ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Oyah we mih ndo wa kwanza hapa Kwa hio niwaombeni like hata tano basi ❤️❤️😢😢😢
Za kazi gan Sasa hizo like
@@davidoscooper237 kula tuh mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣🤣
Jaman huyo mtoto mwanamme nampenda anajua mpk anakera natamani angekuwa mwanangu mungu akuzidishie kipaji ❤❤❤
Duuuh shida kweli haina rafki khaa yaan myonge mnyongen haki yake mpeni
Dah hii inahuzunisha na inafundisha hongera mbwela Kaz nzr kaka 🥰🥰🥰🌹🌹🌹😢😢😢😢😢
Ila uyo mtoto wa kiume anajua sana hongera kwake❤❤❤
Bwela mkali sana❤
Umeupiga mwingi mbwela ❤❤❤pokea🌹🌹🌹🌹🌹
Wallah tena mackin atuna haki😭adi nmelia
Mbwela the king ❤️❤️❤️
Duh, kweli huzuni juu ya huzuni
Mbwela mov nikali tena nikali sana
Good ila tunaomba msicheleweshe episode inayofuata nawapenda wote mbwela hauwezi kuniangusha.
Mbwela napenda sana movie zako 👏👏💪❤
Naomba like zangu leo nimekuwa wa kwanza
Sasa mbn Kila anae omba like ana sema amekua wa kwanza
Mimi wa tatu Leo nawapenda sana guyz❤️❤️❤️
Same to me
th-cam.com/video/WDU64mhKxh0/w-d-xo.htmlsi=s548tC4yev34taXk
Jina la wimbo jaman,,nyimbo nimeipenda inaitwaje
Kazi nzuri sana hongeren nyote mlio shiriki 🎉🎉🎉🎉🎉❤
Much respect homie 🌟🌟🌟
Ila munachelewa sana
Sauti jamani
Unyama mwingi aisee🎉🎉🎉
Jmn mewahiii kidogo leoo naombenii like zenu basiiii wapendwa wangu❤❤
Bonge la season ❤
Nimewahi leo
Mbwela❤❤❤❤❤
Kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Duu tamu sana jamani mtoto nampenda sana teamo
Nimtihani kwakweli he ndugu gani uyo 😢
Napenda sinema zenu sana. Ila kosa lenu kubwa huwa mwafanya. Mziki mwaeka sauti ya juu, waigizaji wanazungumza polepole. Kwa nn? Natazama nkiwa kenya.
Naomba like izooo❤❤
Sauti ipo chini mbwela
Wee chiriku punguza misifa 😂😂😂yani una kelele mpka unakera😂😂😂ujinga tu😂😂😂
Afu hii nyimbo inayoimba inaitwaje
Mzee Mirambo alikua n hamaki xx yuajuta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maskini kame jifuze maicha bado kadongo😢😢😢kitoto kakiune
Dolegumba kila kipande ni kizur yani daaah una baya kaka
Chiriku kaja kwa namna ya tofauti
Kazi nzur sana
uyuu dogoo yuko vizur
❤❤❤
Twaomba sehemu ya tano
Sehemu ya tano
Chiriku unaongea upuuz had kwa kaka akoo
We Steve tulia 🤣🤣🤣🤣
Tunasubiri muendelezo mbona mnaichelewesha
Hyu dogo genius san
Majabei unafeli wapi😂kwenye timbwili umesalitiwa, mshumaa nao afadhali umulike wasalitiwa tena😢😂😂😂shtuka mwanangu ❤😂😂😂😂
Aiiiii🤣🤣🤣🤣🤣
@@salmsalmo931 🤣🤣🤣
Sehemu ya tano iko wapi?au ndo imeisha apo sehemu ya nne tu
Sasa niambieni mpo chini ya madebe maana huu utunzi kama namuona
Jmn dah
Muendelezo plz
Chiriku jaman anagubuu
Sehmu ya tano vp
Taylor Steven Perez Maria Martin Susan
Kipara mtu saf piga hyo mjinga
Apo saw kama imetoka
Hiki chiriku kinamisifa
😂😂😂😂kumbe ata wew umekiona kinanikera sana😂😂😂
@@mkasihamad7225 sana2😁
Yani mpaka kinakera asaa simipend icho kichiriku
@@rokayaa3303 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ana gubu kama mawifi😏😏😏