LISSU KUMBE ALIKUWA CCM! KAKA YAKE AFICHUA - AWASHANGAA WANAOSEMA ATAHAMA -"KWA NINI ASIAHAME MBOWE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 วันที่ผ่านมา

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 วันที่ผ่านมา +5

    Tundi Lissu atarudi huko huko alipo toka CCM kabla hajawa mwana NCCR na chama cha Mrema leo hii Chadema Tundu Lisu ni malaya wa siasa..anapenda ukuu

    • @dancanmwamafupa6806
      @dancanmwamafupa6806 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwan ww hujui kuwa mbowe alikuwa ccm pia aisee uakuwa kama senge

    • @peterjohnson167
      @peterjohnson167 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@dancanmwamafupa6806 Wote wametoka CCM sawa ila Tundu Lissu amesha hama vyama vingapi tangu atoke CCM? Hiyo sababu niseme atarudi CCM ao ataanzisha chama chake...

  • @toongames7678
    @toongames7678 วันที่ผ่านมา +2

    ccm wana injoy tu

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 วันที่ผ่านมา +3

    Viongozi wote wa Chadema walilelewa CCM, hivi kwa nini mnashangaa! Ni njaa ndiyo iliyowatoa CCM.

  • @JacksonKivuyo-b1v
    @JacksonKivuyo-b1v วันที่ผ่านมา

    Lissu kabisa ahsee wamefanana balaa dah safi sana🫡

  • @yohanajoseph-w2u
    @yohanajoseph-w2u วันที่ผ่านมา

    Kwa sababu ana histori ya kuhama vyama, atachagua chama kinacho shine ataingia, ataomba ubosi

  • @AmosJohhn-f1l
    @AmosJohhn-f1l วันที่ผ่านมา

    Mwandishi maswali mengine unatakiwa kumuuliza muhusika

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 วันที่ผ่านมา

    Karibu wananchi wote walikuwa ccm sio kwa hiari Bali kwa kulazimika. Mbona Watz mnasahau historia ya nchi hii mapema?

  • @MaximeMasinga
    @MaximeMasinga วันที่ผ่านมา

    mmmh yaaan km lissu kbsa

  • @T_Darius
    @T_Darius วันที่ผ่านมา +1

    Ukimskiliza kwa ndani anaongea kama Lissu

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 ngoma ikivuma sana.......!!? tamaaa kubwa fikila kidogo.atafisi alitamani awe Simba ale nyama fresh simba akamwambia acha kucheka sans Simba mwenda kimya ndiyo mlanyama aende akalime Time it is to let

  • @mairamtiti4517
    @mairamtiti4517 2 วันที่ผ่านมา +1

    😅.

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 2 วันที่ผ่านมา

    Maswali ya uchokonozi 😂

  • @mairamtiti4517
    @mairamtiti4517 2 วันที่ผ่านมา

    😅