Umeanza kutukuza watu, badala ya kumtukuza Mungu kwa ajili yao, utamfanya aanze kuwa na kiburi na kuniona bila yeye hakuna anayeweza kama yeye, au akiwa katka huduma kama hii ya uimbaji ataanza kutaka kujionesha ili atazamwe na kusifiwa na watu,mwishowe Ibada inahama kutoka kwa Mungu inaelekea kwa mtu na kuanza kujiona na kiburi juu, na kuanguka kama alivojiinua lusifa mbinguni na kupelekea anguko lake.
Nyimbo zenu hazichoshi kuangalia na kuckiliza,Hadi nachelewa kulala kwa ajili ya kurudia rudia kuangalia. Nyie watu Mungu awanyenyekeze mfike wengi❤❤❤❤❤
Our God deserves such order! Uimbaja ulio na uungwana kweli...... Waimbaji, wacheza vyombo wuee. Mungu atukuzwe sana!
Nice & balanced voices....The conductor of the choir knows his work.Kudos! ❤❤❤
Mungu aendeleze kazi hii ndani yenu, umoja na mshikamano ktk kumuinua yeye isikome hata ajapo
Kama kanisa la wa Adventist wasabato tungeimba hivo katika kila kanisa naimani malaika wa MUNGU wasingekosa kujihudhulisha. Pamoja nasi mbele za Mungu
Uyo Mtumishi anaepiga dram huwa napenda kumuona maana kazi yake anafanya vzuri sana
Umeanza kutukuza watu, badala ya kumtukuza Mungu kwa ajili yao, utamfanya aanze kuwa na kiburi na kuniona bila yeye hakuna anayeweza kama yeye, au akiwa katka huduma kama hii ya uimbaji ataanza kutaka kujionesha ili atazamwe na kusifiwa na watu,mwishowe Ibada inahama kutoka kwa Mungu inaelekea kwa mtu na kuanza kujiona na kiburi juu, na kuanguka kama alivojiinua lusifa mbinguni na kupelekea anguko lake.
Nabarikiw❤a sana na nyimbo zenu❤❤❤😮😮
UTUKUFU KWA BWANA, MBARIKIWE SANA KIRUMBA SDA...
Mnatubariki sana. Mungu azidi kuwalinda kwa ubunifu wenu mzuri mnaimba kwa utulivu wa Halifax ya juu barikiwa walim wote
Waimbaji wa hii choir wote waingie peponi
Tunabarikiwa sana Kwa huduma yenu,tuanzidi kuwaombea sana,zaidi BWANA akaitunze hii kazi na wafanyo ili kuzidi kubariki watoto wake
Amen mtakatifu ni MUNGU mwenyezi tu mbalikiwe sana MUNGU awatumie zaidi
What a beautiful way to praise God! Well arranged, controlled and rendered. Praise be to God
MUNGU awabariki sana mnatugusa sana
Amina! Mungu wa vyote hata milele.
Mibaraka iwafikie wanaKirumba kwa sauti za kupendeza na kusifu Mungu
Amen sana Bwana azidi kuwatumia kwa kadri ya wingi wa fadhili zake
Wanapenda KAC ❤
Nyimbo zenu hazichoshi kuangalia na kuckiliza,Hadi nachelewa kulala kwa ajili ya kurudia rudia kuangalia.
Nyie watu Mungu awanyenyekeze mfike wengi❤❤❤❤❤
Amen Amen
Taji mvikeni
Ni Mtakatifu
Tanzu ya Yese
Mbarikiwe sana ughaibuni huku tunajiskia kama tupo nyumbani kabisa 🥰
Amen .sifa na utukufu ni kwa Bwana kwa kuwawezesha kubariki watu wake❤
Ewaaaaaaa!
Nyie watu nyie!
Au bac,Mungu awalinde na kuwatunza.
Mnajua hadi mnajua tena🥰🥰🥰🥰
Kuimba kwa akili❤❤
😂
Mungu aendelee kuwabariki
Amen be blessed much KAC for every nice songs
Amen, Bwana aendelee kuwabariki
Being blessed from Kenya 💖💖💖💯❤️ can you do soon #174 tukimngojea I'll really appreciate
Just stay tuned😊
Mbarikiwe Sana watumishi wa mungu
Always mko juu hongereni ❤
Sifa na utukufu zimrudie Mungu wa mbinguni
Hongereni sana kwa kazi yenye utukufu kwa bwana
Bwana apewe sifa.
Utukufu kwa Bwana kaniaa la kirumba.
Taji mviken ni balaaa
Glory be to God Almighty. Hallelujah to Him Amen
Mbarikiwe sana Kirumba
Naomba project yenu ijayo muimbe JE NANGA YAKO
Mtanibariki sana mkileta mbaraka huo kwa sauti zenu
Ninabarikiwa Sana 👏👏👏
Amen amen amen
jamn mmetuzuia kudownload
Hallelujah Hallelujah❤️🙌🏻
Beautiful singing
Good 👍 👍 👍
Amen!
Amina Amina 🙏
Oooh hallelujah 🔥🔥🔥🔥
Gory to our God
Mbarikiwe
Haleluya
Amina
Great
Amen
Amen 🙏🙏
❤❤❤❤
Ameni
Amen Amen
Barikiwa sana kwa kuwa wakwanza kuufuatilia wimbo Huu
Amen! kuna namna mnagusa pale nipendapo mnanibariki sana
Mbarikiwe sana wapenzi
Ilibidi nisikilize tu ata kama na usingizi 🤣
Endeleeni kutubarili
@@NeemaWillison-tn2oy ubunifu wao uko mbali sana
@@NeemaWillison-tn2oy na wewe pia ubarikiwe
Holy holy🙏
❤
Amen
Amen
Amen
Amen