Katika zawadi zote nilizopata leo siku ya idd hii kiboko aisee prof leo umenifurahisha sanaa sasa hapa sikukuu yangu inaishia vizuri ila kuna wakulungwa wapo vizuri kwa kuwahi kukoment like 5 kwa prof Jamal April #Teamthestorybook #Teamwasafi #Teamwcb4life
**Histry is Histry**bad or good is still HISTORY** as human am asking myself**WHAT is my HISTRY???which story w"ll I LEAVE behind at least for my own 3 children??mhh!! Sijui nafeli wapi kwenye haya maisha?? PABLO left his own history*what about YOU n I???? still thinking.bravo to you @JAMAL
Next time uje na simulizi ya el mayo .. Muuza madawa wa mexico ambae wa marekani wanamtafuta tangia miaks ya 80 lkn bdo hawaja mkamata adi leo na ni bado yupo hai
Narcos ndio kila kitu... inahusu historia yake Pablo Ile Queen of the south inahusu uingizaji wa madawa kutoka Mexico hasa katika jiji la Culiacan kuangia USA kupitia Texas
Uyu mwamba tunachakujifunza Hapa,sote tunatambua ili biashara ikue distribution strategy ni muhimu na upatikanaji wa biashara hiyo maeneo mengi,sasa uyu mwamba distribution plan yake🙌🙌🙌 ni master 🙌🙌🙌🙌 inabidi tuiangazie Kwa Ukaribu
Hy Mr Pablo Alihudumia raia kuliko selikali kama una ungana na mm gonga like twende Sawa
Nipewe likes kumi leo, straight outta 254🇰🇪🇰🇪
Same as Abel Mutua
Kuelezea kitu kigum kwa lugha rahis na watu wakakuelewa n kipaji,Professor huyu n gifted 🔥🔥🔥
Daah hii hatar saaana nakubar Professor Jamal 👏👏👏👏👏💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥
Professor jamal king of the story in the world 🌍🌎🌏
Daaaah kaka Jamal ni dondoshee ka like hapo nitambe nakukubali
Anae soma comments na kusikiliza Kama mm gonga like hapa
Sijawahi kosa story hata moko tangu enzi za Mtiga 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Just what I was waiting for.. gonga like km na ww ulikua ukisubiri hii
He is a real mentor ❤long life legend forever
Katika zawadi zote nilizopata leo siku ya idd hii kiboko aisee prof leo umenifurahisha sanaa sasa hapa sikukuu yangu inaishia vizuri ila kuna wakulungwa wapo vizuri kwa kuwahi kukoment like 5 kwa prof Jamal April
#Teamthestorybook
#Teamwasafi
#Teamwcb4life
🤩
Mambo
mambo
My best legend
Nampenda mno ,hasa kwene swala la kuwafanya wamarekani mateja 😘😘,rest in peace legend
😂😂😂😂😂😂😂
😂🤣😂😂😂😂🤣
Pablo ndo awe Roll model wangu tu .... Ni mnyamwezi sana
Kama unajua kua huyu jamaaa anajuaa basi like hapa
Sio anajua tuu najua kabsaaa
Hekooo Jamal Heko!!!👏👏👏👏👏
Nilikuwa nasikia tuu juu juu leo nimepata taarifa kwa undani zaidi. Thanks prof🔥🔥🔥
Kweliiiiiiiiiiiiiiiiiii professor N Mmoja tu Africa
Huyu jamaa (jamal) ni zaidi ya yeye alivyo walah anakipaji extra 👽
Don pablo escobar jamaa anastory tamu sana na ya kishangaza sanaa
Hicho kiatu ulichokivaa nimekielewa Professor 😘....Respect👮
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯
Nakukubali sana professor jamari hajawai kosea hata kidogo anae mpenda professor jamari japo like 50 tujuane
i apriciate Don Pablo the way alivyo drive his business "No matter how bad the business is just do it well" pablo Escobar
uliiangalya ile movie yake ya narcos inayoelezea jins biashara yake ya madawa alivoiendesha?
yes 100%
Nimemfatilia kitambo El Patron pablo
True
@@luqmanathuman5416 ?aq
Dude did a whole accent on us 🔥🔥🔥
Professor can I be your pupil?
my true legend Pablo
Pablo alikua mwema hata mm nampenda
Imekaa poa sana sema nakuomba ukipata wasaa utulete story ya Palestine vs Israel 🙏🙏🙏....
Kweliii
Very touching story 😢😢😢😢😢😢😢😢 love it.
Jamal unajuah 🔥🔥🔥🔥🔥🚒 mimih shabikih lakoh blood line 🧬🧬🧬
casto pablo suarez 🤴✈️
bro thanx for this naomba ongelea ishu ya money laundry #wasafi
I wanna be the next Pablo..
Nakubar proffersor 🙏
JAMAL JAMAL JAMAL nmekuita mara3 WE NI 🔥🔥🔥🔥
Lee professor Jamal April Escobar 🔥🔥🔥
My hero, mon héros et shujaa wangu.
Great voice
Nimeisikiliza sehemu nyingi hii story ila haijasimuliwa kma alivo isimuliwa professor
the king of April, big up sana, more creative bro
Sjui Nikoje tu ila mi namkubaligi sana Pablo 😁😁😁😁
Hunishindi mimi
Huyo mtu alikua genius
Hunikuti,yaani kikubwa alochonifurahisha ni kuwafanya wamarekan mateja
KAMA MIMI
Escobar 🔥 🔥
Hii story huwa naielewa sana big up
**Histry is Histry**bad or good is still HISTORY** as human am asking myself**WHAT is my HISTRY???which story w"ll I LEAVE behind at least for my own 3 children??mhh!! Sijui nafeli wapi kwenye haya maisha?? PABLO left his own history*what about YOU n I???? still thinking.bravo to you @JAMAL
My ribs😂😂😂😂😂
Nimeikuta hii story sehemu,wamedit ,nimekasilika,assante kwa story nzuri bro.
Pablo Emilio Escobar Gaviria moja ya kauli zake anazozipenda zaidi, ni “Plata o plomo” Hakimanisha "Pesa au risasi"
Pablo Escobar ❤️✨ watching from kenya
❤ yaaah ni nzuriiiii
🔥🔥🔥🔥🔥 the sound is lit
Watu wa zamani walikuwa wanakili Sana elimu ilikuwa ndogo ila akili ya maisha kubwa Sana
Wallah TNA ata mabaharia wa tz walisota sna 😂
😂😂
Sio wanaakili ila technology ilikuwa bado haijakuwa, now fanya upumbavu wako uone watu wanakudaka chap. 😊
😱😱😱 awesomeee
...My BIG Brother
Jamal Community teacher, message deliverer
Mmmh professor Jamal is great I like his stories
Next time uje na simulizi ya el mayo .. Muuza madawa wa mexico ambae wa marekani wanamtafuta tangia miaks ya 80 lkn bdo hawaja mkamata adi leo na ni bado yupo hai
😂😂😂 hiiii mpaka leo yupo
El Mayo amenaswa Marekani mwaka huu akinunua nyumba.
Nakubar Kaz yako kaka👊👍
Jamal April nakukubali kinoma sigmax mnyamaaaaaaaaaaa
Baada ya kusikiliza hii historia ya Pablo Sasa nimepata picha ya tamthiliya inayoitwa *Queen of the South *🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Katafute series ya narcos
Narcos ndio kila kitu... inahusu historia yake Pablo
Ile Queen of the south inahusu uingizaji wa madawa kutoka Mexico hasa katika jiji la Culiacan kuangia USA kupitia Texas
.
Mwenye kujuaa jina la hii movie alotumiaa professor naombaa anitajiee 🙌🙌🙌
Narcos ndio jina
@@winstonchana4834 thanks brooh
Kama unamkubaribali jamal gonga like
Uyu mwamba tunachakujifunza Hapa,sote tunatambua ili biashara ikue distribution strategy ni muhimu na upatikanaji wa biashara hiyo maeneo mengi,sasa uyu mwamba distribution plan yake🙌🙌🙌 ni master 🙌🙌🙌🙌 inabidi tuiangazie Kwa Ukaribu
safi Jamal..si utuletee story ya qriselda Blanco..the black window
Unyama uuu umetisha broo
Genious jamal
Professor 👊
My favourite story ❤😂🙌
Kiruuuu ☺️ Leo tu wadau likes at 10 tyu
Hi I am watching from Buguruni city centre Tz Dar
Buguruni sio city center kaka hahahaha
@@edithajovinary9961 😅😅😅😅
This true professor I had already read the book
I wish to be like pablo escobar and I must be as I need to be
💥🙏🙏🙏🙏nakubaliiii jeshiii🙋🙋🙋
Huyu mwamba nimemskia sehem nying ngoja hapa nimjue vinzur
Katafute series ya narcos utamjua vizuri
The story book on fire
Nimemkubali Sana uyu mwamba ase!!naimani amempa sehem njema pepon Kwani kuwasaisia maskini watu wasio jiweza hakika imemfutia mazambi yote
nzuri sana, shukran boss
Don pablo❤
Alichobugi Pablo Escobar ni kitu kimoja kuingia kwenye Siasa, angemsikiliza binamu yake angezinguliwa sana
Nimeisikiliza nimeelewa ki2 kikubwa sana🤝🤝
Napenda kuwa kama El patron
Muhuni pabloooo
Pablo was a beast
Fantastic sir
Congratulations Professa nice story
Jamal napenda upole'wako❤
Mimi pia mpole
Mshaanza
Good job brother I like it
Mashaallah darsa nzuri sana
The story book📙📖👍
Wonderful
Jamaa katisha🙌🙌🙌
Aweeeeeeeeeh
Naomba story inayohusu R A S T A F A R I... na king Haile selassie anahusishwa vp... Katika mfuo wa maisha ya Rasta
Keep it up bro
Role model wangu ni Pablo
Unaweza kaka
My role modele
Kazi kazi ✌️..
Jamani like zake mtega Simba ziko wapi gonga hapa👇
PABLO ESCOBAR SAFI JAMAL UMEMUELEZEA VIZURI SANA HUYU JAMAA
my role model
Uyu mwamba namkubali sna
The story of Pablo Escobar is very interesting Nat like that vtu muhmu ujataja
Ipo cku na mim nitakuwa km don pablo wa kwanza kutoka africa tena hp tz😅✊🏾