Hongera sana,,, hizi ndizo nyimbo tunazozihitaji zenye upako na ujumbe. Hazina kutoka jasho wala kivulika kiatu. Mungu azidi kukubariki ktk huduma hii ya uinjilisti kwa njia ya uimbaji.
naomba kama huyu Despinda angeweza kutembelea parokia mbalimbali ili aweze kufundisha waimbaji wa saprano jinsi ya kutoa sauti. voice production and voice training. This is amazing.
Asante sana Saly. Ni wazo zuri ambalo naamini kwa hatua aliyonayo kwa sasa bado hajaweza kuanza kutoa elimu hiyo. ila tutamshauri, muda ukifika na uwezo wake ukiruhusu aweze kuwafundisha na wengine
Good congrats moree wimbo huu wanikumbsha kipnd kile nipo kwenye uchungu mkal Sana barikiwa sana Dada nami napenda kuimba Sana kipaj Cha kuimba kipo kwenye dam🌷🌷🌷
Uendeleee kupumzika Kwa Aman Mama yangu kipenz... Uliupenda sana huu wimbo na ulipenda kuuimba kpnd chote cha uhai wako. Ahad za Mungu ni za milele, Tutauimba pamoja tena ktk makao yake matakatfu... AMINA!
Nyimbo nzuri, sauti nzuri ,utulivu wa nyimbo unaendana na location.. hongera sana ubunifu uliotumika ndo tunaoutaka kwenye muziki wa dini,tuendelee kueneza neno la Mungu kwa nyimbo na sifa.Tumsifu yesu kristu
Voice well composed. Calm, collected name them all. Good Job Despina you have done justice to this song. Very infectious one could live and never leave listening.
Uko vizuri Dada. Naomba ukiweza toa mwingine zilizopendwa .utulivu wako unavutia kukuangalia na kutokuchuja kwa wimbo. Kabla ya kulala lazima nikusikilize.
Asante sana Team nzima kwa uimbaji mzuri. Sala shukrani ni maombi yapitayo yote ktk ulimwengu wa kiroho. Utukuzwe ee Bwana kwa uumbaji wa hawa wanakwaya❤
kwa kweli wimbo huu umenisababisha hata homa niliokuwa nayo imenitoka ghafla asante rajo kwa uinjilishaji pia hongera kwa Dada muimbaji safi sana hicho kipaji kiboko
EE bwana umenichunguza na kunijua wajua kuketi Kwangu na kuondoka. Kwangu wimbo mzuri sana mane no mzuri Sana naupenda Kwahali zote unanikumbusha mengi tubarikiwe sote
hakika nauona ukuu wa Mungu kupitia maneno yako dada, wimbo sio mgeni ni ule ule wa miaka ile, lakini dada umeupatia ladha ya pekee sana ushauri wangu, fanya colection ya nyimbo kadhaa za kikatoliki na zenye mahadhi ya kikatoliki kweli ziimbe upya na ufanye album utatoka sana , mimi ni mteja wako wa kwanza.
Wow with a lot of love and cheerful l am so much impressed with this evangelization,may God bless you so much siz,protect you,strengthen you,lead you and give you His grace forever🙏💞🤲💕💖💗❤🔥💪🤝🏘
am just lacking words to express the feeling of listening to this song, it has just moved me to tears, i wish to have such a voice. so nice, composed oh my God Despina u r blessed indeed. may u touch many souls with ur singing.
Dada despina Mungu akutunze uendelee kuinjilisha ♥️💯
Despina wonderfull song naezakupata wapi
Bwana atubariki sote kupitia nyimbo nzuri katoliki
Kanisa katoliki Tanzania tunajitahidi kuimba kwa mpangilio mzuri Sana wa sauti Africa mashariki. Big up
Una saut mzur sana mungu akubark sana nahic uwepo wa mbingu here
Saut nzur na ujumbe mzur pia endelea na moyo wakumsifu Mungu,,,
ahsante Kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri
😢😢I feel to cry god is great 👍. God bless you 🙏
Huu wimbo unanikumbusha mbari mno,mungu ni mwema,tuendelee kumuomba ktk magumu yeye ndio kimbilio letu.
mungu akupe maisha marefu dada angu pia akupe afya uzidi kuinjilisha kwa njia ya uimbaji
Uzidi kubarikiwa kwa kipaji hicho Cha uimbaji Wako Dada una sauti nzuri kweli.Hongera
Umeitendea haki ya kwanza, safi sana.
Hongera sana,,, hizi ndizo nyimbo tunazozihitaji zenye upako na ujumbe. Hazina kutoka jasho wala kivulika kiatu. Mungu azidi kukubariki ktk huduma hii ya uinjilisti kwa njia ya uimbaji.
Mungu nilinde niweze kulinda imani yangu😢
naomba kama huyu Despinda angeweza kutembelea parokia mbalimbali ili aweze kufundisha waimbaji wa saprano jinsi ya kutoa sauti. voice production and voice training. This is amazing.
Asante sana Saly. Ni wazo zuri ambalo naamini kwa hatua aliyonayo kwa sasa bado hajaweza kuanza kutoa elimu hiyo. ila tutamshauri, muda ukifika na uwezo wake ukiruhusu aweze kuwafundisha na wengine
Wimbo mzr kweli sauti nzr ubarikiwe cn
Tumsif yesu kristu
Naomba Kanda ya Despina
Email address wandera560@gmail.com
+254725801019
Hongera sana Despina kwa uimbaji mzuri. Hongera sana Ray Ufunguo kwa kazi nzuri na hasa kwa ule wimbo mzuri wa NINAKUKARIBISHA YESU
Kibao kitamu kweli kweli. Mungu mwenyezi na azidi kukubariki. Amina.
Good congrats moree wimbo huu wanikumbsha kipnd kile nipo kwenye uchungu mkal Sana barikiwa sana Dada nami napenda kuimba Sana kipaj Cha kuimba kipo kwenye dam🌷🌷🌷
Mungu akubariki dada Saudi nzuri
Hongera Despina sauti nzr wimbo mzr umenibariki sana
Congratulations🎉🎉 despina your voice is so smooth God bless you forever more
Hongera sana umefanya vzur,,,saut nzur
Mungu abarikiwe saana kwa uimbaji wenu hsusuan Despina Mdende
Hongera dada mwenyez Mungu kakujalia saut nzuri ya kuimba vizur
Hongera sana mdogo wangu , Mungu aliye kupa sauti nzuri hii, uzidi kumtukuza yeye pekee. Sichoki kuusikiliza huu wimbo, ubarikiwe sana mdogo wangu
Hongera sana Dada kwa uimbaji mzuri hakika Mungu anatukuzwa milele
mungu Akupe maisha marefu dada angu napenda sana kusikia Mziki na kuimba
Napataga tafakarisho Sana juu ya makuu ya Mungu huu wimbo uwa na feel nimesali mala kumi 🙏🙏hongera kazi nzuri
Gud voice....nyimbo common ila saut na modificationz zafanya tusikilize kila mara...God bless the producer....God bless the singer
Asante sana John Bosco
Safi sana wimbo mzuri
@@rajopro Nyimbo nzuri kweli. Kuna uwezekano wa kuupload Minus one yake? Yaani Beat tu.
Mungu ww bariki watumishi wako
@@rajopro samahani naweza pata namba zenu za studio plz
Huyu dada Despina nimwone majaliwa sauti na displine ya hali ya juu Kamwene!!!
Wonderful singing.thank you for sharing
wimbo naupenda sana nitakushukuruuu
Sauti tamu kazi ya mungu hiyo
Dada Despina umebarikiwa sana, naomba uimbe nyimbo nyingi uwe Kizito Mihigo wa Tanzania, tuna kiu ya nyimbo nzuri kama hizi
Wow so much talented I was taught this song it's super amazing
Nimeshabarikiwa sana na hizi nyimbo za Despina.
Barikiwa sana na iweze kiendelea na kazi njema
Nimekosa maneno ya kusema,,,i like such singers kwa kwaya yangu,,,barikiwa
Uendeleee kupumzika Kwa Aman Mama yangu kipenz...
Uliupenda sana huu wimbo na ulipenda kuuimba kpnd chote cha uhai wako.
Ahad za Mungu ni za milele, Tutauimba pamoja tena ktk makao yake matakatfu...
AMINA!
Hongera sana kwa kazi nzuri 💝💝💝💝💝
Ubarkiwe Sana mwimbaji hakika umenifariji mnoo
Hongera sana Dada Despina una sauti nzuri sana....karibu kwetu Kenya utufunze mengi.. Twasubiri mkanda wako sana... .
Sina neno amina sana Dada.....
Wow,,the voice is so amazing
Kazi nzuri
Wow! Wow! ,,,,I just find myself listening to this song uncountable times,,,,, She did it perfectly! Congratulations Despina! Be blessed
Mungu akupatiye nguvu mingi sana kusudi uendeleye kutuimbiya.
Ninafarijika na nyimbo zako dada.
Asante Dada despina nyimbo umeitendea haki na sauti yako ni nzuri mno
Just love the back ground singers
Yuko vizuri huyu dada nimebahatika kumwona live akiimba hii nyimbo bila hata vyombo vya mziki huku bukoba hakika yuko vizuri xana
Amazing voice Despina, ubarikiwe sana
hakika umebarikiwa sana kwa uimbaji mtumikie mungu wanko ungali hai...! unanikumbusha mbali saba na mtunzi wa wimbo huo mungu amlaze pema pepon...!
huwa nnajisikia faraja sana kila nsikilizapo wimbo huu
kweli ni jambo la mhimu kumshukuru mwenyezi MUNGU
Wow Madam Despina lot of thanks unaimba smart sana barikiwa sana
Kama muitaliano vilee iyoo sautii, barikiwa sana dadaa
Amina! muimbaji najivunia saut nzuri ya katolick kwan nimebarikiwa na huu wimbo
Such angelic voice ....i have been here countless times
Am so happy watching be blessed like such voice 🙏
Dada Paulina umenifanya mpka dam imesisimka hatari umeutendea haki vilivo huuu wimbo nakupenda bure Mungu azid kukutumia
Nyimbo yako dada inaleta faraja. Mungu akubariki.
ubarikiwe sana mwanadada Kwa kumtumikia Mungu kupitia Kwa kipaji alichokupa
Nyimbo nzuri, sauti nzuri ,utulivu wa nyimbo unaendana na location.. hongera sana ubunifu uliotumika ndo tunaoutaka kwenye muziki wa dini,tuendelee kueneza neno la Mungu kwa nyimbo na sifa.Tumsifu yesu kristu
Very very technical...... Amazing and good modified voice .....yatosha kusema hongera Despina, hongera Ray ufunguo( Rajo)
Voice well composed. Calm, collected name them all. Good Job Despina you have done justice to this song. Very infectious one could live and never leave listening.
That is the best in praising the God's Kingdom. I am proud of being a Christian by faith
MUNGU akubariki kwa wimbo mzuri namna hii, na aendelee kukuongoza kutunga tena nyingine nyingi
Sasa tunatoka kivingine,Huu wimbo mzur sn, Mungu zidi kumbarik Muimbaj huyu, Azidi kumtumikia Mungu. Naamin atafika mbal
Good work, namshukuru Mungu kwa ajili yako, naamini waimbaji wa sauti yako wamejifunza kitu.
Nice song Dada.... Wimbo umeuongezea manjonjo kamwe hautachuja
thanks despina for the song keep it up
you changed me in some ways
Uko vizuri Dada. Naomba ukiweza toa mwingine zilizopendwa .utulivu wako unavutia kukuangalia na kutokuchuja kwa wimbo. Kabla ya kulala lazima nikusikilize.
Sauti nzuri, wimbo mzuri, production bora zaidi. Rajo never dissapoints
Mungu azidii kunyoosha njia za baraka kwako barikiwaa saanaa
Ninacho kitizama chanifariji sana, respect sana Rajo's production mmeweza
Asante sana Marty Omong'o
Hakika wimbo huu ni mzuri sana,umeutendea haki. Mungu azidi kukuinua mtumishi.
Asante sana Team nzima kwa uimbaji mzuri. Sala shukrani ni maombi yapitayo yote ktk ulimwengu wa kiroho. Utukuzwe ee Bwana kwa uumbaji wa hawa wanakwaya❤
kwa kweli wimbo huu umenisababisha hata homa niliokuwa nayo imenitoka ghafla asante rajo kwa uinjilishaji pia hongera kwa Dada muimbaji safi sana hicho kipaji kiboko
Tumshukuru Mungu kaka
Nzurii sana mungu akutie roho zake saba uendelee kumuimbia mungu
Duh! Ubarikiwe Rajo,ubarikiwe Despina umetumia vema kalama uliopewa na Bwana nami nikizaa mtoto nitamwita Despina
What a song., what a wonderful voice!! Well done sister nauona ukuu wa mungu kupitia wimbo huu
Napenda sana sauti yako nyororo kama ya malaika mbinguni...ubarikiwe sana na pia uzidi kubarikiwa maana ninaposikiliza wimbo huu nabarikiwa sana.
EE bwana umenichunguza na kunijua wajua kuketi Kwangu na kuondoka. Kwangu wimbo mzuri sana mane no mzuri Sana naupenda
Kwahali zote unanikumbusha mengi tubarikiwe sote
Amen. Asante sana Jeny
hakika nauona ukuu wa Mungu kupitia maneno yako dada, wimbo sio mgeni ni ule ule wa miaka ile, lakini dada umeupatia ladha ya pekee sana
ushauri wangu, fanya colection ya nyimbo kadhaa za kikatoliki na zenye mahadhi ya kikatoliki kweli ziimbe upya na ufanye album utatoka sana , mimi ni mteja wako wa kwanza.
Asante sana. Album ipo karibuni kutoka na ina ladha za namna hii. Ikianza kuuzwa mtajulishwa...
Wimbo mtamu kweli and Amazing voice projection
Nice 👍 voice Despina may God bless you
I have been blessed with this word of Psalms through this voice.
Her voice gives me goosebumps all over and I amso in love with he song. God Bless you more. I am blessed.
Come on wat a beautiful voice....nimesikiliza for 1 hr mfululizo be blessd my sister
i love everything about this song🔥🎶❤❤
Good song, with good voice from Despina Mdende. Keep it up. Good job from the producer and the composer John Mgandu.
what an angelic Voice..Just amazing,so wonderful..I love this, i lack words to express how beautiful this feels...AWESOME
Asante sana Paul. Tunamshukuru Mungu
ZAB 139 : 1-3, 14
14 "Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana"...
I love these Melody, very good
hongera sana mpendwa kwa wimbo mzuuri umenitamanisha kurudi tena kundini keep it up sister may GOD be with youuuuu
Wow with a lot of love and cheerful l am so much impressed with this evangelization,may God bless you so much siz,protect you,strengthen you,lead you and give you His grace forever🙏💞🤲💕💖💗❤🔥💪🤝🏘
Hongera sana sana. Wimbo mzuri umeimba vizuri. Mungu akubariki sana
Huu wimbo unakumbusha mbali jamani.
A very beautiful voice... may you keep n protect it as you live to praise God, it's attractive!!!
Nabarikiwa sana na wimbo wako pachika kazi nyingine tuendelee kubarikiwa
this lady is singing so professionally. i wish i could litsen to more of her work . Be blessed
There will be More and more from her
@@rajopro glad to hear that.. When I come to Africa I'll definitely love to do a colabo with her I'm also a professional gospel singer
That will be Great...
Nitakushukuru
Nitakushukuru..
Kwa kuwa nimeumbwa kwa njisi ya ajabu yakutisha 🙏🙏🙏
am just lacking words to express the feeling of listening to this song, it has just moved me to tears, i wish to have such a voice. so nice, composed oh my God Despina u r blessed indeed. may u touch many souls with ur singing.
Amen.
A very nice voice , I luv the song