We love you ustadh Shafi for the sake of Allah, wallah...we will support the work of Daawah in shaa Allah...salaam toka Texas...tunanufaika na kufaidika na kuelimika Allah awalinde...akuzidishieni elimu na hikma...na awajaze kila kheri
Napenda sheikh shafii anaongea taratibu na anaeleweka abwati wala afoki utumii nguvu sheikh langu kma ndacha mishipa ya shingo inamsimama povu la mdomo linamtoka hili kuwaaminisha watu huongo
Tunaamini TH-cam kutetea mnacho kifanya lakini inakuja shaka mnaweka vpande vya point zenu tu hii mnatia shaka na ukweli wa yote utapatikana kwa waliofika hapo tu
Muhammad Alioa Khadijah ambaye alikuwa Nun wa Catholic. Huyu Khadijah ndie Ali support vita vya Muhammad. Kwa hivyo Islam ilianzishwa na Catholic.Muslim ni Wana wa Catholic, Revelation 17:5. Ndasha naye ni SDA , SDA ilitokana na Miller ambaye alitoka Free Mason. Free Mason ni kikundi Cha Catholic.SDA ni Wana wa Catholic, Revelation 17:5. Kwa hivyo Hawa watoto wawili wa Kahaba Mkuu (Islam na SDA ), hawapaswi kupigana juu Wana mama mmoja . Wao wanafanyia Shetani Kasi. Tokeni Kwa Hawa makanisi potofu.Revelation 18:4.
Unachotakiwa kukijua ni kuwa Ndacha hana Elimu ya Sahihi juu ya Maandiko amejawa na mfumo wa kuyababaisha maandiko na kutaka watu wote waelewe kama alivyoelewa yeye bahati mbaya uelewe wenyewe ni finyu mno juu ya Maandiko ya Mwenyezi Mungu
Uislam ni dini ya haqqi
We love you ustadh Shafi for the sake of Allah, wallah...we will support the work of Daawah in shaa Allah...salaam toka Texas...tunanufaika na kufaidika na kuelimika
Allah awalinde...akuzidishieni elimu na hikma...na awajaze kila kheri
Tungetengeneza App ya kucangia,ili sehem zote tulipo duniani ili mihadhara hii ifanyike kwa ufanisi
Moja kati ya vitu ninavovipenda kwa sheikh shafii hana papara huongea tartibu na kaeleweka
Ndacha alikuwa anaitetemesha imani yangu ila wewe SHAFFIH unamfanya mtu yoyote awe na uwelewa na imani yake Mungu akuweke kadri awezavyo.
Wakristo hawana hoja kwa mtu aliesoma vitabu vyote
usitetereke imani yako ndugu yangu. tafuta elimu ili bilisi asikuchukue
Allah akuwezeshe
Tafuta mwanachuoni uitumikie ilmu ya dini yako usitetereshwe imani yako
Amen
Subhana Allah, nailo ndio lengo lao,si ķiteteresha tu,lengo lake akutowe hasa ktk imani,Allah akustiri ufe ktk uislam
Daaa atali nimejifunza alhamdulilah ❤
Shida nyinyie hamtaki kukubali yesu ni mungu
Rejea 6,,16 timotheo
Huyo mdacha hata aseme nini Iman yangu ipo pale pale
Nimeamini kwanba ndacha amuezi chafi
Yan yesu anausingizi waainagani hata dhoruba ya Majini inampata hasihisi asizame majini. Yesu ni waajabu sana
Lkin si alilala ila mungu halali sifa za mungu ushapewa kwenye zaburi au unaipinga zaburi
Ustadh Shaffih 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
MASHALLAH Sheikh Shafii
Yani sheikh shafii mungu azidi kukupa umri mrefu uzidi kutufundidh yani taratibu mpak mtu anaelew manshallah
ALHAMDULILLAH namshuru ALLAH! kwa kuzaliwa kitka uislim .. Safi sana ostaz SHAAF ALLAH akulinde. YA ALLAH! Tupe husni njema
Ameen
Mungu atujalie waislamu tuombeane dua na atupe mwisho bora 😢❤🎉🎉
Masha Allah God bless you sheih Shaffih
Kbs alhamdulila alanemal islam
Wallah nakupenda kwaajili ya Allah
Nampenda sana sheh shafi Ahpa Moçambique
NADACHA AMEKUBALI YESU SIO MUNGU.
Mashaallah
Ndacha tosha napenda mafudisho yake kuwa yesu Mungu
HAPO KWA MAWIMBI YESU ALIKUWA AMELALA USINGIZI, MUNAFANYA NINI MUSHAFUNGA MJADALA
Lazima waelewe ndio maana wanaslimu wale wanasoma sio kusomewa uwongo wa kubadilisha
Ndacha the entertainer.Anatumbuiza watu na kelele nyingi mno
Jamaa ametamba sana Wacha ndacho achukuwe ushukani ndio wataona moto
Mbona ya upande mmoja
Masha-allah masheikh wetu kwa kazi nzuri ya daawa
ndasha muongo makafili in awo
Nanyie wekeni vyenu
Napenda sheikh shafii anaongea taratibu na anaeleweka abwati wala afoki utumii nguvu sheikh langu kma ndacha mishipa ya shingo inamsimama povu la mdomo linamtoka hili kuwaaminisha watu huongo
Umeongea kweli akhiy
❤❤🎉
Ndio manake
Mungu ana mke lakini soma Hebews 1:3 huyo ndio yesu wetu he us the first born of all creatures ata mulie machozi
dini biashala sadaka inaenda wap
ndacha hana akili
Wakristo wanapiga viraka maandishi haswa Ndacha ni fundi wa kupiga viraka
Sheikh Shafy Shafy mdoggo
Weka number za simu
Sasaivi upotoshaji wakusilimisha waislamu wenzetu umebuma mmebadili mbinu yakutunzana pesa mlizo ziandaa.ndacha kiboko😂😂😂
Nenda kwa mungu wako yesu uko
Ndacha ukiwa na akili nzuri utamuona ni mbabaishaji tu.Hana lolote ni kurukaruka tu.
Tunaamini TH-cam kutetea mnacho kifanya lakini inakuja shaka mnaweka vpande vya point zenu tu hii mnatia shaka na ukweli wa yote utapatikana kwa waliofika hapo tu
Muhammad Alioa Khadijah ambaye alikuwa Nun wa Catholic. Huyu Khadijah ndie Ali support vita vya Muhammad. Kwa hivyo Islam ilianzishwa na Catholic.Muslim ni Wana wa Catholic, Revelation 17:5. Ndasha naye ni SDA , SDA ilitokana na Miller ambaye alitoka Free Mason. Free Mason ni kikundi Cha Catholic.SDA ni Wana wa Catholic, Revelation 17:5. Kwa hivyo Hawa watoto wawili wa Kahaba Mkuu (Islam na SDA ), hawapaswi kupigana juu Wana mama mmoja . Wao wanafanyia Shetani Kasi. Tokeni Kwa Hawa makanisi potofu.Revelation 18:4.
Ww ujielewi
Video za ndacha zikowapi ili tubaini nyinyi niwatu kati ya watu lkn utu unawatoka kwa ubnafsi
Hao wanaopost video za Ndacha uliwaona wakipost video za Shafii?
Ndacha katoka nje ya makubaliano ya vitabu vya kutumia...hvyo yupo out of debate kajitoa maskin hana jipya
Tafuta Islaah tv, Ustadh shafii online tv utapata unachokitaka.
Ziangalie kwa ndacha
@@kuzufaki1237 Nishatokaga huko
Wee mashiku ndio dunduka kabisa,mchungaji kabla ya Sala anafukuza mashetani anaamini haamini mashetani huyo mchungaji?
Kama dini inamini mashetani hiyo hiyo dini ya Mungu Islamic sio dini ya Mungu kabisa
Ndio hoja hii? Mzee au umeishiwa?
@@HemedSerious je ukrisro ni dini ya mungu na kama ni dini ya mungu lete andiko lkn pianikupe faida soma matendo yamitume 11:25-26 ndio hutajua
wewe ni 000000 yesu mwenyewe anamjua shetani
SAWA ILA SISI NDIO TUMEIPENDA MWENYEWE
Ww huelewi usilamu soma utaelewa Mungu n mmoja n mashetani n viumbe
Shaffi Hana lolote, heri Dr sulle, lakini ndacha ni kiboko yao
Hahahahaha 😂😂😂 unajidanganya ndacha kakomeshwa na shafii
Yesu alilala 😂😂mungu analala anko vip
Unachotakiwa kukijua ni kuwa Ndacha hana Elimu ya Sahihi juu ya Maandiko amejawa na mfumo wa kuyababaisha maandiko na kutaka watu wote waelewe kama alivyoelewa yeye bahati mbaya uelewe wenyewe ni finyu mno juu ya Maandiko ya Mwenyezi Mungu
Ndacha njaa tupu hajui anatumwa na freemason
@@AHMADSAMRI-j3dtatizo lenu hamsikilizi vizuli