Jmn tujibidiishe kusoma na kusomesha hii simulizi imenikumbusha mbali yaani wazazi wetu walipata shida unakuta boyfriend ya mtu amekuja alf mama ndiye ana mkaribisha kisha anasema msichana wngu anasoma kisha anamwambia mwambie anisaidie na kile kitabu kinaitwa I want to meet with you mama anatumwa na msichana mwambie niko na ile inaitwa go and come at 4pm my mom Will not be around heheeee matondo babu kakitusi 😂😂😂😂
Dah 🤦nimechelewa leo jamani .., hiyo picha na mwanya umenikosha jamani...Asante kwa simulizi tamu na nzuri ...hongera anko jay..siungeoga kwanza ndio uuze maziwa🤣🤣🤣🤣
like hapa kama unapenda simulizi mix
Like kwako ANKO JAY KIUKWEL SIMULIZI IPO SW ILA DUH LEO NIMEWAH WANGAP CJUW😁😁😁😁
🤣🤣🤣🤣umechelewa leo anko jay kachangamka hatari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nainjoi sana simulizi zako anko j
Waooo asante kwa simuliz ank j mwenyew kupendaga saut na usimuliaji tu big up kwako
Yani hii simulizi anko j umejua kunichekesha shukran sn broo shukran sn smix
Anko jay unavopenda kujisifia sasa😀😀😀
Leo mim wa kwanza nipen like zang izo anko j ww
🤣🤣🤣
Kwakweli ninoma hiyo
Wangap mnasikiliza
Una vituko anko jay🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁
Anko jay mambo ni fire da hija nairobi
Weweeee.ankoj
Tunainjoi kinoma
Mara moja miez mitatu kuoga khaaa nimecheka kwa saut
🤣🤣🤣anko jay uko handsome
Anko jay wewe ni bonge la handsome buana 😂😂
Hhhhhh
Ngosha the don mangosha tujuane hapa
🤣🤣anko j jamani kaka yangu ndo anakandamiza hivo
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tooop l👍
😂😂😂😂😂
Dah imenikuta njiani
Jamaniiii anko jy ww nimnoma sana mngu akulinde kila wakati 🎉🎉🎉
Weee ankojay mwenyewe ktk ubora wake twende kazi ❣❣💯💯💯💯
Ushuzi wachoklet jmn umekaaje 😂😂😂😂😂😂😂😂
Anko jay mwenyewe tunainjoi kwa simulizi tamuuu thank you anko jay 🥰🥰 like zenu tumewai leo🤣🤣🤣🤣
Tunai njoi kinoma jei
@@allymanyoya919 umeoumeonaeee tunainjoi tuuu
Umependeza
@@allymanyoya919 Asante kipenzi 🥰🥰🥰
Simuliz nzuri anko j, matondo naye ulikuwa mwalimu wa wanawake..
Matondo nimchafu aaaah miezi 3 uoge mara mbili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Yaaani 😂😂😂😂
Haki Leo anko J.umenichekesha sana yani eti kajamba unanukia chocolate mmmm uuuiii
Matondo mkali wao umesugua kweli
Hahaha meno mekundu kama ukwaju anko jaytItwa meno njugu
Huo mziki ni kero sana kelele na ni uck jamani.kwani kunaulazima gani.unapunguza ladha ya simulizi ondoeni
"huu ni mwanzo, sasa itakua je huko mbeleni. Mama kaleta maxingzong😃😀
Matondo ana nongo atarii 😁😁😁
Anko jay ni bonge la hensam kama msomali
Anko jay tuko pamoja bro
Matondo nae hata kujuana hamjuani mara moja tu khaaa
Sasa Anko Jay ,je kama uki handsome kama MATONDO , kuoga je ?
MATONDO mwenye kuoga hidi Miezi 3
You pafect
Woow very lntresting story🙏🙏
I really like my jay jamani 😩 your voice omg!! I wish u was mine 😫
Toba
Lol jk
yarabiii
😂😂😂😂😂unamwili gani anko g😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Anko kwakujisifu hajambo 😂😂😂😂
Anko J again 🔥🔥🔥
nime cheka adi basi😂😂
Jmn tujibidiishe kusoma na kusomesha hii simulizi imenikumbusha mbali yaani wazazi wetu walipata shida unakuta boyfriend ya mtu amekuja alf mama ndiye ana mkaribisha kisha anasema msichana wngu anasoma kisha anamwambia mwambie anisaidie na kile kitabu kinaitwa I want to meet with you mama anatumwa na msichana mwambie niko na ile inaitwa go and come at 4pm my mom Will not be around heheeee matondo babu kakitusi 😂😂😂😂
😂😂😂
😄😄😄😄🤔
😂😂😂😂Myezi mitatu kuonga malamoja
Ni kweli ushuzi wa choclate itakuwa hadija alikula maharage kunyamba huko vipi hahaha
Dah 🤦nimechelewa leo jamani .., hiyo picha na mwanya umenikosha jamani...Asante kwa simulizi tamu na nzuri ...hongera anko jay..siungeoga kwanza ndio uuze maziwa🤣🤣🤣🤣
Wou unanimaliza pana
Hiii story 🔥🔥🔥kweli kweli
Yaa Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes
Anko jeyww
Ngosha the don ajui super market 😂😂😂
Kila siku mm wa mwisho daah inauma
Guys munazidi ss
piko wenye hawalalaki ,acha kwanza nifate history yangu
Eeeeewaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂 nimecheka Hadi mkojo umepita na sio uongooooo jamaaaaaaa😂😂😂😂😂😂🤦🤦🤦💗💗💗🌺🌺🌺🌺 any l like that story so very to much nice 💗💗🌺🌺💗💗
Anko j na Felix nawapenda sana vijana mko vizuri sana❤️😘❤️😘
Sana
Matondo we proffer muuza maziwa😂😂😂😂😂😂
Bac Anko j huwa jangoji kucfiwa yy hujicfu mwenyewe
From rags to riches. Murwa sana na shukran Anko J. Anti J hapa😅😅😅
Big up Anko j ,ila kwa izo swagger zako
Nadhani watoto wa watu unawapelekeaga moto sana dar
Afu ukienda songea kwenu lazma😂
P
😂😂😂😂😂
Matondo miezi 3 huksoga
Sio mchezo matondo kila game ana hatrick watt wanajamba tu
Hahahaha
Kweli wanajapa
Matondo 😂
😂😂😂 msukuma matondo
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Mashallaa 🥰🥰🥰💯🙏🤣🤣
🤭🤭🤭🤭🤭🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥👌
Hahahhahaa 😆 mashikoro mageni. bhebhe .mkigwaa. genayaa😂🎉
Story tamu sana. Anko J wewe ni moto kwa kupandisia 🇰🇪
🤣🤣🤣🤣
👌👌👌👌👌
Noma Sana 🤣🤣
Ank mmmh sauti iyo❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤👌
Dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 simulizi nzuri sana
Noma😂
Et ngosha the don kwenye zali la mentali😂😂😂
❤️❤️❤️
Anko Jay ety ushuzi una harufu ya chocolate 😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu miye 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂NGOSHA weeeeeeeeee
😁😁😁😁🤣
❤❤❤❤❤❤
Akuna mwenye anajiachaka nyuma Anko .j we ninoma
Ahahaaa nimecheka leo anko jay unalaana khaaa😂😂😂😂😂
Yaan mim nimechekaaa Ila nyie hv Anko j unanini wewe 😂😂
Vijana wakiume acheni tamaa za ngono
😅😅😅😅😅😅😅😅 ushuzi unanuka chocolate
LORD HAVE MERCY 😂😂😂🤣🤣🤣🤣VERY ENTERTAINING 🔥🔥👏👏 ANKO JAY
Ancojay matata wewe😅😅😅😅😅
Aaa! Munyatuzu huyu 🤣🤣
Yaani matondo Leo umenifanya niwe chizi wa kucheka 🤣🤣🤣
Haha 😄 🤣
Story tamu kweli
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anko ji unatuma mutu Asikia kusisimuka.nakupenba.sana
🤣🤣🤣🤣🤣
Ako j nsababu yakuto kataa kwan hujui kukataa unakula kk na vicarage vyake
Sio poa yan
👌👌👌👌👌
Sio mchezo matondo kila game ana hatrick watt wanajamba tu
❤❤❤
🤣🤣🤣🤣