Chadema hatunaimani kumbe wenyewe, niliamini ccm ndo makonki wa rushwa ya uchaguzi na umafia wa kutangaza matokeo, tujisafishe ndo tuwageukie wapinzani wetu. ✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
trust me or not lkn ni ukweli usiopingika kua huyu LISU sio mzalendo na hayo yote anayoyasema hata kama ikitokea akapewa nchi kama rais,hawez kuyatekeleza.
Blaaablaaablaaaa!!!!! Maneno meeengiiii bomu moja tu la machozi likipigwa unakimbilia Belgium, acha kudanganya watu. Watu hawataki siasa bwana wanataka maendeleo katika maisha yao. Hizo siasa ni kwa matumbo yenu. And learn how to let things go, mate. We are in 2025, but you're still talking about things that happened in 2019. Move on & come with a new strategy to tackle the old ones, not repeating in 2025.
Tulia mzee,tutakutana 2025,we siunachulia mazoea,sisi hatuna hera ya kuwahonga maraya na kukesha baa Kila siku kama wewe,tutakutana, sisi ndiyo wengi we kulakula vya Bure,tutakutana kikinukishwa.
@jonaspatrick2871 Niambie unamaanisha nini ukisema bla bla bla! kwa haya yafuatayo; 1. Kuuwawa kwa Mzee Kibao ni bla blah? Au kwa sababu siyo baba/mjomba wako? 2. Sativa aliyeokotwa Mbuga ya Katavi ni bla blah? Au kwa sababu haikuwa wewe(maana ni kijana kama wewe)? 3. Deusdedith Soka,Dioniz Kipanya na wengine hawajaonekana mpaka leo? Je una taarifa zao mpaka useme bla blah? Ni vijana kama wewe,ungejisikiaje kama mama yako asingekuwa anajua wapi ulipo kwa kipindi chote hicho? 4. Watu wanataka maendele na siyo Siasa siyo? Ngoja tukusaidie mawazo kiba amwenzetu; Maendeleo yanatokana na fedha zinazokusanywa na TRA na kupelekwa Hazina na zile zinazoletwa kwa kukopa.Nani anayetoa bondi za kukopa kama si viongozi wa Siasa ambao ni wawakilishi wa Wa-Tz? Au tukupeleke wewe Benki ya Dunia ukawaambie kuwa wanapojenga miradi utaweka bondi kiti gani? Sasa unaposema wananchi wanataka maendeleo na siyo Siasa wakati viongozi wa ki-Siasa ndiyo wenye dhamana ya nchi unamaanisha nini? I hope nimekusaidia kuwaza! Mwisho wa siku kaka Jonas,tuanwezakuwa na itazamo tofauti ya ki-itikadi lakini mambo ya msingi kama uhai wa kila mmoja wetu lazima kuujali bila kuangalia mtu anatoka upande upi wa Siasa. Kama huwa unaenda Kanisani J-pili na mnapofanya maombi kwa Mungu huwa mnajiweka kwa misingi ya ki-Siasa? Pili chakula au mafuta vinapopanda bei,huwa kunajali mtu unatoka upande gani wa Kisiasa? Nikutakie tafakuri njema na Heri ya Mwaka Mpya 2025 kwako na familia!
Yaani nyie wapuuzi sana mkashauri ndoa za wenzenu wakati zenu zimewashinda nisawa na kupiba busu mzinga wa nyuki badilisheni katiba ya chama chenu kwanza😂😂😂😂
Wala usihofu baba tupo na wewe itaelewekavkama ni nyeusi au nyeupe tunakupendaa saana kwa matokeo yeyote situpo na wewe na hatima ya uanachama wetu ipo mikononi kwao ubaya ubwela vyovyote ilatunakuomba usiende ccm tu
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Binafisi nimesikiliza hotuba nikiwa kama raia anae msikiliza Rais wake ijapo kua huna hiyo nafasi lakin Moyo wang umeridhika Bravo💪💪
Risu،ninuru،inaangaza، mbaka،wabaya،wanachukia yesu akurinde tundurisu،emen
Lissu Mungu amlinde
Chadema hatunaimani kumbe wenyewe, niliamini ccm ndo makonki wa rushwa ya uchaguzi na umafia wa kutangaza matokeo, tujisafishe ndo tuwageukie wapinzani wetu. ✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
Lisu unatoa tamko kama nani bos wako Yuko kimya wew nyege Zina kupanda hiv unadhani chama tutmpatia mwehu kama ww
We mwana chama chiziii kama ww wap ccm
Mwijaku
Wenyewe kwa wenyewe vuru m ai kibao
Baya zaidi kudhalilishana kati ya viongozi.Aibu.Lissu ni mchafuaji wanchi na chama chake😢😢
Hapo kachafua nini?
Mchafuaji ni wewe chawa jike! Toa uchawa wako hapa mavi kichwani nini? Hapo kachafua nini!?
grace kagoma
grace kagoma chawa wa mbowe.
We mweuuu
Huyu jamaa anaakili nyingi sana bahati mbaya sana watu kama hawa ni ngumu kupata nafasi Africa ndo maana Africa imebaki kuwa maskini
trust me or not lkn ni ukweli usiopingika kua huyu LISU sio mzalendo na hayo yote anayoyasema hata kama ikitokea akapewa nchi kama rais,hawez kuyatekeleza.
Pendekeza wa kwako tuone achana na mawazo ya mtu @@robertyusuph5682
Blaaablaaablaaaa!!!!! Maneno meeengiiii bomu moja tu la machozi likipigwa unakimbilia Belgium, acha kudanganya watu. Watu hawataki siasa bwana wanataka maendeleo katika maisha yao. Hizo siasa ni kwa matumbo yenu.
And learn how to let things go, mate. We are in 2025, but you're still talking about things that happened in 2019. Move on & come with a new strategy to tackle the old ones, not repeating in 2025.
Tulia mzee,tutakutana 2025,we siunachulia mazoea,sisi hatuna hera ya kuwahonga maraya na kukesha baa Kila siku kama wewe,tutakutana, sisi ndiyo wengi we kulakula vya Bure,tutakutana kikinukishwa.
@jonaspatrick2871
Niambie unamaanisha nini ukisema bla bla bla! kwa haya yafuatayo;
1. Kuuwawa kwa Mzee Kibao ni bla blah? Au kwa sababu siyo baba/mjomba wako?
2. Sativa aliyeokotwa Mbuga ya Katavi ni bla blah? Au kwa sababu haikuwa wewe(maana ni kijana kama wewe)?
3. Deusdedith Soka,Dioniz Kipanya na wengine hawajaonekana mpaka leo? Je una taarifa zao mpaka useme bla blah? Ni vijana kama wewe,ungejisikiaje kama mama yako asingekuwa anajua wapi ulipo kwa kipindi chote hicho?
4. Watu wanataka maendele na siyo Siasa siyo? Ngoja tukusaidie mawazo kiba amwenzetu; Maendeleo yanatokana na fedha zinazokusanywa na TRA na kupelekwa Hazina na zile zinazoletwa kwa kukopa.Nani anayetoa bondi za kukopa kama si viongozi wa Siasa ambao ni wawakilishi wa Wa-Tz? Au tukupeleke wewe Benki ya Dunia ukawaambie kuwa wanapojenga miradi utaweka bondi kiti gani?
Sasa unaposema wananchi wanataka maendeleo na siyo Siasa wakati viongozi wa ki-Siasa ndiyo wenye dhamana ya nchi unamaanisha nini?
I hope nimekusaidia kuwaza!
Mwisho wa siku kaka Jonas,tuanwezakuwa na itazamo tofauti ya ki-itikadi lakini mambo ya msingi kama uhai wa kila mmoja wetu lazima kuujali bila kuangalia mtu anatoka upande upi wa Siasa.
Kama huwa unaenda Kanisani J-pili na mnapofanya maombi kwa Mungu huwa mnajiweka kwa misingi ya ki-Siasa?
Pili chakula au mafuta vinapopanda bei,huwa kunajali mtu unatoka upande gani wa Kisiasa?
Nikutakie tafakuri njema na Heri ya Mwaka Mpya 2025 kwako na familia!
Chadema inahitaji mtu msumbufu kama huyu ili kuikabili ccm
Yaani nyie wapuuzi sana mkashauri ndoa za wenzenu wakati zenu zimewashinda nisawa na kupiba busu mzinga wa nyuki badilisheni katiba ya chama chenu kwanza😂😂😂😂
Wenzao ni nani?
@Expedito2512 wanajuana wao hao wanasiasa uchwara
Sasa ndio ume ongea nn kwani katiba ya lisu au wana ichiii kweliii we chiziiii
Je tunaye rais au mfalme ambaye haguswi?
Chama chenu mmeshindwa kubadilisha katiba mtu anaongoza yeye tu alafu mnataka katiba ya nchi anzeni katiba yenu kwanza acha ujuwaji
Sahihi
Hivi kwa akili ya kawaida unaposema nyie unamaanisha nini? Kwamba hayo yanayoongelewa hayakuhusu?
Chuma
Tundu sio kosa lake arudi UBELJIJI Akachunguzwe Akili huenda ameathirika sana ubongo,HAFAI KABISA,Tumsamehe.
NI CHIZI
Pendekeza wa kwako akapangilie hizo hoja bila kuhusisha afya ya mhusika
Either tuletee mwanasias wako ambae kweny bom la machoz atabaki kuokota ganda😅
Wala usihofu baba tupo na wewe itaelewekavkama ni nyeusi au nyeupe tunakupendaa saana kwa matokeo yeyote situpo na wewe na hatima ya uanachama wetu ipo mikononi kwao ubaya ubwela vyovyote ilatunakuomba usiende ccm tu
Binafsi sina imani na Chadema tena, Mbowe kanifanya niitoe chadema moyoni mwangu.
usiangalie chama angalia mtu
Lisu sio mbowe
Ww mwandishi unaongea sana
Safi sana
Shetani،apendagi ukweri jitasmini upo upandegani