AIC BUJORA CHOIR - NIINUE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @StevenErnest-mz2jm
    @StevenErnest-mz2jm ปีที่แล้ว

    Nice Mungu awainue juu zaid

  • @shujaazfilmsproduction7115
    @shujaazfilmsproduction7115 4 ปีที่แล้ว

    Naomba kuunganishwa na mwalimu tafadhali,,..... nina kazi naye

  • @shujaazfilmsproduction7115
    @shujaazfilmsproduction7115 4 ปีที่แล้ว

    naupenda sana uimbaji wenu wana BUJORA. Ni Jay nikiwa ng'ambo kenya Nairobi.

  • @elizabetnyanzala8059
    @elizabetnyanzala8059 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo huu unaujumbe mzuri sana endeleeni kupiga injili watumishi wa bwana

  • @evalinalushinge5628
    @evalinalushinge5628 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri, mbarikiwe sana

  • @josephkafumu6921
    @josephkafumu6921 4 ปีที่แล้ว

    Naukubali sana kazi hizi no za kisasa mitambo mizuri Ila ushauli wangu tumieni vyombo vya mziki asilia magitaaa yote vinanda vipigwe laivu inapendeza sana vipaji vinapotea mtawatafuta kwa tochi

  • @patrickadam714
    @patrickadam714 3 ปีที่แล้ว

    BWANA awatunze

  • @WorldNatureChannelTanzania
    @WorldNatureChannelTanzania 4 ปีที่แล้ว

    Duuuuuu,,,balaaa zito hongereni sana watumishi

  • @petermussa871
    @petermussa871 3 ปีที่แล้ว

    Ameen 🙏

  • @barikifrester4405
    @barikifrester4405 3 ปีที่แล้ว

    A good song I like to listen

  • @shujaazfilmsproduction7115
    @shujaazfilmsproduction7115 4 ปีที่แล้ว

    nawezaje patana na mmoja wa mcheza vyombo wenu.. Tafadhali

  • @barikifrester4405
    @barikifrester4405 3 ปีที่แล้ว

    A good song

  • @arijidottolifabundala4139
    @arijidottolifabundala4139 2 ปีที่แล้ว

    Habari kunamwalimu wakaya alisha wahi kufundisha hapo anaitwa rukasi ruhahula naomba alie manamba yake anisaidie