GOD S Children Inc is bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏
Nyimbo nzuri lakini angalia vijana wanavyoharibu heshma wewe mbele ya baba Yako unacheza namna hio SI mnaongea na mungu mnampa shukrani Sasa kukatika kumetoka wapi tema SI Kwa heshma kanisa la shetani
Nyimbo zenu ni bure tu kwani ni machukizo kwa Mungu ukisoma bibilia kwenye kitabu cha Amos 5:23 " Niondeleeni kelele nyimbo zenu; kwa maana sitaki kusikia sauti za vinanda vyenu" sasa hiyo nyimbo mnamwimbia nani?
@@ngarukiyeemmanuel4645 Mungu akubariki sana Ngurukiye E. Endelea kusikiliza nyimbo zetu na uwashirikishe na wengine waweze kupata baraka za Mungu kwa jus kiliza nyimbo zetu... 🙌🙌🙌
Hongereni ndugu zetu kazi nzuri sana
Ameeen utukufu kwa YESU wateule wa Mungu hongera wimbo huu umenibariki sana mbarikiwe sana ❤
Amen MaureenMalusha..Mungu aendelee kukubariki sana..karibu sana Muungano choir.
Nawapenda mbarikiwe xana
Ahsante sana....karibu muungano choir@Igoma -mwanza.
Hongeleni watumishi kwa ujumbe mzuri lakini jitahidin Stepu zenu msiige za kidunia Yani tujitahid just tofaut na mungu awabarik sana
The expectant lady, God bless you
Kazi safi sana hivi karibuni tutawakaribisha nairobi barikiwa sana
Amen ,karibu sana richardnyaoma Muungano choir.
Mbarikiwe sana
Kwanza yule mdada anayesolo part ya mwisho...ananibamba sana
Marko 11:24
I like the song. Keep it up
Hongera nawakubari sana
Amen
Nyimbo hii nahisi nabarikiwa sana....mimi naitwa shimron kutoka kenya...natamani sana kugmhushuria ibada zenu sana
Hongereni kazi safi sana ndugu zetu
Amen.karibu sana Muungano choir.
Nimependa .mko vzl
Mungu azidi kuwabaliki
Amen.karibu sana.
What a wonderful song! God bless Muungano Choir AICT Igoma Mwanza abundantly!
Mbarikiwe zaidi amen 🙏
Kz
Nzur
Mungu
Awtie
Ngiv
Amee
Hallelujah may Almighty God Bless you mightily
Wow! Good work
Awesome 💯
Kazi nzuri Sana mungu awabariki
Kazi!!!nzur
Amina
I can't stop listening to such a beautiful songs
Wimbo bora kabisa kwangu namuona masasi na shida ni moja ya wimbo ambao unanibariki sana
Amen Mtumishi.karibu sana Muungano choir @Aict Igoma igoma.
kazi nzuriiiii
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Anapenda Sana huyo wimbo❤
Amen.
Wimbo unaujumbe mnzuri sanaa nikikumbuka Mapito yangu YESU acha nimsifu tyuu kwa kweli
Ongereni mnaimba vizur sana
Hongereni watu wa.Mungu""
Amen.karibu sana mtumishi.
Naomba kila mmoja atoe ushuhuda wa wawokovu wake sio mnakata mauno ti
Nawambarikiwe wanao sifu jina lake ameni
Wapendwa mungu awatangulie mnaimba vizuri mnoooooo❤❤❤
Amen.karibu sana.
@@muunganochoiraictigomamwan2094🎉❤❤
Amen mtushi.karibu sana.
Continue with that spiritual
sina bwana saf sana pauro enok hao saf
Naipenda sana hii song🙏 mungu awalinde
Hogereni mko vzur
Kazi safiii mungu hawabariki
🎉🎉🎉🎉
Amina chezeeni kwa kumtukuza Bwana
I like it
eyo neno niukweli waaa good job even I feel like I'm near by God
Saf sana nimebalikiwa sana na wimbo wenu
MUNGU AWABARIKI
A blessing song. 🙏
Wonderful blessed songs
Kwaya zote za AIC wanakwaya wazuri,
BEFORE I sleep I HAVE TO LISTEN to these hymns inspired by GOD
Naitwa imani Jackson lugisho kazinzur
Only singing shall remain forever even after rapture.
I love it so much touching ❤️ song
Kazi nzuri sana
This is wonderful
GOD S Children Inc is bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏🙏🙏🙏🙏 bless to everyone and God 🙏
Still 🔥 🔥 awesome song
🎉
This is my favorite song
Pongezi kwa wimbo poa
M renmen chan an anpil. Nou chante byen .Bondie beni nou.menm le m pa tande anyen nan sa kap dia.men m realize ke se yon bel chan.
Mungu awabak mzidi kuitenda kaz ya bwana
Mungu awabariki Sanaa kwa kazi nzurii Yani huu wimbo sichoki kuuaikiliza una ujumbe mzuriii
Kazi mzuri sana
😅😅😅❤
Mungu awainue zaidi watumishiii
Lov you guys
Amen.Barikiwa Sana wapendwa.
Amen 🙏. Ubarikiwe pia kwa kufuatilia nyimbo zetu.
Amen happy you 🙏🙏🙏🙏🙏
Wimbo yangu kila siku
Mubarikiwe sanaaaa ❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏
Love your songs, they are a blessing.
Nothing to pay God, just give Him our hearts to control... what a lovely song 💞💞💞.....God bless you all.
Amen.
Wimbo huu unabariki sana.💗💗💗
Mungu awe nasi sote
Reuben karantei1.Kenya-Lamu.kazi safi.nawapenda sana.kazi ya Mungu tidings mbele
Nice 👍.Glory be to God 🙏 Mr Reuben.wellcome Muungano choir Aict Igoma-Mwanza.
Mwiambo wa maana sana
May God bless this choir, mko na nyimbo tamu sana
Amen. Please,you may share with your friends these songs but also don't forget to subscribe.
I must share
I love the choir uko na mafunzo .
Very touching song, may God bless this choir.
Wimbo wenye ujumbe wa nguvu
Amin
Kazi Nzuri, Mungu awabariki
Amen MUNGU awabariki sana kwa kz nzr
Amina kubwa
Just awesome! Praise be to God for your angelic singing.
Sauti zimedamshi dada muanzishaji wa kwanza huyo amenikosha kweli kweli ujumbe murua kwa sauti nyororo nyumba na gari vyote ni vyake bwana
Amen
Safiiii yaaan kiwango
I can see my girl there
Nyimbo nzuri lakini angalia vijana wanavyoharibu heshma wewe mbele ya baba Yako unacheza namna hio SI mnaongea na mungu mnampa shukrani Sasa kukatika kumetoka wapi tema SI Kwa heshma kanisa la shetani
Good work
LInda musica.
Nyimbo zenu ni bure tu kwani ni machukizo kwa Mungu ukisoma bibilia kwenye kitabu cha Amos 5:23 " Niondeleeni kelele nyimbo zenu; kwa maana sitaki kusikia sauti za vinanda vyenu" sasa hiyo nyimbo mnamwimbia nani?
Good job
Ameen Mungu awabariki
Kazi nzuri hongereni sana
Wow ata Kenya twasikiza
Mungu awabariki sana wakenya kwa kusikiliza nyimbo zetu.Let you share with friends and subscribe.
Ata na mimi nipo Norway.Napenda ihi wimbo. Nikulipe nini Bwana kwamatendo uliyo nitendeya. Nakupa Bwana (Roho yangu utawale) AMEN 🙏
@@ngarukiyeemmanuel4645 Mungu akubariki sana Ngurukiye E. Endelea kusikiliza nyimbo zetu na uwashirikishe na wengine waweze kupata baraka za Mungu kwa jus kiliza nyimbo zetu... 🙌🙌🙌
@@muunganochoiraictigomamwan2094 Mungu abariki.hata tanzaniya nzima.
Nice song
Nimeupenda sana huu wimbo
Solo bd sana aiseee
Congratulations 👏
safi sana
Blessed with this....big up
Kisma majabaa
Budagala mwanamaluja
Donlodn
Am Jesee from Nairobi Kenya, how can I get the album? please help
Which album do you need Jesee,Be cause
We have these album (1.)Mawazomabaya .(2.)Majukumu (3)Mukono wa Bwana.
?
🔥🔥🔥🔥
Mj