Ooh Bwana Yesu ninakuhitaji maishani mwangu Yesu Usiponisaidia ni nani mwingine Patakatifu pako, hapo ndipo nahitaji Mahali paa maana, juu ya yote Katika mikono yako mimi najiweka, nizungukwe mimi na uwepo wako Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu Ninachohitaji nikufurahisha roho yako Wewe rafiki mwema uliyenipenda. Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa Kuwa na wewe Yesu yashinda yote Ninachohitaji Yesu nikufurahisha roho yako Wewe rafiki mwema unaytuipenda. Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa Kuwa na wewe Yesu yashinda yote Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu Oh Yesu, Neno lako lasema siku moja katika utukufu wako Yazidi miaka elfu duniani Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako siku zote za maisha yangu Nahitaji mkono wako Niongozwe na wewe Bwana Kimbilio msaada wa karibu, ni wewe ni wewe. ni wewe. Nahitaji mkono wako Niongozwe na wewe Bwana Kimbilio msaada wa karibu, ni wewe ni wewe. ni wewe. Nahitaji mkono wako Niongozwe na wewe Bwana Kimbilio msaada wa karibu, ni wewe ni wewe. ni wewe. Niambie utakalo Bwana Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
This will always be my ringtone. I was involved in a tragic accident that killed my two friends and left my other friend crippled. I happened to survive. Nilikua nimeweka hii ngoma tukicrash.We crashed while listening to this song. God spoke to me through this song. Im crushed completely. Im hurt beyond repair. I feel like i need someone to talk to... hii song imenisaidia sana. Im breaking down writing this. Mungu saidia watu wako. Premature death itoke tu dunia hii. I can't speak enough. Mungu awabariki.
Leo nimeuskiza huu wimbo Kwa majonzi Sana.. Ndio nikaamua kumpa mungu moyo wangu . Sikuwahi fikiria nitaacha anasa za dunia na kutulia. Ila Leo nimeamini kua hakna kisichowezekana..😘 Sifa zangu zikawe manukato kwako. Nipokee ewe baba🥺
@Totoh sio Mungu pekeake alie guswa na hii coment yako,na sisi binadamu wenzako tunakupongeza sana hakika hautajutia huu uamuzi uliofanya Mungu akutunze 🙏
My favourite song God here I come back crying on my knees, I am not worthy but be my strength Ooho Lord guide me to the end of 2024 let thy see your wonders
Wale WA 2024 piga Lik hapa mpaka shetani ashangae umevukaje.mana huumwaka nikuongea na yesu mwenyewe Aliye tuvusha💪
🙏🙏
still a blessing
😊Qqqqqqq❤qqqq QA wanna as all what all
God has real being faithful kwetuu
Still a blessing
Wale walio walio barikiwa na huu wimbo tunapo enda kufunga mwaka weka like hapo plz
2024 and I still love listening and singing along to this song.
Who else loves it?
Me
Strength me , 🫂
Me
Still here in may 2024
Here I am
starting 2024
Nipee nguvu ya kushda majaribu Yesu
Nakuhitaji bwana
maishani mwangu😊
Nani mwengine anabarikiwa na huu wimbo till now nov 2024😊❤??
Who is still blessed by this song in August 2024? The Holy Presence of GOD is the best place to be.
Here
October 2024
Here am!...
Me
wale wa kurivist ,,,,,,gather here
2024 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 am here. Lord I desire to be Holy for you're Holy.
2023 mpo 🙏🙏
Kama unaisoma hii comment leo piga like hapa❤
I feel good listening to this song
@@pastorhelly2624 it's really a nice song
Nice ❤
Who is listening 🎧 2024
Here
Here
Me😂😂🎉
Tubarkiwe wte kuelekea 2025
Who is hear 2024😢 ❤1:07
Am here❤
Who is here this December?
Wale ambao bado tunaview huu wimbo kwa mwaka 2023 weka like hapa👏🙏
2023 and I'm still here..this song gives me strength
❤same 🙏
Me too👋
Same ❤
Same
Same 🙏
Wale wako hapa 2024🙏🙏🙌
Amen
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen
huu wimbo unanipa imani na kunipa nguvu.
Daah mara ya kwanz nafuatilia kipaj hiki cha ajabu barikiwa sana lets enter 2025 with this song"*
Who is still there in 2024 enjoying God's favour and restoration.
May HE who liveth above protect everyone ❤♥️❣️🎶🛐
Amen
Amen
Who else keeps on listening to this master peace ❤
❤❤ 2023/ dec / 23. patakatifu pako hapo ndipo naitaji . mahali pa maana ju yayote. 🎉😊
Wale wa 2025 mbarikiwe.
Amen 🙏
Amen
Weka like moja.halafu tuzidi kumfurahisha bwana wetu yesu kwanjia ya maombi🧎🧎
nakutahitaji Bwana maishani mwangu
Nipe nguvu Yesu
Ooh Bwana Yesu ninakuhitaji maishani mwangu
Yesu Usiponisaidia ni nani mwingine
Patakatifu pako, hapo ndipo nahitaji
Mahali paa maana, juu ya yote
Katika mikono yako mimi najiweka,
nizungukwe mimi na uwepo wako
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Ninachohitaji nikufurahisha roho yako
Wewe rafiki mwema uliyenipenda.
Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
Kuwa na wewe Yesu yashinda yote
Ninachohitaji Yesu nikufurahisha roho yako
Wewe rafiki mwema unaytuipenda.
Kwa ajili yako Yesu sisi tumekombolewa
Kuwa na wewe Yesu yashinda yote
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
Oh Yesu,
Neno lako lasema siku moja katika utukufu wako
Yazidi miaka elfu duniani
Yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako
siku zote za maisha yangu
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu,
ni wewe ni wewe. ni wewe.
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu,
ni wewe ni wewe. ni wewe.
Nahitaji mkono wako
Niongozwe na wewe Bwana
Kimbilio msaada wa karibu,
ni wewe ni wewe. ni wewe.
Niambie utakalo Bwana
Nipe nguvu ya kushinda majaribu Yesu
Nakuhitaji Bwana maishani mwangu
God,I need you in my life 2024💐
nipe nguvu ya kushinda majaribio YESU........
Eee mwenyezi mungu naomba unipe nguvu ya kushinda haya majalibu yesu
love it dj cruzz nise songs
Napo ndipo nahitaji😭
In this difficult time in my life nakuhitahi yesu
2024 and the song sounds fresh... Wapi likes
Naupenda sana huu wimbo.
Zidi kunipa nguvu Bwana,nakuhitaji Bwana maishani mwangu
This will always be my ringtone. I was involved in a tragic accident that killed my two friends and left my other friend crippled. I happened to survive. Nilikua nimeweka hii ngoma tukicrash.We crashed while listening to this song. God spoke to me through this song. Im crushed completely. Im hurt beyond repair. I feel like i need someone to talk to... hii song imenisaidia sana. Im breaking down writing this. Mungu saidia watu wako. Premature death itoke tu dunia hii. I can't speak enough. Mungu awabariki.
Amen
May God give you strength and renewed hope 😢
God be with us always
Your blessed and favoured dear 🙏🏿
Wale ambao Bado tunbalikiwa na wimbo huu mwaka 2023 gonga comment hapo
Barikiwa zaidi 🙏🙏🙏😥
Mikononi mwako najieka
Namshukuru Mungu amenivusha 1:57 1:59
Tanzania 🇹🇿 like 👍 hapa
❤
2024 all the way💪
4:00 gives me goosebumps each time, a masterpiece this one, amen.
Hakika wimbo ni wa rohoni kwelikweli
2024 still here...lord give me strength
Niambie utakalo Bwana, nipe nguvu ya kushinda majaribu 2024,nakuhitaji BWANA maishani mwangu. 🙏
Asante nambalikiwa na hii wimbo kila siku ❤❤❤❤❤❤❤
Ninataka watoto Yesu
Umebarikiwa sana Mtumishi katika KRISTO YESU 🙏🙏
Mungu niondolee uvimbe na unipatie watoto na mimi niitwe mama
Utaitwa mama katika jina la Yesu
@@WambohMuriithiamen dear
Mungu atajibu
2023 and still watching❤
2024 still my song
Nipe nguvu ya kushinda majaribu bwana 😢
Hiii song hua inakumbusha Paulo mcheshiii pale milele fm...
Ni nguvu ya kushinda majaribio (YESU)
What I can say to the almighty.....is just Amen to all he is doing to may life
This is 2023 I'm still listeninng to this song 💥💥
Wimbo huu wanifariji mm sana Amen
All we need is Christ .
Leo nimeuskiza huu wimbo Kwa majonzi Sana..
Ndio nikaamua kumpa mungu moyo wangu .
Sikuwahi fikiria nitaacha anasa za dunia na kutulia.
Ila Leo nimeamini kua hakna kisichowezekana..😘
Sifa zangu zikawe manukato kwako.
Nipokee ewe baba🥺
Amina shikilia Yesu mpaka mwisho dada
Welcome to the kingdom of our Father LORD JESUS may he give you grace to maintain wokovu
@Totoh sio Mungu pekeake alie guswa na hii coment yako,na sisi binadamu wenzako tunakupongeza sana hakika hautajutia huu uamuzi uliofanya Mungu akutunze 🙏
Amen,may the Lord sustain you in Jesus name.
Amen 🙏🙏 kwa YESU kuna raha isiyokua na mwisho
november 2024❤nipe nguvu ya kushinda majaribubYESU
2023 Kwa mpigo sana
Am here listening 😢😢
My favourite song God here I come back crying on my knees, I am not worthy but be my strength Ooho Lord guide me to the end of 2024 let thy see your wonders
Amen 🙏
As I crossover 2024..tafadhali Bwana niambie utakalo ,nipee nguvu ya kushinda majaribu..hili ni lombi langu..
Isaiah 1:18-20.
Wow uu wimbo umenitia nguvu ❤❤❤❤❤
Am here in 2023 bcoz God has already made it my year.
Of songs that bless my heart!
nahitaji kuokoka,nirudisheni kanisani
Who is watching with me this masterpiece.God grant your every need
I rem my friend who used to like this song but passed on 2020 rip Deborah
Deborah who my friend also passed away that year her name Deborah sleep well my friend 💗
This song' is a masterpiece. Kenyans here,drop your likes❤
This song (prayer) came to my mind since the beginning of Aug 2024.I believe God is communicating to me.God bless bro Eric
A song to walk through with🙏 nikiwa gulf
2024 and the song is still a blessing.To God be the glory 🙏
Asante sana Yesu rafiki yangu mwema unayetupenda🥰🙏
2024 nipe nguv ya kushinda majalibu yesu
The best song all the time
Amina
2023 na bado tuko hapa! This song wow!
2024 .. September date 1st.. lord I need your presence 🙏
Am still here 2023 piga like patakatifu pako hapo dipo nahitaji 🎶🎶🎶this song never get old
God,Godooooo!niambie utakalo tu
I sung this song in a dream tóday...seeking God's message through this song❤
I surrender to you Lord 🙏🙏🙏
...kimbilio msaada wa karbu!hakuna mwengine
Here 2024.... lord i pray this be my year🙏🙏🙏
1982 bado tupo
I listen to this every morning and it strengthens me.
Very powerful glory be to God❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Let's share our Love for this song even now 2023
Mm nime viw 2023 jnry,
if you are listening to this may our heavenly father answer your prayers in Jesus name
You too
@@bonifacegitari2276 amen
Amen
Amen
Amen
Nyimbo ni sala tosha October 2024
December, 2024 Glory be to the most high.❤
Am still viewing it in 2023 April... very powerful song
Wale bado tunaview this song 2020 gonga like...
Aa
Niko hapa 9.9.2020
Niko 👍👍👍👊
Nipenguvu yakushinda majaribuuu yesa
@@sosmanumbu837 yesu sio yesa😎😎😎
indeed this song is a spiritual touch.Its 2023 and we still here...
😅
Sometimes it is hard but God give me strength to overcome every temptation 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sasa ni mwaka 2022 lakn bado naona ni mpya kwangu
Still listening to this beautiful music in 2024 August 🙏🙏🙏🙏🙏