WHOZU ATHIBITISHA KUMPA UJAUZITO WEMA SEPETU - "TUNAFANYA MAPENZI SANA, NIKIAMKA NAKULA MABUSU 50"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 164

  • @Mamiseti7
    @Mamiseti7 ปีที่แล้ว +5

    I promise kama kweli wema mjamzito, akijifunguwa tu natimba Tanzania🇹🇿❤️

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys ปีที่แล้ว +14

    Tunawapenda mno ❤🎉 Ila Chibaba na Chimama heshimuni Mwezi InshaAllah 😢😢😢

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 ปีที่แล้ว +23

    Waislam hasa wasanii wamekaa kama waziristan ila mjuwe iko siku mtarud kwa mwe yezi mungu atakwenda kulipwa kwa mlio yafanya muogopeni mungu mtakwenda kulipwa mjuto hayatoyasaidia

  • @amonia96
    @amonia96 ปีที่แล้ว +12

    Yes, wanapendana kwa faida yao,watu waache kuwafatilia maisha binafsi,wafate kazi zao

  • @annysamwel9669
    @annysamwel9669 ปีที่แล้ว +2

    Safiiiiiii whozu nakupenda sana unajiamin na uishi watu wanapenda unaish vile unafurahi mpende chimama wako ✌✌✌

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +41

    Zamani nilikuwa naichukia hii caoup ila sasa hivi nimeizoea na nimeipenda sana

  • @emmilyokoko7342
    @emmilyokoko7342 ปีที่แล้ว +14

    Chimama n chibaba Nawapenda ❤

  • @husnamanase3006
    @husnamanase3006 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mungu awalinde mapenzi yenu yadum nimefulahi kuwaona pamoja ❤🥰🌹💐

  • @priscarmkilima3373
    @priscarmkilima3373 ปีที่แล้ว +1

    Umejuwa kujielezea kaka ayo nimapenzi yenu ❤ namungu yupo kuusu humri namba to 🎉

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 ปีที่แล้ว +29

    Ila ommy kaongea ukwel mtu huwez kufunga ukafanya hayo

  • @majomamajoma8776
    @majomamajoma8776 ปีที่แล้ว +5

    Umesema kweli Kila kitu ni mwenyezi mungu

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 ปีที่แล้ว +5

    Wema kapendeza jamani🥰🥰

  • @SalehRama-uy2uz
    @SalehRama-uy2uz ปีที่แล้ว +11

    Hakuna Uislam wa namna hii duniani yaan mnazini ukooo afu mnajitokeza hadharani mbele za watu na kufutari pmj...hii nchi ina mambo ya hovyo xna kw kweli!!🤷‍♂️ Mtu anajiita Muislam afu kasuka nywele juu ya kichwa...mmhh hii dunia inajikaza tu kw kweli lkn ishachoka wallahi!!

    • @isuboyhoney1714
      @isuboyhoney1714 ปีที่แล้ว +1

      Hii ni kama wanaikejeri Dini ya kislaam unapewa mimba mtu kabla ya ndoa dahh jamani kunakufa kesho kwa Allah mtajibu Nini ?😭😭😭 Bora msipost aibu kama hii pls na wale wote wanao futuru hapo c waislam coz wanakiuka Mila na desturi za kislam.

  • @jut1161
    @jut1161 ปีที่แล้ว +4

    Jaman mungu ndio mlipaji hatuna haja ya sisi kutoa fatwa

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 ปีที่แล้ว +2

    I love you wema and whozu nice couple

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 ปีที่แล้ว +1

    Hivi watu mmekazana na funga za watu zenu zinaswii mna uhakika umefunga unahukumu wenzio kujifanya mungu mtu hebu pambaneni na maisha yenu funga za watu ajuae muumba wao

  • @ininahazwechristella8190
    @ininahazwechristella8190 ปีที่แล้ว

    Munapendezana sana mungu awape mtoto

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb ปีที่แล้ว

    Vijana wa leo wanapenda kuwa na mahusiano na wanawake wakubwa kuliko umri wao. Shida ni wavivu wanapenda kubebwa

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amuwekee

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 ปีที่แล้ว +3

    Uyu whozo mm sijamuelewa mbona anaongea ivi jomoni ambao mko pamoja na mm gongeni like plz mm sijamuelewa whoz kabisa 😅😅😅😅😅

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 ปีที่แล้ว +6

    Asante Whoz

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว +16

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbona kushinda na njaa😂😂😂
    Enjoyini mapenzi yenu...maisha ndo haya haya

  • @khamiszahour6139
    @khamiszahour6139 ปีที่แล้ว +12

    ko ramadhan yot hiii mnapelekea moto tu au sio 😆

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +5

    Ommy kapiga ngumi kwenye mshono 😂😂😂 mtu unafungaje na bado uko ivo na mwanaume ambae sio mumewako ?

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 ปีที่แล้ว +1

    Amemsakasia #sonofGod#Whozu

  • @ananiakajembe449
    @ananiakajembe449 ปีที่แล้ว +8

    Yangu macho kama chimami an mimb npo pale nimekaaa

  • @madamaisha1641
    @madamaisha1641 ปีที่แล้ว +12

    Munaichezea dini subirini muingie makaburini usanii wenu mutaujutia

    • @ikokijuma-zv7wd
      @ikokijuma-zv7wd ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabsa madam siwapenda sana hawa watu

    • @obim8494
      @obim8494 ปีที่แล้ว +3

      dini aikupelek pepon matendo yko

    • @ngoni7944
      @ngoni7944 ปีที่แล้ว +1

      Kama wewe unaogopa kaburi usitishie watu wengine maisha, pambana na hali yako ya shida

    • @jointjoint4507
      @jointjoint4507 ปีที่แล้ว +2

      ​@@ngoni7944 dunia ni starehe ya muda mfupi ukipata mtu akakufahamisha jambo la kukumbusha jitahidi kuwa na kauli nzuri

    • @mrjohn4446
      @mrjohn4446 ปีที่แล้ว

      ​@@obim8494 unaakili sana I like that your are smart

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +4

    Sio kumtania kamwambia kweli mwezi mtukufu unalishana na mwanamme hazarani wala simumeo mh 😢 hapo anashinda na njaa wema lazima amuweke pembeni mwanamme kwa mwezi huu mtukufu.

    • @bushbabytz
      @bushbabytz ปีที่แล้ว +1

      Mwezi mtukufu my foot yaani miislam ina makelele mengi mno

    • @JRN2612
      @JRN2612 ปีที่แล้ว

      ​@@bushbabytzeti miislamu, unaonesha wazi jinsi moyo wako ulivyojawa na chuki. Anyways, wala sisi hatujali, just unajisumbua tu😅😅

    • @farahanisiraji3105
      @farahanisiraji3105 ปีที่แล้ว

      @@bushbabytz baki na iman yako ,,,usitukane imani ya m2,,, miislam imefanyej sasa 🤣😂🤣,,we n mbwa huna akil

    • @70sbro
      @70sbro ปีที่แล้ว +1

      Miislamu? Kuna watu wana ghadhab za ovy jamn😂

    • @vailethmwashibanda2514
      @vailethmwashibanda2514 ปีที่แล้ว

      Tatizo mnapenda kujiona nyinyi niwakamirifu sana

  • @annamasele337
    @annamasele337 ปีที่แล้ว

    Huyo Ndo Mwanaume Nahayo Ndo Mapenzi Daima Wanaopenda Hawangalii Yaliyopita.

  • @neemanyimbi2355
    @neemanyimbi2355 ปีที่แล้ว

    Ndo kula gani Ivo avongata kiduchu ningekwepo mimi Apo ninge jaza ningekombaa

  • @salhayussuf4068
    @salhayussuf4068 ปีที่แล้ว

    Vavayo ni bonge moja la hit song bila video naamini na video nayo ni unyama nakukubali chibaba

  • @madamaisha1641
    @madamaisha1641 ปีที่แล้ว +6

    Janadume zima limesuka hawa ndo wanahamasisha ushoga na maasi yote

    • @hyacintagugu7
      @hyacintagugu7 ปีที่แล้ว +1

      Amependa mwenyewe hajalazimishwa na mtu...KILA mtu ana uhuru wake so nini kinakusumbua wewe? Kichwa chake na nywele ni zake

  • @zena6203
    @zena6203 ปีที่แล้ว +5

    Kuna binadam wapo busy nakuandika azambiii zawengine ila zakwao wanazikalia nyoo

    • @JRN2612
      @JRN2612 ปีที่แล้ว

      Za kwao umeziona au? Kama wamefanya kwa siri inawezekana pia wametubia kwa siri na Allah atawalipa kwa siri. Lakini hawa wanaotuanikia maasi yao kwa makusudi na kwa ufakhari basi ni wajibu wetu kuyakemea.

    • @mwanaherhussani7425
      @mwanaherhussani7425 ปีที่แล้ว +1

      @@JRN2612 hilo nalo neno

    • @annysamwel9669
      @annysamwel9669 ปีที่แล้ว

      Waaambie hao wenyew wameolewa kaz umbea na wamefunga hata kumpa jirani futar matangazo wana kaz ya kuona ya wenzao ovyoooo wanaume za watu ndo usiseme kututongoza na wapo kwenye mwezi mtukufu 😂😂😂😂😂 haloooooooh!👌👌

    • @annysamwel9669
      @annysamwel9669 ปีที่แล้ว

      Ukemee nn usihukumu usije ukahukumiwa uhukumuvyo ndivyo utahukumiwa ishi maisha yako kama kukemea dili watu wangeacha kutembea uchi na kutoka kweny ndoa zao zinaa

  • @jamilaamry9330
    @jamilaamry9330 ปีที่แล้ว

    i really hope iits true coz that libra needs a break...

  • @PrettyMasha-cs8iv
    @PrettyMasha-cs8iv ปีที่แล้ว +6

    Whozu unajichubua😮😮😮

    • @thomsonleon134
      @thomsonleon134 ปีที่แล้ว

      Hapana kafanyiwa scrub 😂😂😂😂

  • @josephmugala1970
    @josephmugala1970 ปีที่แล้ว +5

    Diamond Alishamaliza humo hapana kitu

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว +2

    Wema alisha tumika kweli daaa duuuu

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 ปีที่แล้ว

      Acha kujifanya malaika

    • @mariamibrahim6738
      @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว

      @@hopefully7090 si9 ivo ila ifikiye hatua aache basii akiw na bwana iwe siri yke jmn juuu sio pow

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 ปีที่แล้ว

      @@mariamibrahim6738 sasa kama ni mchumba je amfiche.kwanini?

  • @imatisatv9239
    @imatisatv9239 ปีที่แล้ว +6

    Hizi kiki zitakuja kuwaumbua

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 ปีที่แล้ว +2

    Whozu kavaa kaunda suit kama Fred vunjabei anaomba Kura kwa wajumbe 😅

  • @aliawadh9825
    @aliawadh9825 ปีที่แล้ว

    Jamani ramadhani hii watu wanafungaje wakiwa wanaishi pamoja bila ndoa?na wanafunga???

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +2

    Woooooow wamependez sana

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh Wema siku hizi sielewi hata kidogo

  • @hanafhamad2801
    @hanafhamad2801 ปีที่แล้ว +2

    allah anatuhabarisha kua yeyete atae epushwa na moto bac huyo amefanikiwa amewini balaa la moto wa jahhanam ni zitto

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 ปีที่แล้ว +3

    Whozu kaparara kazeeka haya mahusiano yamemzeesha huyu kijana

  • @ramashorty
    @ramashorty ปีที่แล้ว

    Huwezi kufunga Ramadan wakati unaishi na mwanaume siyo mwisilamu na hajawa mume

  • @ramboiddrambo3056
    @ramboiddrambo3056 ปีที่แล้ว +2

    ila kuwa star kazi jmn kaaah

  • @edgerlyimo1086
    @edgerlyimo1086 ปีที่แล้ว

    Whozuu atakuwa kama shost kaolewaaaa huyooo

  • @ramashorty
    @ramashorty ปีที่แล้ว

    Wema sio mwisilamu tena

  • @farajfarjalla1597
    @farajfarjalla1597 ปีที่แล้ว +8

    munafanya mapenzi au munazinii???

    • @josephatpatrick3940
      @josephatpatrick3940 ปีที่แล้ว +1

      Utafirwa mzee

    • @farajfarjalla1597
      @farajfarjalla1597 ปีที่แล้ว

      @@josephatpatrick3940 waonaje ukanitafuta usiongee mdomo unajua risasi ilivyo ama nkutafute ufanye vile unasema.

    • @scholahmwelange1406
      @scholahmwelange1406 ปีที่แล้ว

      Kajifunze Kwanza kuandika ndio uje kuuliza hlo swali lako la kipuuzi

    • @JRN2612
      @JRN2612 ปีที่แล้ว +1

      Wanazini bro, na wanaona ufakhari💔

    • @farajfarjalla1597
      @farajfarjalla1597 ปีที่แล้ว

      @@JRN2612 imagine mwezi mtukufu kama huu wa kutaka tawba wao wanazini tuu hovyo na kutembea bila aibu...wanaonyesha mifano gani kwa wadogo zetu na ndugu zetu wasokua waislam..

  • @sautisaba3872
    @sautisaba3872 ปีที่แล้ว

    Iyakujipakulia ndosawa😂

  • @priscargodwel3794
    @priscargodwel3794 ปีที่แล้ว +1

    💕💕💕

  • @dianamsuya4854
    @dianamsuya4854 ปีที่แล้ว

    Waoooh

  • @Teddy-fq5oc
    @Teddy-fq5oc ปีที่แล้ว

    Kajala alivyo tembea na bwana wa wema ,,mmh wema alikasirika ila yeye kutembea na chombo ya mwenzake anaona kawaida

  • @mussaabdallah9255
    @mussaabdallah9255 ปีที่แล้ว +3

    Wema chimama

  • @ahmedbashash3672
    @ahmedbashash3672 ปีที่แล้ว

    Uzushi mtupu

  • @Lanihsarumu
    @Lanihsarumu ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🇹🇿

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 ปีที่แล้ว +3

    Bibi

  • @Lukasevod-hf3nl
    @Lukasevod-hf3nl ปีที่แล้ว +4

    Unataka upepo wa wema ilikusafrisha mziki wako

  • @hanafhamad2801
    @hanafhamad2801 ปีที่แล้ว +4

    dunia ni starehe za muda mfupi tuuu ishi utakavyo ishi hakika ww ni maiti

    • @rahmapiere3134
      @rahmapiere3134 ปีที่แล้ว

      Kama ni maiti ni muhimu kuishi according na sheria za dini kwasababu una yaqini ipo siku utarudi kwa muumba wako🙏

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du ปีที่แล้ว +1

    Tushawachok kilasiku. Mimba inatangazwa. Ndoman. Unachulia mwenyewe. Ovyooo

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 ปีที่แล้ว

    Mmbaya

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 ปีที่แล้ว +1

    Maisha yanaenda kasi snaa 😅😅

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    Chibaba wa wema

  • @mohamedhamsini9106
    @mohamedhamsini9106 ปีที่แล้ว +1

    HIKI KIZEE KINATISHAAAA😮😮😮

  • @kubwalaodancers
    @kubwalaodancers ปีที่แล้ว

    🤘🤘🤘🤘🤘🤘🤘🔥🔥🔥🔥

  • @halimahamis3742
    @halimahamis3742 ปีที่แล้ว +3

    Mimi Niko palee 😂

  • @ramashorty
    @ramashorty ปีที่แล้ว

    Acheni kuchezeya wisilamu

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 ปีที่แล้ว

    Whozu amekomaa sasa naona

  • @Lukasevod-hf3nl
    @Lukasevod-hf3nl ปีที่แล้ว +1

    Unajichubua na unasifa

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว

    Wema anaswau gani anazini hovyo

  • @EmmanuelMtiana-tu8sj
    @EmmanuelMtiana-tu8sj ปีที่แล้ว

    Eee

  • @reeckstar931
    @reeckstar931 ปีที่แล้ว +6

    Miezi Tisa c mingi😂😂😂😂

  • @brightonngola8142
    @brightonngola8142 ปีที่แล้ว

    dongo kwa mond baada yakusema marioo aliomba asainiwe wasafi ndoman nyimb ikawa vavayo

  • @ayshaahnad4472
    @ayshaahnad4472 ปีที่แล้ว +5

    Whoz mbona kma ana jichubua

    • @mwanaherhussani7425
      @mwanaherhussani7425 ปีที่แล้ว +1

      Yani amekuwa mbaya

    • @johnycavishe5207
      @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว +2

      Mm mwenyewe namtazama sielew aache izo Mambo bhn

    • @ayshaahnad4472
      @ayshaahnad4472 ปีที่แล้ว +1

      @@johnycavishe5207 haki tena hata sijui kawaje yaani

    • @ayshaahnad4472
      @ayshaahnad4472 ปีที่แล้ว

      @@mwanaherhussani7425 kajiharibu kweli yaani

    • @johnycavishe5207
      @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว

      Anaznguwa mbo color yake iko good tu anaangaika

  • @gtzrreception5532
    @gtzrreception5532 ปีที่แล้ว

    Watu wanafnya dini kama ya baba yao sio poa hii hata kidogo

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว

    Whozu anajichubua au,,,,,,,,ila couple saiv nmeizoea

    • @rehemaothman2475
      @rehemaothman2475 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂Rangi ya huba hio😂😂😂

  • @fatnajamal8068
    @fatnajamal8068 ปีที่แล้ว +1

    Hiki kipindi mchaga haukipendezeshi kabisaaaaaa

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂 Wema nibibi hashiki mimba tena alisha toa kizazi 😂😂😂

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 ปีที่แล้ว

    Whozu bichwa baya

  • @bushbabytz
    @bushbabytz ปีที่แล้ว +1

    Hicho ki whozzu kiko kama kipimbi flani, kifupi kimenenepeana yaani hana shingo yuko kama fukofuko

  • @jannyjmamdak2570
    @jannyjmamdak2570 ปีที่แล้ว

    Mabusu 50🤣🤣 nakupenda nakupenda😳🤔

  • @zeinabkhamisi5784
    @zeinabkhamisi5784 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 ปีที่แล้ว

    Mimba gani ya uzinifu labda kubudu cha mimba

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 ปีที่แล้ว

    Tuliosoma Cuba tushaelewa maana ya vavayo🤣🤣🤣

    • @veronicasteven1731
      @veronicasteven1731 ปีที่แล้ว

      Niambie kama ni tusi nimtukanie adui yangu

    • @fetychina3969
      @fetychina3969 ปีที่แล้ว

      @@veronicasteven1731 nitusi we unadhani isingekuwa tusi hapo alipoulizwa angekuwa ameahajibu lkn ana msukumizia mwenzie

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 ปีที่แล้ว

    Uongo 😅

  • @magneticofficialtz
    @magneticofficialtz ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/_3GnLUSGZWA/w-d-xo.html
    Duh maajabu wema kadhihisha kuwa cyo gumba la kulia bali ni lakushoto ndio alilotumia.....

  • @user-vx7ov2nc3v
    @user-vx7ov2nc3v ปีที่แล้ว

    ,😂😂😂

  • @singidaboyonline
    @singidaboyonline ปีที่แล้ว

    Shida zenu