ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Shemasi aliyesoma injili , shwari kabisa
Umevipiga vita vilivyovigumu,mwendo umeumaliza Imani umeilinda Upumzike kwa Amani Baba Chengula
Wanakwaya wameimba vizuri sana hongereni sana ila naombeni anayejua mtunzi wa misa iliyoimbwa katika msiba huu wa baba askofu chengula
Ni misa ya wafu ya fr kayeta ambae ni marehemu na kabuli lake lipo nyuma ya kanisa hili la parokia ya mwanjelwa
Mwanga wa milele ukuangazie upate kupumzika kwa amani baba yetu🙏
Najivunia kuwa mkatoliki na wakatoliki wote waseme Amina
daaaah r. i. p mungu nijalie mwisho mwema
pumzika kwa amani askofu wangu chengula
Endelea kupumzika kwa amani baba yetu mpendwa askofu Chengula
Safari yetu wote pumzika kwa amani askofu
Apumzike kwa amani baba Askofu
Asante bishop nyaisonga kwa neno
Baba pokea roho ya baba askofu evalist chengula apumzike kwa amani
pumzika kwa Amani Baba Askofu
pumziko kwa amani baba yetu .na mwanga wa milele uangaziwe
pumzika kwa amani baba uliyenipa sakrament ya kipaimara parokia ya nzovwe tarehe na mwez uliyo aga dunia 21/11/ 2011
Apumzike kwa amani
E meu filho ele odiou isso
Pumzika kwa amani babu yetu sisi tulikupenda lkn Mungu kakupenda zaid
Upumuzike kwa amani, nimekujua nilipo kuwa mtoto, katika Jimbo letu la mtakatifu Yosefu , Jimbo la kuzaliwa kwake mwenyi Henri Anoalite, Wamba DRC