HOUSE GIRL EP 26-27 | BUSATI TV | HOUSE GIRL EP 26 FINAL REVIEW | PREDICTION Ya 4 Scene Zijazo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024
- WhatsApp For More Update link 👇
whatsapp.com/channel/0029VaeF...
Explanation About The Video..
Kwenye Video Hii Utapata Prediction review 4 ya House Girl series ( Ep 26 ) bila kusahau utajuzwa kuhusu mambo ambayo Nimeyapenda na Yale ambayo sijayapenda
Kama Hujaangalia Full Video za House Girl Series Full Video Zinapatikana Kwa BUSATI TV Mjini TH-cam.
Important: This Videos are very Special For Review , Commenting & Predicting the Upcoming Scene According to What Is Going on to the Current Series, As well as Introducing or Telling You where the Videos are Found in Specific Channel.
If you see Bad use of This Video or Picture please contact with us Via Email www.kiboxmedia@gmail.com
NB: Video Hizi ni Maalumu Kwa kukosoa & Kubashiri / Prediction ya KAZI ya Sanaa Kwa lengo la Kuboresha au Kutabiri Yajayo | Kama Utaona Kuna Matumizi Mabaya ya Video Hii au Picha Hasa Kwa Mmiliki/ waigizaji Tafadhali Wasiliana Nami Kwa Email www.kiboxmedia@gmail.com
Copyright Disclaimer | Under Section 107 of The Copyright Act 1976, Allowance is Made for Fair use For Purpose Such as Criticism, Commenting, News, Reporting, Teaching, Scholarship, and Research..
Other Search Keywords.
house girl ep 26, house girl episode 26, house girl episode 27, busati tv house girl ep 27, busati tv house girl, house girl ep 25, house girl ep 26 busati tv
#kiboxmedia #moviereview#busatitv
Alafu siyo Kundule Bwana ni Kilamba Ukwaju au Mpumbavu mwenzangu 😂😂
Jamani Ahsante Kwa Kunirekebisha na Niombea Samahani kidogo Kuna Jina Nilichanganya Baada ya Kusema Kilamba Nikasema Kundule.. Nimekosea Jina Bahati mbaya , Mnisamehe Sana 😌🙏❤️✌️
Atapona inshaallh kwa uwezo wa mungu inshaallh
Lakn baba kai naomba apone ajekujuwa
🙏❤️✌️
Cha muhimu baba n zuu wapone and Niko shua watapona Kwanza babake kai akipona yy ndio atasema ukweli au Rafiki Wa kendy ndio atafichua Siri Yte Alf babake kai mm Naomba apone ju akifariki kai ajipange wallai
😂🙏❤️✌️
Huyu kendi mbaya sana
😂🙏❤️✌️
Move ninzur Sana nimempenda zuuh
🙏❤️✌️
Baba kai apone jamni mfanye mfNyavyo huyu mzee asife akifa move haitokuwa nzuri tena
🥲🙏❤️✌️
Nataka zuu apone Na aolewe Na kai
🙏❤️✌️
Wanapitia wakati mgumu sana kati ya Zuuuh na baba Khai lkn utafika wakati watakuwa SAWA na furaha itarejea lkn malipo Kwa wale maadui ambao wanajidai kuwa wameshinda kumbe wamejiandalia moto wenyewe
🙏❤️✌️
Pliz episode 26 iendeleeee utamu ulioje
Mwisho wa ubaya aibu
😂🙏❤️✌️ sawaa 🤸
Jamanii nyingine Iko wapi nimezubri sana🎉🎉🎉🎉❤❤
Ipo juu hapo
Mbona mnachelewe sha sana jaman
Tutajitahidi iwahi ✌️❤️🙏
Timu zuu tunanasubir candy yamkute magum
🙏❤️✌️
Wote watapona na wataowana yaani arusi itafanyika y azuu
🙏❤️✌️
Tunasubiri muendelezo jamaniiiii
🙏❤️✌️ Sawaa
Mnacheleza sana episode 26
Tutajitahidi iwahi ✌️❤️🙏
Yote lkin candy nataka kimrambe Hadi atubie ajute 😢😢😢😢😂
😂😂😂✊✊🙏❤️✌️💪
EP 26 jamani🙏
Jamani tuna omba mwendelezo26 na 27 saivi mna chelewesha
🙏❤️✌️✍️
Bwanaeee wana chelewesha wanani bowa😅
@@AsNew-w6i imesha Toka ❤️✌️🙏
Jamani mm naifatilia tu
🙏❤️✌️
jamani tuomba muendezo 26 na 27 mnatuchereweshea
🙏❤️✌️ Sawaa ✍️
Inshallah tuombeni mungu apone home harusi ya mwanae
🙏❤️✌️
Ss tunataka baba kai apone, kendi kitamurmba zuu ataolewa na kai 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂🙏❤️✌️
❤❤❤❤
🙏❤️✌️
Tunasubil muendelezo jaman
Sawaa 🙏❤️✌️
Baba kai asife
🙏❤️✌️
Zu, ndio Mrs org wa, kai, natamani kuona wali
😁🙏❤️✌️
Baba kai jamani mungu akuponye❤
🥲🙏❤️✌️
Naona patamu hapo
😂🙏❤️✌️
Tunaiomba jamani ya26
@@user-uk1oc7xb4r sawa 🙏❤️✌️✍️
Mi naomba Uyo kendi kimrambe
😂✌️❤️🙏
Mm naoenda kibox media kwamana unayo yanena ndiyo yanayo tokea ❤lakini mi nataka zuu na bb kay wapone alafu Candy arudi kwenye ukica aone matso zuu amepitiya😢
🥲🙏❤️✌️
Huyu baba .niapone.tuone atamsaidia.vip.kai
🙏❤️✌️
Shida yetu Baba Kai! apone na Zuu
🙏❤️✌️
Baba Kai na zuu wapone jaman😢😢😢😢
🥲🙏❤️✌️
Ss tunataka baba kai apone,kendi kitamurmba zuu ataolewa na kai
🙏❤️✌️
Apa muhimu ni baba kai apone pamoja na zuu hizo story zengine badae 😂
😂🙏❤️✌️
Tatizo munakawiza sana
🥲 Tutajitahidi iwahi ✌️❤️🙏
Tunaomba mwendelezo wa 26 27mbona mnachelewesha
Sawa 🙏❤️✌️
Wapone kwa hraka sana
🙏❤️✌️
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏❤️✌️
Nimewahi leo
🥰🙏❤️✌️
Bibi zuu attitude mjukuu wake
🙏❤️✌️
Andika vizuri Nimetoa vimacho Sielewi hapo 😂😂
Yani Mimi sjafulaishwa na Kai kumlaumu lafki ake
🙏❤️✌️
Tuacheni mv mbili mbili jamani
Sawa nitawajuza nyingine inatoka Saa ngapi 🙏❤️✌️
Zuu arudi haliyake jaman
🥲🙏❤️✌️
Wapone tuburudke😢
🥲🙏❤️✌️
Kama kina ss atujuwe kizugu tutafaya. Je?????
😂 Jamani Mbona Kiswahili unaweza Wala Usijali wote nawapenda mpo sawa 😂🙏❤️✌️
Kende atimuliw
😂🙏❤️✌️
Kwauwezo wake mung atapona baba kai
🙏❤️✌️
Jamani tuna iomba
Chamuhim zuu ane
🙏❤️✌️
Kendi lzm kimrambe Nina imani
🙏❤️✌️