีที่แล้ว +18

    Baada ya kuona busara zake ndiyo unajifanya mke wangu wapendeni wake zenu wengne ni zawadi

  • @ibrahimabdallah306
    @ibrahimabdallah306 4 ปีที่แล้ว +22

    "Baba endelea kulewa ili aweke na bati"

  • @ramseymuhidin4373
    @ramseymuhidin4373 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee nimeipenda sanaa mko vizuri Mama yangu alishafanya jambo kama ilo kwa Marehemu Baba yangu naye aliichezea kichapo kinoma ... baadae Mama akamwambia ukweli kwamba pesa alinunua kiwanja ..Tangu siku iyo Mzee akuwahi kumpiga Mama mpka mungu alivyomchukua Mzee ........GOOD MOVIE

  • @sixbetusumewashaa5677
    @sixbetusumewashaa5677 4 ปีที่แล้ว +5

    Daaa amakweli nyinyi mnaujuzi mzuli wa kupangilia adidhi iko poa sana tupieni sehemu ya 3

  • @zaby-n-mamashasha6671
    @zaby-n-mamashasha6671 4 ปีที่แล้ว +3

    Eti endelea kulewa mke wako atiye bâti 😀😀😀👌👌👌

  • @tumaramadhanghulaam247
    @tumaramadhanghulaam247 4 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂😂ety wote umewakumbatia bado mm duh ii Kali ya 2020

  • @maulidipeter6124
    @maulidipeter6124 4 ปีที่แล้ว +8

    Mjawai koxea tinwhite plus mkojani n homa ya jiji

  • @jumakhamis9021
    @jumakhamis9021 4 ปีที่แล้ว +4

    Yani washkaji mko poa sana...bongo move waachani wasubiri sana

  • @faridakhalfan2717
    @faridakhalfan2717 4 ปีที่แล้ว +6

    Nawapenda sana kazi zenu ni nzuriii balaaa

  • @muddyabdalah3644
    @muddyabdalah3644 4 ปีที่แล้ว +15

    Umeni mis aroipata iyo link tufuraiwote

  • @kamaikangaiyoni1967
    @kamaikangaiyoni1967 4 ปีที่แล้ว +9

    Tin unajua mpaka kimamba 😂 kweli wewe unatembea

    • @ericernest2099
      @ericernest2099 4 ปีที่แล้ว

      Ndio kwao huko

    • @kingtv5600
      @kingtv5600 4 ปีที่แล้ว

      Alikuja kilosa kila nyumba akula bule

  • @ramaahnaize0190
    @ramaahnaize0190 4 ปีที่แล้ว +8

    Hawa jamaa washaniroga na hizi move wallah

  • @nyimbizikamtima1356
    @nyimbizikamtima1356 4 ปีที่แล้ว +4

    Aisee sinaga Cha kusema kila nikiwaona ila kiukweli movie inagusa na inasikitisha zaidi inafundisha

  • @abdulhalimsaid1184
    @abdulhalimsaid1184 4 ปีที่แล้ว +10

    Wa kwanza kufungua
    wa 2 kucomment

  • @doradogoldbrizzy6538
    @doradogoldbrizzy6538 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh! Tini ni nongwa anavituko balaa 😂😂😂😂 my number 1 supersta wa bongo

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +43

    Yan Sikuiz SIANGALII MOVIE
    MPAKA NILIONE jina LA MKOJAN
    na TIN WHAYT

  • @mohamedslim9916
    @mohamedslim9916 4 ปีที่แล้ว +6

    Nawakubali hamna kaz mbovu🔥

  • @amanimkambala6240
    @amanimkambala6240 4 ปีที่แล้ว +3

    Nyie watu noma sana sijutii bando languo

  • @kamaikangaiyoni1967
    @kamaikangaiyoni1967 4 ปีที่แล้ว +6

    Anko kama preginanti daah mkojani mjamzito 😂😂

  • @salumnassor9425
    @salumnassor9425 4 ปีที่แล้ว +3

    mwanamke wahivi walikufa vita yakwanza ya dunia akuibie pesa ajenge nyumba bila ww kujua harafu hati andike jina la mwanaume karne ya Leo hakunaga

  • @rachaeldhahabu5096
    @rachaeldhahabu5096 4 ปีที่แล้ว +5

    Tinnnnnn baba endelea kulewa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ammarsalah5693
    @ammarsalah5693 4 ปีที่แล้ว +12

    Wallah nimependa hapo endelea kulewa ili ajenge na bati

  • @papywabarega253
    @papywabarega253 4 ปีที่แล้ว +3

    Endelea kulewa baba 😂😂😂

  • @godfreylenard9687
    @godfreylenard9687 4 ปีที่แล้ว +6

    ✅✅🙏🙏 kazii nzuriii

  • @kelvinbondia4360
    @kelvinbondia4360 4 ปีที่แล้ว +9

    Wakwanza leo 🙏🙏🙏

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 4 ปีที่แล้ว +5

    KaTV kadogo lakini ndan linaonekana GHOROFA🤣🤣🤣🤣

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 4 ปีที่แล้ว +5

    Nice we need the last episode

  • @omarmhmammed216
    @omarmhmammed216 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ni sauda lkn siooo mwilima

  • @vanessadahnilly8551
    @vanessadahnilly8551 4 ปีที่แล้ว +1

    Amazing movie big up tinni

  • @salumshakespeare
    @salumshakespeare 4 ปีที่แล้ว +6

    Film safi xn

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂Tini weweeee!!!

  • @hasheemdogo9682
    @hasheemdogo9682 4 ปีที่แล้ว +2

    Acha mambo ya kishenzi bhana 😀😀😀😀

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 ปีที่แล้ว +3

    Tama mbaya jamani🙈🙈🙈🙈🙉🙉🙉🇧🇮

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 4 ปีที่แล้ว +4

    Much 💖 from damam city

  • @piusaugustino9270
    @piusaugustino9270 4 ปีที่แล้ว +5

    Oggg nawaelewa xn part 3

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 4 ปีที่แล้ว +3

    Am lover boy, am pregnant 🤣🤣🤣kizungu waachieni kina giggy money

  • @michaelmethod8315
    @michaelmethod8315 4 ปีที่แล้ว +8

    Inafundisha mno we acha tu

  • @dullyyesu9036
    @dullyyesu9036 4 ปีที่แล้ว +1

    hahahahahahah tamaaaa bwana mkojani unatamaaa

  • @msomisarwa6844
    @msomisarwa6844 3 ปีที่แล้ว

    Mko vzur sana jaman Mungu awabark kwa mov nzurii

  • @stevenwiliam8359
    @stevenwiliam8359 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa Tanzania haijawahi tokea nambamoja

  • @qwnlynuzlah3115
    @qwnlynuzlah3115 3 ปีที่แล้ว +1

    Movie Nzuri Yenye Mafunzo, Wanaume Mupende Wake Zenu Kwa Hali Yoyote Ile Kabla Mtu Akuondokee Ndio Ujue Umuhimu Wake

  • @aminafesali5817
    @aminafesali5817 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂yaani jamani khatar kazi nzur sana tin😘😘😘😘😘😘

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 2 ปีที่แล้ว

    Mkojani the Master Planner!

  • @rayanassor1857
    @rayanassor1857 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongeren washirik wote

  • @festoalex9691
    @festoalex9691 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawakubalisana hawajamaa nawakubalisana OSO

  • @shariphnassoro3802
    @shariphnassoro3802 4 ปีที่แล้ว +7

    Wap..??,Nagwaaa..!!

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 4 ปีที่แล้ว +6

    Perfect

  • @purityneema218
    @purityneema218 2 ปีที่แล้ว

    Lkn hongera ziwafikie mwafanya vizuri sana

  • @omaniwkssjsj6537
    @omaniwkssjsj6537 2 ปีที่แล้ว

    Baba enderea kulewq ili aje kujenga bati pombe diri bhn nimechek mm😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sofiajanuary3840
    @sofiajanuary3840 4 ปีที่แล้ว +2

    I am lover boy hahahahhahahaha

  • @georgegeorgemorisi4782
    @georgegeorgemorisi4782 4 ปีที่แล้ว +3

    Hebana eeehhee so mchezo maisha bana

  • @xeviajohn3508
    @xeviajohn3508 4 ปีที่แล้ว +6

    Sauda anaringa huyo hatariiii

  • @isakachristopher1867
    @isakachristopher1867 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana miamba nawafuatilia san

  • @suphianisalim1125
    @suphianisalim1125 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah

  • @juliethlukindo2796
    @juliethlukindo2796 3 ปีที่แล้ว

    Tini unavituko hiyo kofia umeikatakata mwenyewe fashion yapekeyako nawapenda 😀😀😀😀😀

  • @hamzarajab9888
    @hamzarajab9888 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana mokojan apana nakataa

  • @lameckpeter4994
    @lameckpeter4994 4 ปีที่แล้ว +5

    Yeyote anayewakubali hawa jamaa naomba like zenu hapa jmn

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 3 ปีที่แล้ว

    Mkojan n tin wanvirojaa😂😂😂

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 3 ปีที่แล้ว

    Eti umenimis hayaa njoo😂😂😂😂😂

  • @aminamohamed4653
    @aminamohamed4653 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwaluvnda anatia uluma

  • @aaliyahhussein6841
    @aaliyahhussein6841 4 ปีที่แล้ว +2

    Wa Kwanzaa hapaaa

  • @michaelisakampagama6971
    @michaelisakampagama6971 4 ปีที่แล้ว +2

    Watu wote umewakumbatia kasolo mimi

  • @fahmyisco2912
    @fahmyisco2912 ปีที่แล้ว

    Etty endlea kulewa😂😂😂

  • @leahrenard8262
    @leahrenard8262 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha ety umenimiss 🤣🤣🤣🤣

  • @stamilizawadi7838
    @stamilizawadi7838 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni sana tunawaomba sehem ya 3

  • @purityneema218
    @purityneema218 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 mkojani tamaa mbaya iyo

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 3 ปีที่แล้ว

    Nawaku kubali sana hawa watu sana zaidi ya sana ila muwaruvanda kauwa sana 👍

  • @hassaninanganga3239
    @hassaninanganga3239 4 ปีที่แล้ว +3

    Nzur

  • @maikotrinity4939
    @maikotrinity4939 4 ปีที่แล้ว +2

    Good movie

  • @aboumassoud4659
    @aboumassoud4659 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongern san

  • @aureliaswai1616
    @aureliaswai1616 4 ปีที่แล้ว +2

    Nzuli sana

  • @julietraymond4874
    @julietraymond4874 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyie ndio mlioback bongo tu

  • @hafidhzubeir4008
    @hafidhzubeir4008 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @amanihussein2888
    @amanihussein2888 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuh Atari sanaa

  • @queencharles1924
    @queencharles1924 3 ปีที่แล้ว

    Tamaa mkojani😂😂 mv inafunza sana

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 4 ปีที่แล้ว +5

    Iam uncle am pregnant😂😂

  • @esteralnani6838
    @esteralnani6838 3 ปีที่แล้ว +1

    Alie skia tini akisema endelea kulewa gonga like

  • @abassyiddy798
    @abassyiddy798 4 ปีที่แล้ว +5

    Endelea kulewa aweke bat

  • @Soccer_Life2
    @Soccer_Life2 4 ปีที่แล้ว +6

    mko vizur sana

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 4 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣eti we endelea kulewa tu baba

  • @allyissa7770
    @allyissa7770 4 ปีที่แล้ว +1

    Sauda au Saida mm nilijua karoli sauda gambe nimeacha

  • @kilizajumainn826
    @kilizajumainn826 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaha endelea kulewa baba

  • @nasriahmad5715
    @nasriahmad5715 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda xana co wale bongo movie

  • @stevenwiliam8359
    @stevenwiliam8359 4 ปีที่แล้ว +3

    Mafunzo mazuri

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 2 ปีที่แล้ว

    good movie