MWIJAKU na ALI KAMWE wakutana LIVE/MWIJAKU ahamia YANGA?/WAWAGOMBANIA HAMISA na IRENE UWOYA....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

ความคิดเห็น • 53

  • @RwindiSafarisLTD
    @RwindiSafarisLTD 25 วันที่ผ่านมา +10

    Alikamwe ni mustarabu sana wa kuzani ana myaka mingi sana iko series sana ana hekima kabisa

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mwijaku ni professional Chawa 🎉🎉🎉

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 26 วันที่ผ่านมา +10

    Mwijaku nakupendaga bure

  • @MaryMziray-t3z
    @MaryMziray-t3z 25 วันที่ผ่านมา +2

    Ally kamwe mm nakupenda jamni we kaka❤

    • @narutonaruto4303
      @narutonaruto4303 25 วันที่ผ่านมา +1

      hat mimi jaman nampenda ally ally huyo bibie akishidwa ndoa mimi nipo kwa ajili yako

  • @elishagregory1595
    @elishagregory1595 25 วันที่ผ่านมา +16

    Hili jamaaa wakati mwingine lina akili kwel

  • @rehemarajabu3655
    @rehemarajabu3655 25 วันที่ผ่านมา +3

    Yaani mwijaku chawa la kimataifa 😂😂😂😂

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Jakaya mrisho Kikwete anaitwa Rafaeli, Sanura anaitwa mwantumu

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 25 วันที่ผ่านมา +2

    Pesa mbaya,inapelekea mwijaku awe kinyonga

  • @Kakajambazitv..
    @Kakajambazitv.. 26 วันที่ผ่านมา +4

    Mwijaku 😄😄😄

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Mwijaku Kuna wengine Esma anaitwa Fatuma na Queen Darling anaitwa Asha wanamikoba mingi wanaroga Diamond platnum na Zuchu na Mimi na watoto wangu na Hadija Omari kopa.

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Nenda kwa mday ayo nimekosea kidogo jina mtoe kwenye mitandao, Zuchu jina lake ni Karima ila Zuhura ni jina langu ila yeye Hana makosa aliye mpa ni Sanura mchawi na anamwogopa

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Wanataka kumuuwa Diamond platnum wagawane mali yote ya Diamond platnum Sanura na Zarina Hasan, nyingine Jakaya mrisho Kikwete anataka kumuuwa Diamond platnum na amempa sumu.

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Jina langu la kweli naitwa Zahra Zuhra Berlin majina yangu matatu ya kweli jina la baba yangu ni Mahamed jina la mama yangu ni Hamida Hasan. Hayo majina yangu ya kweli.

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Na Ni wachawi wakubwa Zarina Hasan na Sanura, na Jakaya Kikwete ni mchawi mkubwa wa Diamond platnum na Samia suluhu ni mchawi wa Diamond platnum wanaroga watu wote wanaroga watoto wangu na Mimi na ndugu zangu.

  • @kastulawe6158
    @kastulawe6158 24 วันที่ผ่านมา

    Yaani mwijaku ni profesional chawaa😂😂😂 haeleweki

  • @kenzoofficial6300
    @kenzoofficial6300 25 วันที่ผ่านมา +3

    Ila mwijaku 😂😂😂

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Uchawi wote ni hao wanne

  • @rajabually869
    @rajabually869 25 วันที่ผ่านมา +2

    Hahahaha mpaka alipwe

  • @MariamKileo-mu8rv
    @MariamKileo-mu8rv 19 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂me nimecheka ally kamwe akiwa anaongea huku anajikuna eti kwanini nioe Saiz mmh kanisemea me cjasema

  • @mkilwaabdul9230
    @mkilwaabdul9230 25 วันที่ผ่านมา +1

    mwijaku yupo kote kote😂😂

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Sanura hajamzaa Diamond platnum ni mama yake wa kambo na amewauwa wazazi wa Diamond na wazazi wangu Mimi naitwa Zahra Farah, Zarina Hasan watoto wawili wa Diamond siyo wa Diamond sijui kazaa na nani,

  • @AidoJamunjira
    @AidoJamunjira 25 วันที่ผ่านมา +1

    Yan mwijako anan flayisha 😂😂😂😂😂

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Mwijaku, Zarina Hasan jina lake la kweli ni Mariamu, Samia suluhu jina lake la kweli ni Laila

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 20 วันที่ผ่านมา

    Ila mwijaku😂😂😂

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Diamond platnum majina yake ya kweli ni Jumanne, Osmani, Muniri mama yake anaitwa Hadija baba yake sijui.

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Hiyo story ni kweli kabisa Haina uongo hata kidogo nyingine huyo anae muita Shakib bwana wa Zarina anaitwa Juma murithu jina kapewa na Zarina Shakib ni msomali na ni mtoto wa shangazi yangu nyota yake kamfungia ia huyo bwana wake anaitwa Shakib Mohamed katuuwa katumaliza , Samia suluhu Hasan Samia ni msomali jina la mtoto wa Rafiki yangu mama yake anaitwa jim,a, Hasan ni ndugu yangu amemuuwa na Suluhu ni balozi wa nyumba kumi kumi Yuko Dar ni wauwaji siwajali Wala siwaogopi washenzii wakubwa, Jakaya Kikwete tokea 2006 kashika nyota yangu majini mahaba yote kanifungia, Diamond anarogwa na hao wanne hawana waganga wanao mikoba

  • @shafiimdogwa1482
    @shafiimdogwa1482 25 วันที่ผ่านมา +2

    Ali kamwe Anamchola 2 Uyo Boya😂😂😂

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 24 วันที่ผ่านมา

    30million

  • @nanadl9761
    @nanadl9761 24 วันที่ผ่านมา

    Mwijaku unaongeya sana hadi unamnyima mwenzio nafasi

  • @lightnesskinyaiya
    @lightnesskinyaiya 25 วันที่ผ่านมา

    Ally katulia tu

  • @euniceezekiel3701
    @euniceezekiel3701 25 วันที่ผ่านมา

    Ila Ali Kamwe, unajua

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Mikoba yote ya Sannura na Zarina Hasan, majina yao ya kweli ni Mariamu na Mwantumu.

  • @euniceezekiel3701
    @euniceezekiel3701 25 วันที่ผ่านมา

    Ila Kamwe

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 25 วันที่ผ่านมา +2

    Ali kamwe anamchola uyu jamaa 😜😜😜 Ali ww wajifanya ujui kuongeza kumbe unamchola

  • @JERRYMWAKABONA
    @JERRYMWAKABONA 24 วันที่ผ่านมา

    Gari 50% ila huko

  • @user-bo5qp9gz8m
    @user-bo5qp9gz8m 24 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 Ally kamwe ukiwa mpole ivo hata upendezei tumekuzoea kivingine ila leo mmh

  • @hassanharith2443
    @hassanharith2443 25 วันที่ผ่านมา

    Hana mpango wowote hiyo mwinjaku ni pumbavu mropokwaji hajielewi hatahaelewi mini anachosema

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 25 วันที่ผ่านมา

    Ila mwijaku 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sunyareh
    @sunyareh 20 วันที่ผ่านมา

    Hayo ni majina yake matatu.

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 25 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa hili Lina akili sana

  • @magrethsanga4971
    @magrethsanga4971 25 วันที่ผ่านมา

    Aaaah Sara Jerry mdogo naona uko na kaka zako

  • @user-uz5dk7xv6w
    @user-uz5dk7xv6w 25 วันที่ผ่านมา +1

    Chizi huyu hatumtaki yanga yetu 😅

  • @komboarts7110
    @komboarts7110 25 วันที่ผ่านมา

    mwijaku utani mwingi sana aisee😅

  • @JERRYMWAKABONA
    @JERRYMWAKABONA 24 วันที่ผ่านมา

    YAANI HAKUNA KUFA😂😂

  • @TatuKimario
    @TatuKimario 25 วันที่ผ่านมา

    Jaku ni mnafki

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 24 วันที่ผ่านมา

    Mwijaku taila huyu

  • @OMONDIMTUKAZIOG
    @OMONDIMTUKAZIOG 25 วันที่ผ่านมา +1

    𝙃𝙖𝙝𝙖𝙝𝙖𝙝𝙖𝙝 𝙣𝙞𝙢𝙚𝙛𝙪𝙡𝙖𝙝𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙡𝙞𝙢𝙬𝙞𝙟𝙖𝙠𝙪 𝙗𝙬𝙖𝙣𝙖 𝙡𝙞𝙣𝙖𝙝𝙖𝙠𝙞𝙡𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙝𝙖𝙛𝙪 𝙣𝙞𝙡𝙞𝙥𝙞𝙜𝙖 𝙝𝙚𝙡𝙡𝙖 𝙢𝙖𝙖𝙣 𝙪𝙠𝙞𝙡𝙞𝙨𝙞𝙠𝙞𝙡𝙞𝙯𝙖 𝙡𝙞𝙣𝙖𝙝𝙖𝙠𝙞𝙡𝙞