Maandamano ya Maaskofu na Mapadre Ibada ya Kumuaga Padre Michael Aliyekutwa ameuawa Jimbo la Mbeya.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @salehekaoneka2901
    @salehekaoneka2901 2 ปีที่แล้ว

    Pumziko la milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani amina

  • @rosemarymlay6414
    @rosemarymlay6414 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ampokee kwake mbinguni.Roho ya marehemu Padre Michael ipumzike kwa amani.

  • @reginaandrew6891
    @reginaandrew6891 2 ปีที่แล้ว +1

    Mh! Tumuogopeni Mungu basi! Poleni sana ndugu zangu. Mungu ampe pumziko la Milele

  • @ezekielkamil142
    @ezekielkamil142 2 ปีที่แล้ว

    Raha ya milele umpe ee Bwana
    Na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Amina

  • @joycezumba4490
    @joycezumba4490 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani Baba ,inauma sana.

  • @vailethmurishiwa4097
    @vailethmurishiwa4097 2 ปีที่แล้ว

    Apumzike kwa amani fr

  • @dorothymella4719
    @dorothymella4719 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani. Mbele yako nyuma yetu😭😭😭

  • @rozinamallya9450
    @rozinamallya9450 2 ปีที่แล้ว

    Binadamu tumekosa utu Sana Jamani uwiiiiii Pumzika kwa amani Baba Padre

  • @jumanyamisonga5971
    @jumanyamisonga5971 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @naendwammbaga3964
    @naendwammbaga3964 2 ปีที่แล้ว

    Mpumzike kwa Amani mtumishi wa Mungu dhambi zao walikuua

  • @angelshauri8726
    @angelshauri8726 2 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa amani baba padri

  • @titusnjenje556
    @titusnjenje556 2 ปีที่แล้ว

    Pumzka kwa Aman. watu wanaingilia kaz ya muumba wanatoa roho ya mtu bila ofu yeyote, malipo ni hapahapa Dunian mbingun ni hukumu tu, Mungu baba umpokee mja wako ktk makao yako matakatifu Amina, jaman inaumaa sanaaaa!

  • @salvatorymogesi6476
    @salvatorymogesi6476 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa Amani Baba yetu 🙏🙏🙏

  • @floramwinami6317
    @floramwinami6317 2 ปีที่แล้ว

    R.I.P Fr Michael

  • @neemakasinge4184
    @neemakasinge4184 2 ปีที่แล้ว

    Inaumiza Sana.so sad

  • @raphaelchua6478
    @raphaelchua6478 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa Amani kiongozi wetu wa kiroho.

  • @gracekyomo9805
    @gracekyomo9805 2 ปีที่แล้ว

    Apumunzike kwa amani

  • @francismsemwa4477
    @francismsemwa4477 2 ปีที่แล้ว

    Mungu shughuli ka nao waje wseme wenyewe

  • @winfridandunguru5834
    @winfridandunguru5834 2 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa amani baba...Waliokuua hata wao watakufa tu kama mnyama.

  • @edithanguvumali7308
    @edithanguvumali7308 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani nyuma yako twaja

  • @dayneslyimo7100
    @dayneslyimo7100 2 ปีที่แล้ว

    Raha ya milele umpe ee bwana ampumzike kwa amani

  • @hawamkojera8785
    @hawamkojera8785 2 ปีที่แล้ว

    Pumzika Kwa amani baba yetu🙏🙏🙏