Karibu Ramadhan 2023 na Ukht Fatma Mdidi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @ayshah-qc9zt
    @ayshah-qc9zt ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ukhty fatma shukran kwa sanaa

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +4

    😊Mashallah tabaraka llah Welcome 😊 Ramadan ❤❤❤❤❤❤😊

  • @salhidasuleiman6202
    @salhidasuleiman6202 ปีที่แล้ว

    Mashaallah, asante kwa nasaha ukhty Fatma, Allah atakulipa malipo mema inshaallah❤

  • @kombogambare3574
    @kombogambare3574 ปีที่แล้ว

    Assalam Alykm Warhmatullah Wabarakatuh, Shukran sana kwa Nasaha zako,Nafuatilia nikiwa DUBAI(EMIRATES)

  • @adidjandayisenga8320
    @adidjandayisenga8320 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ❤😊

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 ปีที่แล้ว

    Mashaallah karibu Ramadan Allah akuhifdhi kipenzi changu

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 ปีที่แล้ว +1

    Masha ALLAH. Shukran ukthy ALLAH ukulipe kheir duniani na akhera🤲🤲.Nakpenda kwa ajili ya ALLAH ❤

  • @noornoor-pr6nf
    @noornoor-pr6nf ปีที่แล้ว

    Shukran habibty ukhtil-kareem darsa zuri Allah atukubalie amali zetu Inshallah.

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah baarakallah dadangu shukran mungu akujaze kheri nakupenda kwa ajili ya allah

  • @mwanakombonkullo9280
    @mwanakombonkullo9280 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Ukth Fatma nakupendaaa sana kwa ajili ya Allah

  • @daiyaidango5479
    @daiyaidango5479 ปีที่แล้ว

    Mashallah mawaidha mazuri . Ameen Kwa yote

  • @mariamsolomon6821
    @mariamsolomon6821 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mwenyenzi mungu akujalie afya njema dada uendelee kutufundisha napenda sana ulivyo jaaliwa na Allah

  • @glorienyaulingo5897
    @glorienyaulingo5897 ปีที่แล้ว

    Masha Allah..mwenyezi mungu akuweke uendelee kutufundisha

  • @beshuufaki4229
    @beshuufaki4229 ปีที่แล้ว

    Ahsante Alla akupe kila la kheri

  • @zenabali568
    @zenabali568 ปีที่แล้ว

    mashaallah,shukran dada kwa ukumbusho,jaza yako kwa allah.

  • @aishaabdullah837
    @aishaabdullah837 ปีที่แล้ว

    Mashallah ongera sana Dada yangu kwa mawaidha mazuli Alha akuongoze kwenye njia iliyo na heri

  • @january4793
    @january4793 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @a.856
    @a.856 ปีที่แล้ว

    Jazakallah khayran

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah, Barakallahou fik

  • @sakinamursal3572
    @sakinamursal3572 ปีที่แล้ว

    Shukran Ukhti. Mashallah

  • @AbdallahAbdalla-zq4iy
    @AbdallahAbdalla-zq4iy ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akuhifadh

  • @rukiantumiligwa8490
    @rukiantumiligwa8490 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ukhti Kwa ukumbusho

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 ปีที่แล้ว

    mwanamke gani wakiswahaba akipaza sauti yake na kuonesha sura zake.hizi darsa zako fitna.masheikh wamejaa hewani.nakama wafanya kwa ajili ya Allah .usingejipiga video.uzinifu uko njia nyingi,nahii ya sauti nimoja wapo.muogope Allah

    • @lonakirao5275
      @lonakirao5275 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi Mungu ndo mwenye kuhukumu so Wacha wana faidika nayo wafaidike ww usiangalie video zake,maan cheo cha Allah nikama una kichukua ww.shukran.