@@Givendivine Hayo sio maandiko ya Mungu bali ni maneno ya waandishi wa Bibilia kwa sababu Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma katika viumbe vyake vyote na kila kiumbe amekipa haki yake na katika sisi Wanadamu anatutaka tuhurumiane na kupendana na amesema kwake mtu bora kabisa kuliko ni yule ambaye ni Mucha Mungu kisawa sawa hata awe masikini kapuku madamu ni Mucha Mungu huyo ndiye anaye mkubari sasa Boss unazurumu wafanyakazi wako make hata kumtumikisha kazi nyingi kija kazi wako kwa malipo kidogo nayo ni dhuruma, kumpotezea muda mtu nayo ni dhuruma,Wapi Mungu kasema kwamba Matajiri wenye mali nyingi bila ucha Mungu wataingia peponi ?
Docta sule Mungu amempa ufahamu mkubwa sana ubrikiwe
Tunashkur Sana kwa SoMo zuri shekh mwenyeezmungu akupe umri mrefu
Shukrani doctor nikweli
Best Doctor dar Salaam..
Kweli Doctor Wachawi wanaharibu maisha ya watu....
assalamualaiku Dr sulle Niko Msumbiji Maputo na nahitaji namba zago kwa sababu nikipiga na nambari nyingine ya TH-cam haipigi por favor
Nimekuelewa sana dokta sure ..
Tafadhali naomba nambari ya sheikh Dr sulle
Toa namba
Sasa huyu shekh tunampataje tukimtaka
Ni kweli hata maandiko yanasema vijakazi wawatii mabosi wao na mabosi wawatumikishe vijakazi wao wala wasiwahurumie
Hapo umesema kweli
@@Givendivine Hayo sio maandiko ya Mungu bali ni maneno ya waandishi wa Bibilia kwa sababu Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma katika viumbe vyake vyote na kila kiumbe amekipa haki yake na katika sisi Wanadamu anatutaka tuhurumiane na kupendana na amesema kwake mtu bora kabisa kuliko ni yule ambaye ni Mucha Mungu kisawa sawa hata awe masikini kapuku madamu ni Mucha Mungu huyo ndiye anaye mkubari sasa Boss unazurumu wafanyakazi wako make hata kumtumikisha kazi nyingi kija kazi wako kwa malipo kidogo nayo ni dhuruma, kumpotezea muda mtu nayo ni dhuruma,Wapi Mungu kasema kwamba Matajiri wenye mali nyingi bila ucha Mungu wataingia peponi ?
camera kali
Hasante sheikh
Mim naitaji namba ya doct sule pliss
Dr sule munngu akuweke naomba nambari zako
Kumbe ndomana luto anasumbua watu fani yake ni mbeba nzege ila anafos kuwa laisi😂
😂😂😂😂❤
sasa utajuaje nyota yako inaitaji ufanye nini ili utoboe?
Kwaiyo tuje kutafuta utajiri kwako.. Anachekesha uyu jamaa.
Kwa iyo shetani nguvu yake kubwa sana..anapangua alichokupangia Mungu...
Acha nyambu sule wewe cy sheikh....wewe ni KUHANI MSHIRIKINA.....
𝑻𝒉𝒂𝒏𝒌 𝒚𝒐𝒖 𝒅𝒓 𝒏𝒂𝒐𝒎𝒃𝒂 𝒌𝒖𝒌𝒖𝒐𝒏𝒂 𝒋𝒂𝒎𝒆𝒏𝒊
𝔻𝕣 𝕤𝕦𝕝𝕝𝕖 𝕒𝕟𝕠𝕔𝕙𝕠𝕠𝕟𝕘𝕖𝕒 𝕟𝕚 𝕦𝕜𝕨𝕖𝕝𝕚 𝕞𝕥𝕦𝕡𝕦 𝕙𝕦𝕪𝕦 𝕛𝕒𝕞𝕒𝕒 𝕙𝕦𝕪𝕦 𝕛𝕒𝕞𝕒𝕒 𝕟𝕚 𝕘𝕖𝕟𝕚𝕦𝕤