Mazito Yaliyowapata Walioigiza Filamu Ya BUSH MAN (Gods Must Be Crazy), INASIKITISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 78

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f หลายเดือนก่อน +19

    Movie ya kwanza kuitazama hapa duniani ilikuwa hii ya gods must be crazy!! Hahahahahahahahaa ilikuwa mwaka 2002 nikiwa darasa la kwanza!! Aise kweli ilikuwa bonge la movie. Hadi nije niione kwenye CD, ni mwaka 2019. Sikuamini kama ningeweza kuiona tena hiyo movie. Ni tamu balaa!! Inachekesha hatari.. ahsante sana!! Bongo fasta.

  • @Adidja-bi9ph
    @Adidja-bi9ph หลายเดือนก่อน +7

    Nikweli kabisa uyu baba nimunabia maana anafanana sana na wadamara maana wa damara ni wa namibia

  • @hoseakilotwa-w6s
    @hoseakilotwa-w6s 19 วันที่ผ่านมา +2

    ubarikiwe sana kaka

  • @FaridaOmary-kd4pi
    @FaridaOmary-kd4pi หลายเดือนก่อน +4

    Sishangai. Wazungu wadhulumishi sana

  • @user-gb8gs6bd4j
    @user-gb8gs6bd4j หลายเดือนก่อน +2

    Imeniumiza sana aiseeeh.

  • @edwardmwankemwa3877
    @edwardmwankemwa3877 26 วันที่ผ่านมา +1

    Nashukuru sana niliipenda sana

  • @maicktabaran5151
    @maicktabaran5151 หลายเดือนก่อน +1

    Good story!! Ni movie nzuri sana!!!

  • @haroungwiyamabuzohera-jk3vl
    @haroungwiyamabuzohera-jk3vl 17 วันที่ผ่านมา

    A must own film. Let the authority PAY him and others who participate in the episodes.

  • @complex7582
    @complex7582 หลายเดือนก่อน +8

    Sasa hao watu wa kuwalipa hizo fedha wapo kweli

    • @JovinJosephat
      @JovinJosephat 25 วันที่ผ่านมา +1

      Kampuni iliyoratibu filamu hiyo naamini ipo

  • @omarmaisari7285
    @omarmaisari7285 หลายเดือนก่อน +11

    mimi nilipoitazama ile movie nilidhani ni mtoto wa kiume kumbe mwanamke

  • @user-st6xs7jp7k
    @user-st6xs7jp7k 11 วันที่ผ่านมา

    Inauma sans

  • @peteryohanne1268
    @peteryohanne1268 หลายเดือนก่อน +2

    Bongo fastaaaa 👊👊💪💪💪

  • @user-pm3mw8rm6j
    @user-pm3mw8rm6j หลายเดือนก่อน +2

    Twende kazii

  • @lucasathanas9554
    @lucasathanas9554 หลายเดือนก่อน +5

    ma GENZ hamuelew

  • @chibo666
    @chibo666 หลายเดือนก่อน +4

    Sema nimesikitika baada ya kuskia historia ya Main character 😢 imeniumiza sana kwakweli

  • @DominiqueBymungu
    @DominiqueBymungu 22 วันที่ผ่านมา +2

    Nili zaliwa iyo movie imisha fika tena imisha fanya mwaka na mpaka sasa niko na myaka 21 mimi nili pwnda sana

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman หลายเดือนก่อน +1

    Jaman

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน +2

    Ni yeye kweli aisee

  • @LigiYetu
    @LigiYetu หลายเดือนก่อน

    Amazing

  • @lukasrogath3071
    @lukasrogath3071 หลายเดือนก่อน +3

    Watoto wa 2000 awaelewi kitu apa😂

  • @salummmondo7598
    @salummmondo7598 หลายเดือนก่อน +2

    Aya niliyajua tu

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 หลายเดือนก่อน +3

    Hi Move Niko Nayo Na Ndio Nikiwaga Na Hamu Ya Muvi Hi Ndio Move Ya Kwanza Kuifikiria Nzuri Sana Sijui Kwa nini Imekua Ivo Kutokupewa Haki Yake

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri kaka🙌
    Tuletee kujua wapi! walioigiza film ya SETOFF ya wale wadada akiwemo queen latifa!

  • @user-fk7yx9cw3e
    @user-fk7yx9cw3e 17 วันที่ผ่านมา

    Kilicho wa ponza ao ni WA Africa. Wangekuwa ni wazungu wangenufaika.

  • @rayjohnerasto6198
    @rayjohnerasto6198 2 วันที่ผ่านมา

    Dah, filamu ya kwanza niliiona mwaka 1994. Kipindi hicho watoto wa kota ni wa kishua hatari😅😅😅

  • @lusekelowilliam2068
    @lusekelowilliam2068 หลายเดือนก่อน +2

    Alikuwa yule mtoto mdogo

  • @MysKhan-o1o
    @MysKhan-o1o 23 วันที่ผ่านมา

    Dah inasikitisha sana😢😢

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l หลายเดือนก่อน +2

    Ila sura haijapotea kabisa

    • @JacklineBedatus
      @JacklineBedatus หลายเดือนก่อน

      Kwel umeon km mim sura yak saw saw

  • @StelladicksonShilla
    @StelladicksonShilla 26 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 หลายเดือนก่อน

    Dah kumbe na wazungu ni wadhurumaji

  • @CristinahKimaro
    @CristinahKimaro หลายเดือนก่อน +2

    yani huwezi amin mm ndo nimeiona mwaka huu😢 na nimeiona ile ya kwanza,,,,iyo ya 2 hata ciijui kwa kweli😮.

    • @user-qo5vg8if8c
      @user-qo5vg8if8c หลายเดือนก่อน +1

      😆😆😆ulichelewa sana

    • @peninaamour2802
      @peninaamour2802 หลายเดือนก่อน

      yani iyo nmb 2 ndo utacheka balaa hebu itafute😅😅

  • @cristovaotomas6
    @cristovaotomas6 หลายเดือนก่อน

    Ilitisha sana😂😂😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    👊👍✌️.

  • @mickyplanmaker9053
    @mickyplanmaker9053 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh หลายเดือนก่อน

    Do nikitambo maskini walipwe na wenye kuwalipa wapo hai kweli

  • @wesleydizaster9866
    @wesleydizaster9866 11 วันที่ผ่านมา

    Miguu yako

  • @LuciahWangui-qp6no
    @LuciahWangui-qp6no 21 วันที่ผ่านมา

    The video is good problem is the instrument too lound

  • @isayarevelian9698
    @isayarevelian9698 21 วันที่ผ่านมา

    Jamani mtafuteni history ya kijana na yule kijana aliye mbeba mwanamke wakakutana na tembo

  • @malkiawafizi2394
    @malkiawafizi2394 หลายเดือนก่อน +2

    Niliitizama mara yakwanza 2000😂😂😂😂

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 29 วันที่ผ่านมา

      MimiMarayakwanza11996nikiwaNaumriwa15

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman หลายเดือนก่อน

    Walitumia ubunifu mkubwa sana kwenye ile muv

  • @KhalfanHaji-ec4lo
    @KhalfanHaji-ec4lo หลายเดือนก่อน

    Huwa sichoki kuitizama hii filamu

  • @KELVINHENRY-j1k
    @KELVINHENRY-j1k หลายเดือนก่อน +1

    Nilitazama 2005

  • @dannymkenga606
    @dannymkenga606 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu bushman ndio baba yake alikiba???

    • @Latifa-m4u
      @Latifa-m4u หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂itakuwa ni baba yake huoni wanafanana

    • @bettykarume5619
      @bettykarume5619 22 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅😅

    • @shtatsalfa5026
      @shtatsalfa5026 22 วันที่ผ่านมา

      😂😂 Mungu anakuona

    • @raydenmassawe976
      @raydenmassawe976 16 วันที่ผ่านมา

      Ndio

    • @user-xz5qf6oi8d
      @user-xz5qf6oi8d 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂hat me zamani nilijuaga ndio hvohvo

  • @MwangiShee-hv6ps
    @MwangiShee-hv6ps 18 วันที่ผ่านมา

    Salasya,s father😂😅😅😅😅

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 หลายเดือนก่อน

    Niliitatham 2010 😅😅😅

  • @sharifabakari8992
    @sharifabakari8992 20 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @Dovimego
    @Dovimego 22 วันที่ผ่านมา

    Inauma sana kazibila malipo 😢

  • @RayMakini
    @RayMakini หลายเดือนก่อน

    Mwaka 2009 nilikuwa darasaa LA 6

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 หลายเดือนก่อน

    SASA YULE MWANAMKE KALIPWA PESA ZAKE MPAKA SASA?????

  • @Yoash-w7x
    @Yoash-w7x หลายเดือนก่อน +4

    Like zangu apa wa pili kucomment😂

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk หลายเดือนก่อน

    Hiyo movie walikuwa wanavaaa bikini

    • @fahmafahmavas
      @fahmafahmavas หลายเดือนก่อน

      Hahahahahahahahahahahahahahhahahahahahhahaahaahahaaahahahaaaaahhahhahahahahahahahahahahahaahahahhahhahahahaah

    • @fahmafahmavas
      @fahmafahmavas หลายเดือนก่อน

      Bikini zimeazia Africa bhana wazungu wametuigaa

  • @mustafaSimulizi
    @mustafaSimulizi 29 วันที่ผ่านมา

    Walinzi wa kanisa wanaua!!!!