Masha Allah watanzania wanajua lugha ya Kiswahili, ona vile anavyopita sheikh Shafii hadi raha, tunafurahi unavyomfundisha mtoto mdogo aitwae Ndacha, Mungu akuzidishie ilimu yenye kheir ili uwasomeshe mapastor fake kama Ndacha.
Ila shafii Allah akupe umri umeongea kwa utaratibu nikatamani dadangu apate hii clip juzi tulipingana hadi nikamkatia simu ndacha Anafaa kujua Mungu ni Mungu na hana mwana hana mke ajazaa waislamu ALLAHU Akbari.❤❤🎉
Wallaah shafii Allaah akupe umri mrefu kwaajili ya umma wakiislam na hawa wasokua waislam uelewa wako niwa kiwango cha juu sana na shida ya hawa ndgu zetu uelewa wao niwa chekechea. Na inshallaah Mungu ndo anatoa hidaya atamuongoa amtakaye ila ujumbe unafika
Mashallah.. Allah anauthibitisha Uislam kuwa ndio dini ya Haqq na yeye pekee ndiye anaepasa Kuombwa na Kuabudiwa...Lakini bado Makafiri wataendelea kupinga na kusema kuwa Yesu ni Mungu sijui nani aliyewaroga hawa watu..
Huyu ndyo anafaa kuitwa Doktori tena anatakiwa apewe tuzo ya Nobel ya lugha ya kiswahili ooh no serikali inabidi imtumie kama mwalimu kuwafundisha wazungu kiswahili 🇹🇿
Ni seme tu kiukweli umeelezea vizuri sana tena bila kutumia Quran Naamini wenye akili wataelewa tu mdogomdogo. Allah akulinde nakuombea sh. wangu usijepatwa na mitihani ya sifa kama Sule mpaka akapitukia
Asalam alaykum Mimi naona madam imekwisha tunamuombea Pasta Ndacha aukubali ukweli huu. Ukweli Ndacha ni Mwalimu ila hii mada imekuwa nyeti imemlemea ukweli lazima usemwe.
Sikiliza kwa makini mafundisho usije ukawa na lakujibu baada ya kufa na sio ushabiki yesu ni mtume wa wana wa Israel alie mtukufu na kama muislam sisi tunamuamini ni mtume wa Allah na ni mtakatifu kaka chalse uislam ni dini ilionyooka ya ukweli fikiria tena kwa makini usipoteee
Sheikh shafii ni kopi ya kazinge au zaidi ya mazinge mashallah
Shehe shafi😂😂😂 asante kwamana ndaca nimjuwaji. Alhamdulila alanemal islam❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Maziwa bila maji safi shekhe wetu hao ni sikio la kufa
Mashallah sheikh shafi ndacha hatokutafta tena mana umemfundisha
Masha Allah watanzania wanajua lugha ya Kiswahili, ona vile anavyopita sheikh Shafii hadi raha, tunafurahi unavyomfundisha mtoto mdogo aitwae Ndacha, Mungu akuzidishie ilimu yenye kheir ili uwasomeshe mapastor fake kama Ndacha.
Jamaa anajua na hodari Mashallah
Sheikh shafi ww ni mwalimu wa walimu mungu akulipe kila la kheir
Maashallah! Ustazi shafi kwa kweli yupo vizuri sana. Allah akuzidishie kheri. Aaamin
Maasha Allah ...Vipenz vyetu waliuwakilisha uislam ipasavyo.ALLAH azidi kufunua vifua vyenu kwa siku ya leo na ya mwisho
Ila shafii Allah akupe umri umeongea kwa utaratibu nikatamani dadangu apate hii clip juzi tulipingana hadi nikamkatia simu ndacha Anafaa kujua Mungu ni Mungu na hana mwana hana mke ajazaa waislamu ALLAHU Akbari.❤❤🎉
Mwenyezi mungu azidi kukupa afyia njema na maisha mazuli duniani na akhera amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu
mashaalla mungu akuongoze shaf
Maashaallh. Allah awape.uhai mlefu wenye heri. Waadhili wetu
MashaAllaah wa Alhamdulillaah Ustadh Shaffi Allaah akubariki daaimah
❤️Mashallah Wasomeshe waelewe
Masha Allah shafii Allah awalipe pepo Soteni Kwa juhudi munayo yafanya
Hongera sana shafy mungu awangsmize maduwi zako akiepushe na husda zao amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu
Masha allah hakika waislam ndio walimu wa elimu ya dini
Mashallah!!
Shafii, shomar pango nakupenda sana kisha na Mazinge
Mash Allah, mw/Mungu azidi kuwalinda n awape maisha yaliyo mazuri duniani pia n akher❤❤
Wallaah shafii Allaah akupe umri mrefu kwaajili ya umma wakiislam na hawa wasokua waislam uelewa wako niwa kiwango cha juu sana na shida ya hawa ndgu zetu uelewa wao niwa chekechea. Na inshallaah Mungu ndo anatoa hidaya atamuongoa amtakaye ila ujumbe unafika
Mashallah.. Allah anauthibitisha Uislam kuwa ndio dini ya Haqq na yeye pekee ndiye anaepasa Kuombwa na Kuabudiwa...Lakini bado Makafiri wataendelea kupinga na kusema kuwa Yesu ni Mungu sijui nani aliyewaroga hawa watu..
Mashaa Allah Shukrani xana akhui hakika hivyo ndivyo uislam ulivyo mzuri.
Ustaad Shafii Mungu akubariki maa shaa Allah
Mtihani sana , Asante sana sheikh shafii Allah akuhifadhi sana
Allah akuzidishie ilmu Sheikh Shafi jazakallah
Allahu akbar shekhe shafii anafafanua vzr mpaka unahisi wivu kwanin wote wasisilimu tu
Holy Trinity imepikwa... Mungu ni Mmoja! Issa Ibn Maryam ni Mtume...
Masha Allah ustadh Shafii Allah akujaze kheri
Ndacha mkenya kalewa na hicho Kiswahili 😂😂😂
Wanaangaika huku mara kule sabab ya kukimbia ukweli
Shafii hongera sana😅
Asiyeelewa haya huyo atakuwa ni sikio la kufa...Innalillahi!
Ndacha kwishaaaaaaa
Huyu ndyo anafaa kuitwa Doktori tena anatakiwa apewe tuzo ya Nobel ya lugha ya kiswahili ooh no serikali inabidi imtumie kama mwalimu kuwafundisha wazungu kiswahili 🇹🇿
Ni seme tu kiukweli umeelezea vizuri sana tena bila kutumia Quran Naamini wenye akili wataelewa tu mdogomdogo. Allah akulinde nakuombea sh. wangu usijepatwa na mitihani ya sifa kama Sule mpaka akapitukia
Mashaallah
Masha-allah ❤❤❤❤
Allah akbar ❤
ALLAH Akbar....amidu huwa wanifurahisha shana
Amenikimbusha Ustadhi Saidi Juma Kinyogoli vile amemtandika Ndacha na wenzake Ule mdahalo ngine Miaka miwili iliopita
Kipigo kizito alopigwa ndacha hem acha kupotosha ndacha ndugu yangu wambie watu kua uislam ndio dini
Allah akbar
Hhhahh kwaio sote n Wana waaa I say nyiny wakristo mnazambi mpka mnajishtukia wenyew
Jazakallah
Asalam alaykum Mimi naona madam imekwisha tunamuombea Pasta Ndacha aukubali ukweli huu. Ukweli Ndacha ni Mwalimu ila hii mada imekuwa nyeti imemlemea ukweli lazima usemwe.
Shekhe shafi wewe kiboko wape elimu awo waongo wanaowapotosha wenzao
Duh yaani mpororo tu Shafi kiboko yao
Shekh shafii, as,alaykum wewe ndio kiboko yao
NJOO UJIONEE KATIKA PAGE YANGU KAFARA ZA HATARI
Acha ushabik wewe sijaona chochote kutoka Kwa Shafi😂😂😂😂 hayo alisema ni kuelewa kwake tu hakusoma mahali tu 😂😂😂 Ndacha kamuona Kwa kio tu 😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ndacha ww silimu tu umeishiwa hoja acha kujikausha bwana
Wakiristo yesu ni mwana wa Mungu katumwa na Mungu. Ukiuliza Je Mungu ni nani una ambiwa Yesu 😂😂😂 jamaa akili zao hawa atar
Hawa nikiambiwa akili zimechanganyika na mavi nakubali
Kiswahili kitaam jamani
Kama hawajaelewa hapa basi watakuwa wanamatatizo
Sio awaelewi hao ndio wale kuni ya motoni kuelewa wanaelewa wanafanya makusudi.
😂😂😂 wakristo tuna nyooshwa
😂
Ndacha chubwiii
Uliogopa ku upload ile ya mtume Muhammad 😂😂😂😂
yaani wasiposilimu jahannam ni haki yao
Wakristo wa dunia nzima nawausia msilimu msipo silimu jahanamu inawasubiri
Wakristo yaan ni makafiri waliyopotea
Akuna kitu Apana boxi tupu tu ili
Wapendwa upande wa sauti mnatuangusha
Wakristo kiswaili uwa kina wapiga chini sana
hawajui kixwahili hawo makafili xhehe wetu mungu awabalik
Umeasa kukatakata kuwa furahisha wezio sio kweli wwe utabatiswa tu
Yani wewe hata kiswahili bado hujaelewa? Mtu akisha itwa kafiri wala kusikia hawezi kusikia ndo wewe
@@NyirantokiZaharamaan ya kafiri unajua na km unajua Kati mim mkiristo na wwe mwislmu nani kafiri? Eti sijui kswahili jibu bas km wwe unajua
Kwa kiswahili Shafii kambana jamaa😅
Tatizo mavi walio lishwa kanisani 😂😂😂😂
Sio lugha sahihi
Hahahaaaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
Waislam hawana lolote
Ndacha Mwalimu wenu kaingizwa cha kike hata Kiswahili cha bibilia hakielewi
Hana uwezo wakumshinda ndacha wewe
Kazi sana waislamu huyu nae ni mwalimu wa dini 😂😂😂😂
Kwanini ? Hana V8? Toa hoja sio taarabu
😂😂😂 kama ulichoandika ni kweli basi utakuwa na shida kwenye ubongo 😂😂😂😂
Unataka apge suti ndomana mnapgwa pesa na watumishi wenu kanisani kwa sababu amuwezi fikilia ata kidogo
Sikiliza kwa makini mafundisho usije ukawa na lakujibu baada ya kufa na sio ushabiki yesu ni mtume wa wana wa Israel alie mtukufu na kama muislam sisi tunamuamini ni mtume wa Allah na ni mtakatifu kaka chalse uislam ni dini ilionyooka ya ukweli fikiria tena kwa makini usipoteee
Kwakiristo bhana KWA wote si wanaombaga MUNGU baba mwaiyo nao ni waungu
Auna lolote ww ni mweupe
Wewe kafiri kweli
Ww kwani uwogopi. Nenda basi ukaulize swalilako mashehe wakujibu.iliutulie kafiliww
MashaAllah
MashaAllah ❤