Aminaaa....Aminaaaa....Amina sanaaaa. Tangu kuamini nitalisifu jina lake. Hakika Mungu ni mwema sana ktk maisha yetu,ukimwamini Mungu hata magumu anayarahisisha. KAC mbarikiriwe sanaaaaaa❤❤❤
Mwende mbali kuelimisha kurudi ktk uimbaji wa kiadventsta navutiwa najinsi mnavyopangilia nyimbo hzi zimekuwa ni tamu sana duh tangu kuamini bwana awabariki sana sana tena sana
❤❤barikiweni sana, kwaya hii imenifanya kuuona mguso mkubwa katika nyimbo za Kristo
Am blessed with the song, and the speech b4 the song
Naomba Mungu azidi kuwatumia. Be blessed
Waoooh!
Mungu awalinde KAC.
Nyimbo zenu zote ni Moto.
Hakika wimbo mtamu unabariki sana Mungu awabariki
May God keep you safe Kirumba SDA choir am blessed. A lot without single songs my is powerless but with one song from you power dwells within me.
❤
Aminaa!
Watching from Kisii - Ke
ameen. listening from Kenya nairobi
Barikiwa sana
Waaaaoooooh
Ameeeeeeen
Mungu awabariki sana
Hakika kila mtu ana wimbo wake tangu kuamini mbarikiwe
Amina!
Waiting😊
Very sweet song, you made it not boring!! I am very blessed
Be blessed for the well organised and nicely unique arranged song ...
Waiting. There
Nimebarikiwa na wimbo huu
Tangu kuamini Bwana amenipa burudiko katikati ya changamoto tele
Nilikua nasubiria kwa Hamu kubwa sana huu wimbo Mungu awabariki sana binafsi mnanibariki sana kirumba❤❤
Amen
Bwana awabariki sana tunazidi kuwaombea ibirisi akawaepushe msonge mbele
Familia!❤️
Amen🙏🙏
Mubarikiwe
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 Ameeeen
Nakumbuka December nilikaa kwa TV kuangalia season 3 Sasa mwanzo adi mwisho kwa kweli KAC Mungu awabaliki sana
Nawapenda
Karibu Dec homecoming
@@StellaMabamba Asante sana nitakaribia kipenzi
Thankyou for the good music
Ameeeeeeeeeen Mungu apewe sifa 🙌🙌🙌dak 1 ya kuwaombea
I'm waiting for this song My Best be bleessed more
Aminaaa....Aminaaaa....Amina sanaaaa.
Tangu kuamini nitalisifu jina lake.
Hakika Mungu ni mwema sana ktk maisha yetu,ukimwamini Mungu hata magumu anayarahisisha.
KAC mbarikiriwe sanaaaaaa❤❤❤
Amen. Tubalikiwe sote
Amen
huuu wimbo niliusubiri kwa hamu saaaana balikiwa sana kirumba💔💔💔
A very blessing song
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Nabarikiwa sana
Mungu atukuzwe sana. Tuna barikiwa kutoka drc bunia
Amina
Kwa kweli ninao wimbo mtamu rohoni... Baada ya dhiki faraja hufuatia
Aminaaaaaa KAC
Praise be to God, indeed tangu kuamini nitazidi kusifu jina lake kwa mengi amenitendea!
Tangu kuamini, nitaendelea kulisifu Jina la Yesu.
Ameen
BWANA ATUKUZWE SANAAAAA
Amen amen
Asanteni sana kwa nyimbo nzuri ..Mungu awabariki sana.
Hallelujah
nabarikiwa sana na nyimbo hizi nzuri , zinaniamsha kiroho ❤
Tangu kuamini is my best song
Next iwe tumesikia mbiu please 🙏
🤣 tumepokea
@@slyvestermayala7045 😂😂 Asante
Mwende mbali kuelimisha kurudi ktk uimbaji wa kiadventsta navutiwa najinsi mnavyopangilia nyimbo hzi zimekuwa ni tamu sana duh tangu kuamini bwana awabariki sana sana tena sana
Wimbo wako ni upi...??
Amen 🎉
Amen
Amen Amen