Sheikh Suleyman Kilemile (SEHEMU YA PILI)

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 168

  • @bijojawas6581
    @bijojawas6581 5 ปีที่แล้ว +3

    Sheeee bwana uwelewi na uweleweki. Unasema duniani kote siku ni moja. Then eid sio siku moja daaaaah.

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ukweli ambao hauna shaka Allah akurehem

  • @salamapwepwe8857
    @salamapwepwe8857 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdullillah, Allah amerehem Shekhar huyu na amngarishie qabri yske

  • @humudmarhoon8044
    @humudmarhoon8044 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu shekhe inataka uwe na elimu kidogo ndio.umuelewe Mashaa Allah jembe sana hili.ktk ilmu

    • @hemedirisasi3344
      @hemedirisasi3344 5 ปีที่แล้ว

      Hongera sheikh kwa kuweka wazi ufafanuzi

  • @muhamedkarugendo7320
    @muhamedkarugendo7320 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuripe kunamashekhe jina uisiramu wareo sio wajana mashekhe mfateni mwendo wa kiremire

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 5 ปีที่แล้ว

    Inshaa Allah sheikh Allah akupe subra ndio hali ya ulimwengu ilipo fikia masheikh mnatafautiana majahilia wanashangilia na kutoa lugha chafu na ili hali hawana elimu yyt msiba kwa kweli waislam wengi mbumbumbu .Allah atuhurumie.

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekh suleiman ALLAHU YARAHMU

  • @ummatchannel4300
    @ummatchannel4300 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh umenikunaaaa sanaaaaa. Allah akupe kheir nyingi.

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 5 ปีที่แล้ว +2

    SHEIKH ANATAKIWA AWE KAMA HUYU..ANAELEWEKA SIO ULE UJUAJI

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 5 ปีที่แล้ว +3

    وما يعقلها إلا العالمون

  • @sasangham8281
    @sasangham8281 5 ปีที่แล้ว +3

    Masha’Allah kazi nzuri Babdeo!

    • @abdulkadirbakhawar8896
      @abdulkadirbakhawar8896 4 ปีที่แล้ว

      Umefafanua shekhe sio yule anaeonea choyo shule za watu na taasisi za watu

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 5 ปีที่แล้ว +2

    ARAFA ISHAKUWA SIYO MOJA KUMBE !!!
    TWENDENI TU TUTAFIKA PAZURI IN SHAA ALLAH

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 4 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe khr.
    Amin
    umefundisha vyema

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 5 ปีที่แล้ว +3

    SHEKH SULEYMAN KILEMILE
    NAKUOMBA BABA TWENDE NA DATA NAONA HAPO UMESHIKA MAKARATASI HATUJUI MANENO HAYO UMEYATOA KATIKA KITABU KIPI
    SHEKH MOHD IDD YEYE ALIKUA NA VITABU 3 AKITOA DATA PLEASE USITUCHANGANYE TUKAWA KAMA KONDOO WALOPOTEA

    • @twaariqahmad7249
      @twaariqahmad7249 5 ปีที่แล้ว

      Wew hukumfuatilia tangu ile part ya kwanza
      Vitabu kataja huko
      Wenye misimamo yenu mckurupuke angalia hoja cyo ngariba n mimi niwe ngariba

    • @madarakamarumbo6102
      @madarakamarumbo6102 4 ปีที่แล้ว

      Fuatilia part 1 kataja vitabu

    • @ngwalimahingika4873
      @ngwalimahingika4873 4 ปีที่แล้ว

      Kina wengine hujifanya haoni haliyakua wanaona hujifanya hawasikii kumbe wanasikia kwahiyo hatushangai nahiyo comment yako

  • @jamalbahdela524
    @jamalbahdela524 5 ปีที่แล้ว +1

    Hebu kwanza kaeni mawahabi , mjipange upya na si aibu kurudi ktk mstari maana kwanza wenyewe kw wenyewe mnatofautiana hivi hamna shekhe nyinyi kila mmoja msemaji, kishki kasema, mohamad issa mara kilemili na wote mnatofautiana lkn maashaallah Al allama sheikh Muhammad Idd kasimama kwny dalili kila mkija mnadunda , wote watatu mmechemka. Kaaeni mtafakari na mkumbuke akhera.

    • @akiikilongo5691
      @akiikilongo5691 4 ปีที่แล้ว

      Inalillah Wainalillah Rajiun,shekhe fanya Istighfari

  • @SuleimanOmar-lv5eo
    @SuleimanOmar-lv5eo 24 วันที่ผ่านมา

    Hueleweki sheikh toa point plz

  • @japharytwaha8552
    @japharytwaha8552 5 ปีที่แล้ว +3

    Shegh umesoma vizuri umetutoa kimasomaso kwa wasio kuwa waislamu ndio maana huwa wanaaema Sisi eti hatukusoma sasa sheghe umeonyesha kuwa waislamu tumesoma

  • @abuuhamzafadhil5755
    @abuuhamzafadhil5755 5 ปีที่แล้ว +2

    Dini hii kama unachunga mbuzi wengi hatujasoma kazi yetu kulaumu mara huyu kasema hivi mara huyu hivi, kitugani hakijaeleweka mnafanya dini ngumu kama mayahudi sheikh kilemile kasoma na ana ufahamu mkubwa sana kama kateleza ni binaadam hakuna mkamilifu lazime tujifunze adabu ndugu zangu tuache ushabiki kama hujafamu ulize ufahamishwe acheni mambo ya vijiweni

  • @alikirobo141
    @alikirobo141 5 ปีที่แล้ว +3

    Mohd idi keshatuelimisha.sheikh unafarakanisha mfuate mufti wako

    • @alsamr554
      @alsamr554 5 ปีที่แล้ว

      Kiremile ni halimu kuliko mufti

    • @abdoulfeiysal5705
      @abdoulfeiysal5705 4 ปีที่แล้ว

      Ali kirobo poteza muda wako ukasome dini usimfate mtu yaumuli kiyama wote watakuruka

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 4 ปีที่แล้ว

      Kirobo

  • @othmanluheya2677
    @othmanluheya2677 5 ปีที่แล้ว +5

    Shekh hata mimi nipo China nimefunga jumamos na kuswali jumapili na tumepishana masaa sita to na katika dunia hakuna nchi tuliopishana masaa 24 hata moja na kubadilika law siku ni baada ya masaa 24

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +1

    Tobaaa Shekh sijakuelewa. naona unawavuruga tu hao ulio ungana nao kwa Arafa ya Makka hawakubali kwamba arafa inazungumka wanasema ni moja tu

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 5 ปีที่แล้ว

    ولوعلم الله فيهم خيرا لأسمعهم ولوأسمعهم لتولو وهم معرضون

  • @mrsalam1094
    @mrsalam1094 3 ปีที่แล้ว

    Saa mm sielewi maana kuna mwigine anasema arafa ni moja dunia kote na nipale mahujaji wako kweye viwaja vaya arafa hapo dio mtihani upo mm nimemuelewa saana maana yule aliye sema arafa inaswuhi pele watu wame simama n yy akauluza nje wale ambao mahujaji wamesima kwao wao niuck mulewe kiswahili

  • @nyanyambuli7163
    @nyanyambuli7163 5 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH AKBAR MASHEIKH WAKE HAWAKUA RADHI KATIKA YEYE KULITOLEA UFAGANUZI KWA ANAVYOTAKA YEYE NDIO MAANA KILA AKIZUNGUKA ANARUDI PALE PALE KWENYE 9 NASI KUWAANGALIA MAHUJAJI KUPITIA BBC DIRA YA DUNI AU DW AMA REDIO AMERIKA NAWALA SI CCTV KAMA WATOAVYO DALILI MASALAFI(MAWAHABI).

    • @yassinmmbwera9273
      @yassinmmbwera9273 5 ปีที่แล้ว

      Hivi hawa Masheikh wetu kuna anayetoa Fatwa kwa Ufahamu wake. Jibu hapana.. fatwah zao wote ktk vitabu vitabu vitukufu Pamoja na vya Maimam wetu, Imam Shafii, Imam Malik na kadhalika hakuna anayejitungia.

    • @shosiabdalla6880
      @shosiabdalla6880 4 ปีที่แล้ว

      Vitabu vyote vya fiqihi vyasema arafa ni siku ya tisa ya mwezi wa dhulhijja wala havisemi ni wuqufu arafah hayo alosema sheikh kilemile hayana maandishi nakama yana maandishi ni kitabu gani

  • @abdulmamboya4561
    @abdulmamboya4561 4 ปีที่แล้ว

    shekhe faswaha sana lugha uliyotumia

  • @kanoa645
    @kanoa645 5 ปีที่แล้ว

    Swaddacta shekh Kilemile umenipa raha maana watu hapo ndo wanapopata tabu kwa sababu ya kutotulia na kuelimishwa kuhusu mzunguko wa dunia na sayari. Dunia haina siku mbili ila tunapishsna tu.

  • @aishamalaki116
    @aishamalaki116 5 ปีที่แล้ว +6

    Hawa walio tangulia kwa masaa wanaanza kufunga mchana kwa hiyo swaumu yao inaanza kufungwa mchana? Hali yakuwa swaum tunavyoelewa inakufungwa kabla ya alfajir kuingia! Shekh tuweke sawa hapo! Halafu na maswali yangu nakuuliza kabla ya teknolojia kuja wewe kilemile ulikuwa unafunga vipi? Na sunna hassa kufunga kwa teknolojia au kama alivyo funga MTUME WETU MUHAMMAD ( SWA)?

    • @abdoulfeiysal5705
      @abdoulfeiysal5705 4 ปีที่แล้ว

      Wewe nitafute mimi mwanafunzi wa shekh nitakujibu hupaswi kujibiwa na shekh

    • @akiikilongo5691
      @akiikilongo5691 4 ปีที่แล้ว

      Bibi Aisha kwa Elimu yang dogo issue hapa iko hivi dunia yetu aliombele zaidi na yule wa mwisho hawajatofautiana kwa saa 24 mfano wakwanza saa tano usiku alafu arafa ikaingia makka means asubuhi yake lazima afunge arafa au aswali IDD Insha Allah ,ALLAH (S.W) NDIO ANAYEJUA ZAIDI

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 2 ปีที่แล้ว

      mtume alipoulizwa una funga j tatu kwa ajili ganii,alisema ninafunga kwa sbbu ndo siku nliyozaliwa,kwa hyo tujaalie mtume alizaliwa mchana,ili upate malipo lamza uanze kufunga mchana?

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 5 ปีที่แล้ว

    juma katema kasome fiqhul islami wa adillatuhu jawabu utaipata kama huna elim juma nyamaza suleiman kilemile amesoma kwa sheikh mohamedi ayubu kisha akasoma makkah

  • @parasuminazi4403
    @parasuminazi4403 5 ปีที่แล้ว +1

    Shekh naona unatafautiana namwenzako shekh mohd issa yeye anasema arafa siokabisa mwezitisa kwahio tuendeleeni kutuelimisha than mm nashauri wahabiya nyote kaeni chini than mutoejawabu mojatuu ili tupate kujifunzakutokakwenu nasihuenda tukawanjia iliyosawa lnshaallah

  • @nurdinhemed6
    @nurdinhemed6 5 ปีที่แล้ว +1

    Maneno mazur shekh kilemile....lkn yapo ktk kitabu gani?? Yule Muhammad IDD katoa dalili ktk vitabu sichini yavitano pale...sasa hapa kwa shekh kilemile naona kashika karatas tu namaneno matupu

  • @hamisally5850
    @hamisally5850 5 ปีที่แล้ว

    Ligi hizo sasa tusubiri atakaechukua kombe tu, maana masheikh hawataki kukaa chini na kuekekezana wanakimbilia kwenye tv na kutoleana maneno tu,

  • @saidameir5679
    @saidameir5679 5 ปีที่แล้ว +1

    wanakuitikia tu sheikh,hawajakufahamu!

    • @mbishambisha7374
      @mbishambisha7374 5 ปีที่แล้ว

      ربما وقع یوم التاسع فی یوم الثامن بسبب المطالع
      لان الله علق بالحلال احکاما کثیرا کالصیام والحج

  • @manswabalbaghdady6957
    @manswabalbaghdady6957 5 ปีที่แล้ว

    Huyu sheikh nasikitika mane no alosema audio ingine ni tafauti sasa ajitetea maskini mzeee amejichanganya

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuondoa mzozo huu ni kufuata muandamo wa makka kwa mwezi wa mfunguo tatu bas na kwa miezi mengine fuateni miandamo ya nchi zenu

  • @jumakatema6348
    @jumakatema6348 5 ปีที่แล้ว +1

    sahihi kabisa shekhe siku ya arafa ni mwezi tisa. bila kujali wamesimama au laa. maana kama kufunga mpaka wasimame arafa je likitokea tatizo huko ktk viwanja vya arafa mahujaji wakashindwa kusimama hakutakuwa na funga?jibu ni hapana

    • @abdoulfeiysal5705
      @abdoulfeiysal5705 4 ปีที่แล้ว

      Jibu si hapana likitokezea tatizo ikawa hawakusimama arafaa itakuwa hakuna kufunga ya arafa na wala hakuna hijja mana al hajuu arafaa

  • @mussamalugu1793
    @mussamalugu1793 5 ปีที่แล้ว

    Basi na sisi iddi imetufikia juma tatu

  • @junhanbabu1218
    @junhanbabu1218 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika shekhe wewe unaelimisha,kabisa asiekuelewa huyo mkaidi tu

  • @abdukherykhamis73
    @abdukherykhamis73 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu shekhe mm nina wasiwasi Nae, miaka ilopita alisema Hakuna khilafa kwenye arafa,dunia nzima imekubaliana kufata tarekhe YA makka, Leo Anakuja anasema anakubali swala hili la Arafa Lina likhalafa, Sasa na Hii ya Leo Anakuja kivyengine anakubali Hakuna afara mojaa,Sasa tumshikilie Wapi, yatupaswa tusome waislam, kwahili mm Ninashaka na Huyu. Hasimami kwenye hoja, nikigeugeu. Haeleweki.

    • @abdulhamidnjovu6031
      @abdulhamidnjovu6031 5 ปีที่แล้ว

      kwa wenzetu siku ina jumla ya saa 24, ambapo siku inaishia saa 6 za usiku, na siku mpya huanza baada ya hapo. Kwetu Waislamu siku ina saa zinazoshabihiana na hao wenzetu?.

    • @issaisandeko6217
      @issaisandeko6217 2 ปีที่แล้ว

      Weee ndo hujataka kuelewa anachozungumza

  • @salumkomba7682
    @salumkomba7682 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh wangu sijakuelewa kabisa

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 5 ปีที่แล้ว +2

      Allahu akbar haki itakuja kwa uwezo wa Allah,Mungu ni mmoja,umma ni mmoja dunia moja,watu ndio tunaotofatuana,Allah akulinde na maadui wa dini yake,kuna wengine hawalipendi hili,kwa maslahi yao,yanayotokana na sababu zao tafauti.

    • @deluxermahyono5290
      @deluxermahyono5290 5 ปีที่แล้ว

      Na huwezi kumuelewa ikiwa km unamsimamo wa kutojifunza

    • @amirmbuyu5733
      @amirmbuyu5733 5 ปีที่แล้ว

      Kaa kando Wala hautamuelewa ila kwa rehma za Allah

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 5 ปีที่แล้ว

      @@amirmbuyu5733 Ni sawa kabisa unayoyasema,kama hujamuelewa kaa kando.

    • @mohamedkilemile3058
      @mohamedkilemile3058 5 ปีที่แล้ว

      Kumuelewa huyu sheikh unatakiwa uwe na education base, kiwango cha chini kabisa uwe na Thanawi, kwa sababu huyu anaongea level ya University, nimeishi nae miaka mingi kabla sijaja ughaibuni nipo Montreal.

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 5 ปีที่แล้ว

    Tujifunze kwa Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam. Kuwaita Ma Sheikh, Wapotoshaji ni matusi au la? ikiwa ni matusi aliyetamka akumbushwe, ubaya wa kutokwa na matusi kwa Waislamu na hasa hawa ambao wanaidhihirisha haki, kwamba kuna kauli mbili za maulamaa. Kwa nini tunaona maovu yanafanyika kisha tunanyamaa?

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 5 ปีที่แล้ว

    Kinachomchanganya abuu iddi nikua anataka wote lazima waanze kufunga alfajiri

  • @nawawisaalim7173
    @nawawisaalim7173 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hueleweki unacho kuzungumza sasa

    • @jabirhussein4180
      @jabirhussein4180 5 ปีที่แล้ว

      hahahah

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio huelewi, sisi tunamuelewa sana!!!

    • @xalamlutfih6014
      @xalamlutfih6014 5 ปีที่แล้ว

      Huelewi nini

    • @alsamr554
      @alsamr554 5 ปีที่แล้ว

      Tuliza akili utamuelewa ila ukileta ushabiki huwezi kuelewa

  • @saidnyonzo850
    @saidnyonzo850 5 ปีที่แล้ว +1

    NASHUKURU KWA KUKUKUINGIA MALAIKA NA KUKUTAMKISHA HOJA ZIMEKUISHIA UNGANA NA ABUU IDD MWENYE MASIKIO NA ASIKIE ASIETUMIA AKILI SHAURI YAKE KWAN ATAADHIBIWA

    • @khalfanally9266
      @khalfanally9266 5 ปีที่แล้ว +1

      akili yak fupi unamjua vizur shkh kilemile ww

  • @maalimrajabu1634
    @maalimrajabu1634 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh wajichanganya mwenyewe mbona

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 5 ปีที่แล้ว

      Eleza Sheikh anajichanganya ki vipi?

    • @yassinmmbwera9273
      @yassinmmbwera9273 5 ปีที่แล้ว

      Hivi hawa Masheikh wetu kuna anayetoa Fatwa kwa Ufahamu wake. Jibu hapana.. fatwah zao wote ktk vitabu vitabu vitukufu Pamoja na vya Maimam wetu, Imam Shafii, Imam Malik na kadhalika hakuna anayejitungia.

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 5 ปีที่แล้ว +1

    wwe saidi yoza acha upumbavu hakuna hoja itakayo pindua hadithi ya mtume nakama unajua lugha ya kiarabu msikilize khatwibu wa msikiti mtukufu wa makka alioitoa siku ya ijumaa kama una akili utzingatia kama kundila wele sheikh kannena basi hatuna ulazima wakukulazimisha kufuwata hadithi yamtume maana utakua umeingia ktka udhuru kisheria

    • @twaariqahmad7249
      @twaariqahmad7249 5 ปีที่แล้ว

      Tatizo watu hawaelewi ndugu
      Hawaunganish hadith ya mtume na majira jinsi yalivyo
      Watu hesabu inawashinda hata ya masaa na wakat n za shule ya mcng hizi

  • @jadujadunga7823
    @jadujadunga7823 5 ปีที่แล้ว +4

    ili jambo liwe zuri kutaneni wote mashehe USO kwa USO kiufupi hujui kujielezea shekhe uongo dhambi

    • @khamisoothman5294
      @khamisoothman5294 5 ปีที่แล้ว

      Jadu Jadunga
      acha ujinga wewe unakosoa na huelewi acha ushabiki hewa

    • @machaliakulima76
      @machaliakulima76 5 ปีที่แล้ว

      KILEMILE UNAPINDAPIDA ULIMI KUHUSU DUNIA KUZUNGUKA WASIOJUA UNAWABURURA

    • @twaariqahmad7249
      @twaariqahmad7249 5 ปีที่แล้ว

      Huoni hata jina lake ni jadu
      Dini hyo ataijua wap
      Hawa ndo wa kusswali tu idi mpka idi

  • @muhsinsalum8009
    @muhsinsalum8009 2 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa kua: kumbe ARAFA haijulikani ni lini.
    Hivo twatakiwa kubahatisha.
    Hata ukiona mwezi muandamo wewe FUNGA tu kwa kububia maana kipimo cha mwezi muandamo hakifanyi kazi tena.
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 5 ปีที่แล้ว +2

    siku ni mojatu mtume s a w anasema ولاتقوم الساعة الا في يوم الجمعة hakitosimama qiyama ila siku ya ijumaa siku ya kiyama itakua mojatu dunia nzima

    • @mroojnr.2756
      @mroojnr.2756 4 ปีที่แล้ว

      Sheikh Mohamed Idd qiyama yake itakuwa Jumamosi na wapuuzi wenzake

    • @shuhaidaomar3347
      @shuhaidaomar3347 4 ปีที่แล้ว

      yashangaza sana mtu badala aingie na naswaha wezako wakuelewe wanza ate wapuzi wake

    • @aliyhassan9113
      @aliyhassan9113 4 ปีที่แล้ว

      @@mroojnr.2756 assalaam aleykum. Shekhe Maulidi usiseme wapunzi tambua Mashekhe wanatuhimiza adabu ya khitilafu kuwa kila mmoja aheshimu msimamo wa mwnzk sio kuitana wapuuzi hpo ni kwl tutakuwa tumeheshimu adabu khitilafu

    • @mroojnr.2756
      @mroojnr.2756 4 ปีที่แล้ว

      @@aliyhassan9113 walaykumu salaam sheikh Ally, kwanini yeye hakuheshimu msimamo wa mwenzake, kamkosea adabu mwenzake hivyo kuitwa mpuuzi kunamfaa haswa. Narudia tena Mohamed Idd hana adabu ya ikhitlafu. Masheikh wana ikhitilafiana maswala mengi ya kielimu lakini hawaambiani kauli kama alizompa mwenzake yeye. Bado mimi binafsi msimamo wangu naendelea kumpuuza tu.

    • @aliyhassan9113
      @aliyhassan9113 4 ปีที่แล้ว

      @@mroojnr.2756 Shekhe Maulidi unajua unapo amiliana na mtu alokukosea pngn kwa kukwita jina baya hupaswi na yy mmrejeshee kwa kumwita jina baya bali msifu kwa kumpa sifa nzr ht ktk dini tumeambiwa hlo

  • @allisekondo4951
    @allisekondo4951 5 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la mashekhewetu munayo yasema baada ya muda munayapinga wenyewe,Mara munatwambia ARAFA hainakhilafu Leo munatwambia ARAFA Inakhilafu,sasa tushike lipi?

    • @theworldandcraziestguys2729
      @theworldandcraziestguys2729 5 ปีที่แล้ว

      SOMENIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII HAMTOCHANGANYWA NA MTU YEYOTE....DINI YENU IWE NI KITU CHA KUKIPA KIPAUMBELE KULIKO MAMBO YOOTE MYAJUAYO NDUGU ZANGUNI بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا

    • @twaariqahmad7249
      @twaariqahmad7249 5 ปีที่แล้ว

      Haujaelewa ndugu
      N hv funga ya arafa haina khilaf ndugu
      Shida watu wanaipata pale kweny kisimamo cha arafa

    • @yahkiwera3611
      @yahkiwera3611 5 ปีที่แล้ว

      Usidanganye watu shekh kilemile muogope mungu kwahiyoshekh wako alikosea miakayotee? Taja vitabu kwahayo unayo yasema tajavitabu shekh

    • @yahkiwera3611
      @yahkiwera3611 5 ปีที่แล้ว

      Hebu msikilizeni shekh anavyo jichanganya Mara nimoja2 Mara kilam2 atafunga2 msikilize kwamakini Abu Maryam nasenkondo nawakubali

    • @theworldandcraziestguys2729
      @theworldandcraziestguys2729 5 ปีที่แล้ว

      @@yahkiwera3611 nyingi ndo wale SHEIKH akinywa pombe unaambiwa ni useme SHEIKH kanywa MAZIWA...Lakn akinywa asiekuwa SHEIKH basi yeye ndo kanywa pombe ambayo Kwa SHEIKH wako sio haram kwa mwingine ndio haram...إنا لله وإنا إليه راجعون

  • @mirajisalum7084
    @mirajisalum7084 5 ปีที่แล้ว +1

    Shekh huelewi hata unasema nn

    • @yassinmmbwera9273
      @yassinmmbwera9273 5 ปีที่แล้ว

      Hivi hawa Masheikh wetu kuna anayetoa Fatwa kwa Ufahamu wake. Jibu hapana.. fatwah zao wote ktk vitabu vitabu vitukufu Pamoja na vya Maimam wetu, Imam Shafii, Imam Malik na kadhalika hakuna anayejitungia.

  • @centralzonetvtanzania7313
    @centralzonetvtanzania7313 5 ปีที่แล้ว

    99999999999999999999999999999 ulazima wa kuipata 999999999999999999 ulazima wa kuipata 9999999999

  • @centralzonetvtanzania7313
    @centralzonetvtanzania7313 5 ปีที่แล้ว

    jamani 9 imetiliwa mkazo jamani 9999999999999999999999999999999999999999999999999999999999

    • @theworldandcraziestguys2729
      @theworldandcraziestguys2729 5 ปีที่แล้ว

      9 ya nini

    • @centralzonetvtanzania7313
      @centralzonetvtanzania7313 5 ปีที่แล้ว

      @@theworldandcraziestguys2729 Nimemnukuu sheikh wenu alivokua anaongea msikilize tena vzuri

    • @theworldandcraziestguys2729
      @theworldandcraziestguys2729 5 ปีที่แล้ว

      @@centralzonetvtanzania7313 ndo ameyataja hayo Matisa tisa kama ulivyoyaandika...???!!! Mche Mola wako

    • @centralzonetvtanzania7313
      @centralzonetvtanzania7313 5 ปีที่แล้ว

      @@theworldandcraziestguys2729 Lkn ktk mazungumzo yake na vitabu alivonukuu yaonyesha tar 9 imetiliwa mkazo sana vinginevyo nirudie tena kuitazama video hii biidhini llahi

    • @theworldandcraziestguys2729
      @theworldandcraziestguys2729 5 ปีที่แล้ว

      @@centralzonetvtanzania7313 itakuwa kheri...rejea clip zote inshaallah

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 5 ปีที่แล้ว

    Aisha malaki nyamaza huu siukumbi wataarabu wala rusharoho funga yoyote inaaza alfajiri na taizo lenu mnatumia akili za ki scullery siku inaanza baada jua kuzama na sio sa6

    • @hamynas
      @hamynas 5 ปีที่แล้ว

      sheikh kasema vizuri hapo kuwa ikiwa kama arafa haijaanza wewe umetanguliza subiri ianze itakufikia...ndiyo maana dada kauliza hapo jee wanaanza vipi kufunga siku hiyo ilihali umesema watafunga baada ya arafa?

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahah hahahahahaha shehe Mara Anasema Arafa ni moja Mara hatusemi ni mojaaaaaa yaani sheikh hatumpati kabisa

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 5 ปีที่แล้ว

      Anasema arafa si moja kwa maana watatofautiana masaa ya kufunga na wala sio siku

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 5 ปีที่แล้ว

      @@maulidmnukwa3171 na hakuna anayesema wanatofautiana siku, maana yeye mwenyewe kakariri hicho kitabu chake kinasema Arafa ni 9Dhulhijja, na kila mtu anafunga hiyo hiyo tarehe

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 5 ปีที่แล้ว

      @@abujamalaalghammawiy7470 al akhy umemuelewa uzuri kweli mzungumzaji na sehemu ya mwanzo ya msimamo wa mazungumzo yake ulieleweka kweli

    • @allymnzava3818
      @allymnzava3818 5 ปีที่แล้ว +2

      Ana maanisha muda ambao wanaanza kusimama Arafa sio kuwa nchi zote zitakuwa kwenye muda huo huo ila ile siku ya Arafa kila pembe ya duni itaidiriki. Haitapita siku ya Arafa bali kila nchi itaipata.

    • @abujamalaalghammawiy7470
      @abujamalaalghammawiy7470 5 ปีที่แล้ว

      @@allymnzava3818 ndiomaana Allah aliikilisha dini hii tangu zamani, na dini ni nyepesi wala sio nzito. Kadri mashaka yanavyozidi katika dini ndio watu watajitia taabuni bure.
      Sasa mtu hana TV, wala redio wala simu, kama ilivyokuwa zamani, sijui alifahamu vipi siku ya watu kusimama huko Arafa na yeye akafunga sunna

  • @almasymusa6736
    @almasymusa6736 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwani mufti na shekhe mkuu wa tanzania ni ktk makhawaarij mpaka nyinyi hamtaki kumfuata mwawafundisha nini waleoko nyuma yenu ktk kuwatwii viongozii.? Mfuate mufti asema nini tupate kufaulu mustuchanganye mufti atosha kutuongoza na jop lake

  • @salumrashidabdullashmely2558
    @salumrashidabdullashmely2558 5 ปีที่แล้ว +1

    Shida ya mashekhe wengi wa TZ mnashindwa kuvumilia njaa zenu, hivyo mnazungumza kuwafurahisha wanaowafadhili vijisent,

  • @7elwababe
    @7elwababe 5 ปีที่แล้ว

    Sasa ataipata vipi kama siku inaenda? Saudi siku I naenda na nchi nyingine pia siku inaenda. Hueleweki.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ndio huelewi, sisi tumemuelewa sana!!!

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 4 ปีที่แล้ว

      Check your brain

    • @akiikilongo5691
      @akiikilongo5691 4 ปีที่แล้ว

      Allah akupe upeo wa kuelewa mambo Inshaallah

  • @yassinmmbwera9273
    @yassinmmbwera9273 5 ปีที่แล้ว

    Hivi hawa Masheikh wetu kuna anayetoa Fatwa kwa Ufahamu wake. Jibu hapana.. fatwah zao wote ktk vitabu vitabu vitukufu Pamoja na vya Maimam wetu, Imam Shafii, Imam Malik na kadhalika hakuna anayejitungia.

  • @abdulgadiradnan5028
    @abdulgadiradnan5028 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa naona haelewi hata anacho kizungumza,.
    Kwanza kajichanganya kwa kusema:ARAFA NI SIKU NZIMA na huu ni upotoshaji.
    Kisha kajichanganya tena kwa kusema :
    Lakini ibada ya arafa inaanza baada ya zawaal.
    Sasa hapa ndio kajichanganya kwa kua kachanganyikiwa sasa ikiwa kisimamo ni kuanzia baada ya zawal kwa wale walio tangulia kwa masaa tisa kwa mfano jee wataanza kufunga usiku ndio waipate hiyo arafa !!???.
    Hahaha.
    Sheikh umekosa hoja mungu akurudishie akili yako

    • @abuuhamzafadhil5755
      @abuuhamzafadhil5755 5 ปีที่แล้ว

      Abdulgadir Adnan tuelimishe wewe

    • @jumanob1129
      @jumanob1129 5 ปีที่แล้ว

      Allah mjaalie huyo Shekh akajifunze, ili atuelimishe mambo yaliyo sawa,

    • @hadadsaid8246
      @hadadsaid8246 2 ปีที่แล้ว

      Hujui ni nani huyo na kiwango cha Elimu alichonacho

    • @hadadsaid8246
      @hadadsaid8246 2 ปีที่แล้ว

      Huyo sio sheikh wa copy and past ndugu yangu

    • @imamushafiiforgoodislamict5420
      @imamushafiiforgoodislamict5420 ปีที่แล้ว

      Mungu akusamehe unamradi mwanachuoni ambae hao unaowaona wewe wamesoma wanahiitaji elimu yake ili wasomeshwe, hivi unamjua huyo mwanachuoni au unaropoka t ndugu yangu, Huyo,habaatishi vitu vyake ujuwe.

  • @mroojnr.2756
    @mroojnr.2756 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh ana akili timamu sana, hii ndio hoja aliyosimamia nayo wala hatukani mtu lakini kuna sheikh mmoja mpumbavu sana hana elimu wala hana adabu anakashifu watu sana channel ten kana kwamba ana elimu sana kumbe hana lolote analinda maslahi ya tumbo lake tu. Yeye azungumze hoja zake asikashfu watu na watu watajibu hoja pila bila kukashifu halafu waumini sisi tutachambua hoja ipi ina nguvu kwa dalili za kisheria. Sio atulazimishe upumbavu wake.

    • @shosiabdalla6880
      @shosiabdalla6880 4 ปีที่แล้ว

      Sheikh ismail tumia lugha ya hikma acha matuzi hiyo si manhaj ya mtume s.a.w

  • @nawawisaalim7173
    @nawawisaalim7173 5 ปีที่แล้ว

    Mbona hueleweki unacho kuzungumza sasa

    • @allymnzava3818
      @allymnzava3818 5 ปีที่แล้ว

      Kama unasikiliza kishabiki huwezi kumuelewa

    • @junhanbabu1218
      @junhanbabu1218 5 ปีที่แล้ว +1

      Wewe fuata yuleunayemuelewa, Sawa ndugu

    • @yasiniselemani3917
      @yasiniselemani3917 4 ปีที่แล้ว

      dah huyu shekhe mm nilikua namkubali sana ila kwahili kajizunguka akumbuke hii ni dunia tu itaisha mbele nikugumu jaman