Nyimbo nzuri ila video sio nzr kuna vipande vina ukungu .. rangi usoni mweupe mikono njano miguu inaweusi halafu kuna vipande wanavyokesea vime wekwa ....kw hatua ya choir ilipo fikia albam4 haitakiwi kufanya vitu vya kubatisha... mmejitahidi m barikiwe
Kazi nzuri; mbarikiwe.
Jamani jamani mmeua chukueni maua yenu 🌹🥀mungu awabariki sana
Mumefanya vizuli Sana Wana wa mungu Safi mbarikiwe na huyu mungu wa mbinguni
hongereni sana wanakwaya Mungu awabariki sana kwa nyimbo zenu nzuri
Mungu awabalik sana kwa ujumbe mzur
Amina nimebarikiwa sana...kazi yenu ni nzuri hamjawah kuniangushaa🙏💪💪💪👊
Asante sana mpendwa
Amen mungu awatie nguvu na msonge mbere zaidi kumwimbia utukufu wake mbarikewe sana watu wa mungu
Mungubazidi kuwatumia wimbo mzuri sana mme jitahidi san na mungu awabarkii
Mungu awabariki kwa kazi ya uimbaji awainue kwa kiwango cha juu
Nadhani mnatisha kwa saana!! Mungu awainue zaidi. Hallelujah Kwa Yesu Kristo! Pokea Sifa na Utikufu ni vyako milele.
Watu wote tusogee mbele za yesu
kazi nzuri mbarikiwe watu wa mungi
Mungu awabariki kwakazi nzri .🎉🎉🎉
Hongereni sana kazi nzuri Mungu wa mbinguni aibariki
Mungu aibariki huduma hii njema
Aminaaa sanaa watumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏💕
Nimebarikiwa Sana na sogea uvae Mungu azidi kuwatumia kufikisha ujumbe wake
Kwakweli hongeren sana watu wa Mungu kaz nzur sana
Tuendelee kusogea kwa Yesu ili tuvae nira yake,
Nimebarikiwa sana watu wa Mungu na wimbo huu
Amina mtumishi
Hongelen mko vizur lazima mbingu mlikanyage mngu awabaliki sana
Sogea uvae ,,,,,,,,,, amina
Mungu awabariki sana❤❤❤
Mungu awabariki sana
Mungu awabariki watu wa Mungu
Wanajua sana
Napenda nyimbo zenu sana.. Mungu Awatie nguvu zaidi
Amina mpendwa
May the Lord continue using you for his own glory. Shalom
Bwana awabarki iko vizur
Mungu awabariki
Wimbo mtamu sana. Mbarikiwe wapendwa!
Amina watumishi wenzetu tuzidi kulitanga jina la Yesu kristo
Kazi safi na ya kubariki sana. Mungu awainue
Asante sana mpendwa
I really like that song, vocal Iko another level
Tunawaomba watu wa Mungu mtuunge mkono pia kwa SUBSCRIBE kwenye account yetu mzidi kupata kazi zetu kwa wakati.
Be blessew
Asanten sana wapendwa kwa kututia moyo Mungu awabariki sana.
Amen
Nyimbo nzuri ila video sio nzr kuna vipande vina ukungu .. rangi usoni mweupe mikono njano miguu inaweusi halafu kuna vipande wanavyokesea vime wekwa ....kw hatua ya choir ilipo fikia albam4 haitakiwi kufanya vitu vya kubatisha... mmejitahidi m barikiwe
Asante mtumishi Kwa ushauri tumepokea