Taifa Letu (Official Video) - Joshua Mlelwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nasemaga Miongoni mwa watumishi wakuu wa Mungu hapa Africa na Duniani Jushua Mlelwa yumo mpaka muonekano wake unaonesha ana Yesu Kristo.

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      HALELUYA.!
      Uzidi kubarikiwa.!

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu yangu I'm speechless naomba kama inawezekana uurekodi huu wimbo uwe none stop hata dakika 30 kiukweli sitochoka kuutazama and kuusikiliza, MyAlmaght GOD continue to bless and protect you Brother Joshua

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Amen Amen.
      Ahsante sana ndugu.
      Ubarikiwe sana.!

  • @fredywilly6615
    @fredywilly6615 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana mtumishi mm ni shabiki yako toka nikiwa mdogo nakumbuka nikiwa mdogo mlikua mkija kijinjini kwetu moshi nilikua nawah kanisani nakua wakwanza nikawahi kukaa sitii ya mbele nakupenda sana

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana rafiki.
      Uzidi kubarikiwa.

  • @jackyluns9413
    @jackyluns9413 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli mtumishi mlelwa nimekuelewa sana kupitia hii KUELEKEA YERIKO Nashukuru sana ubarikiwe zaidi na zaidi

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Ooh,,
      Ahsante sana.
      Ubarikiwe zaidi.
      Karibu tena Alhamisi ijayo.

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 ปีที่แล้ว +1

    Mlianza vizuri jitahidini mmalize vizuri tupo nyakati mbaya na shetani yupo speed vibaya sana kuhakikisha mwisho wa mwanadamu ni mbaya hakuna mwanamke mtakatifu anaweza ingia mbinguni na suruali lkn km watumwa wa Bwana pikicha mwili kabisa maana hatutakiwi kuifanya kazi ya Bwana kwa ulegevu ila hao vijana ni km wanacheza kidunia zaidi pole km nimewakwaza na mbarikiwe sana

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Huo siyo wimbo wa Injili rafiki.
      Huo ni wimbo wa TAIFA TANZANIA.
      Bila shaka haujasikiliza vizuri...

  • @goodluckmlaki5595
    @goodluckmlaki5595 ปีที่แล้ว +1

    Amazing song Brother Joshua .it's our beloved Country.naumepiga ile Tai ya Mwigulu Nchemba hahahaha.Hongera Sana kazi nzuri Sana

  • @andrewkazungu6542
    @andrewkazungu6542 ปีที่แล้ว +2

    Nzr hyooo🇹🇿🎧🎤

  • @jamesmsuvahsafisana3212
    @jamesmsuvahsafisana3212 ปีที่แล้ว +1

    Bro we ni mnyalu nimeona maneno ya kimombo hapa.
    Uirudishe upendo group Kama mpo wote au new upendo group tumekumiss Brother Mambo sawa sawa

  • @eliamanigolitagolitamsengi9348
    @eliamanigolitagolitamsengi9348 ปีที่แล้ว +1

    Taifa Letu Tanzania Yetu.
    Zidi Kubarikiwa.

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 ปีที่แล้ว +1

    Mjanja wewe haleeeeeeee e haleluyaaa aa oh haleluyaa aa vya zing

  • @philimonsinkamba6072
    @philimonsinkamba6072 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sana bro wangu kazi nzuri sana

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Watumishi, Wimbo mzuri wa uzalendo wa nchi! Vizuri kusifia mahali tulipowekwa na Mungu!!

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Amen Amen.
      Ubarikiwe zaidi.

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 ปีที่แล้ว +2

    Wataelewa tu Joshua Mlelwa ni nani, mi nilishamuelewa Siku nyingi sana. Bro is very talented

  • @dicksonjustine2557
    @dicksonjustine2557 ปีที่แล้ว +1

    Hakika unajua mpaka unakera👏👏

  • @braymusictz5221
    @braymusictz5221 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzur sana hongera 🔥🔥🔥

  • @sarahajando7441
    @sarahajando7441 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo nzuri sana 🔥🔥

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana kaka mkubwa 🔥

  • @collethamihanjo2888
    @collethamihanjo2888 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana

  • @yoramchapaulinge5222
    @yoramchapaulinge5222 ปีที่แล้ว +1

    Big up!

  • @deborakamsi
    @deborakamsi ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe baba mtumishi

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana brother Joshua nakuelewa sana

  • @albertratera9096
    @albertratera9096 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri kaka...barikiwa

  • @rehemasam6946
    @rehemasam6946 ปีที่แล้ว +1

    Upigwe kwenye royal tour
    Isaya 18

  • @greysonkisinda7390
    @greysonkisinda7390 ปีที่แล้ว +2

    Umetisha sana kaka ,very tactical song siyo kila tunakopita tusikie nyimbo za mapenz ,keep it bro,naona umepiga mpk kinyalu,mnyalu niko pale nakusikiliza😁

  • @gadielshedaffa3333
    @gadielshedaffa3333 ปีที่แล้ว +1

    Mzee Joshua pamoja na Lilian uko vizuri! Isipokuwa tu guitar rhythm lilikuwa off tune kidogo[Producer!!!!

  • @tumaininzunda7206
    @tumaininzunda7206 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @barakakings
    @barakakings ปีที่แล้ว +1

    Hongera Bro,nime uelewa huu wimbo wetu wa Taifa

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Ahsante sana kaka..
      🙏🙏🙏

  • @barakawatu9226
    @barakawatu9226 ปีที่แล้ว +1

    Blessing brother Joshua Mlelwa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯🙏🙏

  • @simas.a1003
    @simas.a1003 ปีที่แล้ว +1

    Safisana anko 🙌🙌🙌, such a good song👏👏👏👏

  • @emerederibrahimu3316
    @emerederibrahimu3316 ปีที่แล้ว +1

    Bariki wa sana 🙏 🙏🙏🙏🙏

  • @selinawangio8568
    @selinawangio8568 ปีที่แล้ว +1

    Wow awesome I love this

  • @ayoubdallu4476
    @ayoubdallu4476 ปีที่แล้ว +1

    Kaka nakubari