Asanteni mmemsaidia Kaka yetu God bless you msimjudge hamjui what’s going on na maisha yake asanteni kwa upendo wenu ana nyota ya mapenzi na anampenda sana mama yake
Toka utotoni ndo alivo na alikuwa anapatikan Sana kweny misiba maharusi na kipindi hicho utakuta Kuna msani amekuja wanampitisha kweny gari la matangazo alikuwa anapenda Sana kufuata Sana gari la matangazo ko sio kama anatania ndivo alivo
Wabongo bana wanapenda! Kuendekeza vitu ambavyo havina maana ! Kuna Wana vipaj vy kuzaliwa (Kuna dg atengeneza pkpk ndg inayofanya kaz Kama pkpk kubwa wameshndwa kumuendeleza )Africa tutaendelea kua nguma kwa kusaport ujinga!
😂😂😂😂😂Watoto wake wanasoma form4 Hadi chekekechea aiseee nimecheka kumbe ni chenga kweli mm nlikuwa najua anatuigizia bhana All in All anapiga pesa zake bhana
Watu hawajui tu, Biashara zinazolipa Duniani ni za kusapoti ujinga.Watu wakiwa na stress ujinga ndo unakuwa kitu chao cha mwisho kuwaza ili kuwa fresh,pombe,bangi,madawa,sigara yote hayo ni ujinga unaoingiza pesa nyingi hata Chiku hapo atawaingizia majamaa pesa za kutosha tu.
Kila mwanadamu ana thamani yake wengine mama yake alichekwa alizihakiwa kwa kuzaa mtoto mwenye ulemavu wa akili hii ni fundisho kwa jamii kuthamini watu wa aina hii na Kuwapa mahitaji sawa na wengine ikiwepo elimu malazi na chakula ila afunguliwe akaunti iendeshwe na mzazi wake kwa kumsaidia zaidi hali kadhalika bima ya afya
Hii Ndio ule msemo na Mwenyezi Mungu atakuruzukuni kwA njia ambayo hamkuitegemea , ni hafadhali analipwa maana duniani hivi sasa Kuna watu wanajua kutuma bila Kulipa , hongereni nyie muliompa ajira chikumbaga
kwenye mfumo wa kibepari, kila kitu ni bidhaa, wamasai ni bidhaa,wahadzabe ni bidhaa,chikubalanga bidhaa,pierre bidhaa...... commodities nikila chenye manufaa bila kuangalia utu wa watu.
@@rogermomodesty3568 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jmn ay Kaka Ila hawez kupata kulingana na anchofanya Alf anagalia chain iyo mpk inamfikia mama itakuwa shlng ngap any way nasubr kuona mafanikio yake inshallah
DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248
Jamani uyo meneja mbn haeleweki anavyojibu khaaaaa watakuwa wanampiga Sana ela Mana mm simuelewi jmn yani hayuko makini na majibu kitu si kitu anajibu yeah
Mwenyezi Mungu akubariki Roby kwa kimsaidia Chikumbalaga
Thawabu utashindwa kuzibeba bro take my word.
Nimependa hapo anapopunguza bei ya viatu na wakati mwingine anauza bei mbaya 😄😄 very fun him! Mungu ampe faraja ya maisha yake ❤
Mi amenifurahisha sana alivosema nampa mama namkubali sana mtu anaemkumbuka mamake,big up chiku
Mmefanya vizuri sana ku m support chikumbalaga. eti mtoto ana soma from 4 to chekechea.😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Roby umenifurahisha kuna muda anauza bei ya chini Sana kuna muda anaongeza Sana bei za viatu una upendo Sana Robby mungu akubariki.
"Nampa MAMA".. kaiongea kwa upendo kweli!
Sanaaaa
@@kelvinnhambert2617 and could not find the my resume
@@kelvinnhambert2617 and
@@kelvinnhambert2617 and could
@@kelvinnhambert2617and and
Yni watu wa Ayo tv wananchanganya kabsa saut zao znafanana km nawe unaona km mm gonga like ako!!!
Asanteni mmemsaidia Kaka yetu God bless you msimjudge hamjui what’s going on na maisha yake asanteni kwa upendo wenu ana nyota ya mapenzi na anampenda sana mama yake
Am from Kenya and I love how Tanzanians love and promote their own .Yani mnapenda vijana wenu jinsi walivyo.Hamna dharau...God bless Tanzania 😘😍😗
Amen stay blessed dear
Dah hili dish hapana asee🤣🤣🤣🤣anamsubiri zuchu mpaka kesho
Watoto wake wanasoma Form 4 hadi Chekechea ..VeryFunny😛
😃😃😃😃
Kanichekesha kweri
🤣🤣
Nina miaka 73 nimezaliwa mwaka 2015 😂😂😂😍
Piga kelele moja kwa chiku akeeeeee nataka like zenu jaman
Weweeeeeee😂
Weweeeeeee
Hiv ndo alivo au anaigiza?safi sana watu wasimrubuni au kumtumi bila maslahi kuna kipind alikuwa mchafu but now hongera piga kazi Chiku🤗
Ndivo alivo toka utotoni huyo
@@godfreyjames5523 Unamfaham Kiundan Sana Etiee
Yeah namfaham vzr Sana time tunakuwa miaka ya 2003 hiv
Toka utotoni ndo alivo na alikuwa anapatikan Sana kweny misiba maharusi na kipindi hicho utakuta Kuna msani amekuja wanampitisha kweny gari la matangazo alikuwa anapenda Sana kufuata Sana gari la matangazo ko sio kama anatania ndivo alivo
@@godfreyjames5523 aahaa sawa halaf uzur hana fujo hata na watu wanapenda sana na yuko mikonon mwa mtu anaejulikana👏
Hiyo nampa MAMA nimeipenda sana ❤🙏
MashaAllah anamkumbuka mama yake hiyo ni baraka kubwa sana
Mama Ndio kila eti oooh Bila malezi asingekua hapa Miss you Sana mama 😭😭
@@khamiskamtoi5094 pole kaka😥
Kwani ana shida gani chiku
Kabisaaa nimeipenda hiyo 🤗
Wabongo bana wanapenda! Kuendekeza vitu ambavyo havina maana ! Kuna Wana vipaj vy kuzaliwa (Kuna dg atengeneza pkpk ndg inayofanya kaz Kama pkpk kubwa wameshndwa kumuendeleza )Africa tutaendelea kua nguma kwa kusaport ujinga!
Bwanake Zuchu Mungu amlaze mahala pema
Duhh kweli mungu hana kamati ila nanyinyui munaomtumia kumbukeni utu zaid ya musije mukamfanya ndo msukule wenu huo kwa maslah yenu mungu ibariki Tz
I love him
he ez intelligent ..I give my money to maama that statement made my day
Mwenyezi mungu aendelee kumuongezea akika mwenyezi mungu anampa ampendae
I swear confidence ya uyu jamaaa is outta this Space Daaah.
Ana miaka 75 alafu kazaliwa 2005 , hapanaaaaaa 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆😆😆
😀😀🤦♀️🤦♀️
Very confidential 🏃🏃🏃🏼♂️🏃🏃🏃🏃🏃🏃
M
😭😭😭😭MAMA jaman achen mama aitwe mama tu mama ananafas kubwa hapa dunian🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
FORM4 ADI CHEKECHEA. Ndo seemu yangu iyoooo
Hapo kwenye mama 🙏🙏
Kwenye mama hukosei
😂😂😂😂😂Watoto wake wanasoma form4 Hadi chekekechea aiseee nimecheka kumbe ni chenga kweli mm nlikuwa najua anatuigizia bhana All in All anapiga pesa zake bhana
Nimecheka kwenye bei mara anapunguza sana mara anaongeza sana,,,,,,, mi naomba akipunguza bei mnishtue nije
Nimecheka sana jaman bongo rahaa😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@daliaabdullah5756 yaani natamani mkataba wa mwarabu uishe hata leo nirudi nyumbani ,kuna vituko balaa
Nasoma comment yako nikiwa kenya, unafurahisha kwelikweli
Form four hadii chekecheaaa 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa ashatoka hvo jitie uchizi uwe na maisha mazur
He has a thing with the number 5.
exactly
Huyu jamaa fala sana😂😂😂
75years 👉🏻2015😂😂😂 iyi kali kbs
Mara ya kwanza kumuona huyu jamaa ilkuwa viwanja vya TIA mbeya tigo wakiwasha na wasafi .
Daaaaaaaaa jmn miaka 70 kuziliwa mwaka 2015🤣🤣🤣 bongo raha san
Good good 👍
Uyu jamaa msimcheke ana tatzo kwenye ubongo wa mbele pia na kupoteza kumbu kumbu..hafanyi makusudi
Watu hawajui tu,
Biashara zinazolipa Duniani ni za kusapoti ujinga.Watu wakiwa na stress ujinga ndo unakuwa kitu chao cha mwisho kuwaza ili kuwa fresh,pombe,bangi,madawa,sigara yote hayo ni ujinga unaoingiza pesa nyingi hata Chiku hapo atawaingizia majamaa pesa za kutosha tu.
Mungu akiamua kukupa hakuandikii barua 😂😂 haya mambo utayakuta Tz tu.
Hapo sasa ndo ujue Tz ni nchi yenye Upendo na amani
Kawazidi wengi sana, maana kakutana na mastaa wengi sana hapa tz! Kismati,,🙏
Jamani nimecheka mie jaman uwiii🤣🤣anamiaka 70 kazaliwa 2005,watoto wanasoma 4m4 mpaka chekechea 🤣🤣🤣
Mbona Tshirt la GNM CARGO 🤔🤔 wasafirisha mizigo China-Bongo
Kariakoo sehemu gani yubo
Mungu akitaka kukupa yaani sababu
Kila mwanadamu ana thamani yake wengine mama yake alichekwa alizihakiwa kwa kuzaa mtoto mwenye ulemavu wa akili hii ni fundisho kwa jamii kuthamini watu wa aina hii na Kuwapa mahitaji sawa na wengine ikiwepo elimu malazi na chakula ila afunguliwe akaunti iendeshwe na mzazi wake kwa kumsaidia zaidi hali kadhalika bima ya afya
Am the #SNS’s Best #MVS
Safi Sana,,Mbarikiwe..
mna mpush mtu ambaye hata uwezo wakutumia pesa hanna??? huo cutapeli huo??
Mucheki Giva akiwa na sitamina ngoma kali sana
Hii Ndio ule msemo na Mwenyezi Mungu atakuruzukuni kwA njia ambayo hamkuitegemea , ni hafadhali analipwa maana duniani hivi sasa Kuna watu wanajua kutuma bila Kulipa , hongereni nyie muliompa ajira chikumbaga
Hakika
Broo unamoyo mzuri Sana,boss Kama boss
Watoto wake wanasoma FORM4 HADI CHEKECHEA
😂🤣HII DISHI KWELI IMEYUMBA🤣😂
Nimecheka balaaaa yaani
🤣🤣🤣🤣 hak wallahi
😂😂😂
siku1 atafka mbal ucmdharau mtu ucie mjua
😂😂😂😂
Mungu azidi kumuongoza kaka huyu
Ameen
Ameen
Amiin inshaallah
Ameen
Amin
Nimeregesha regesha sana nyuma hii video kucheki hao watoto warembo
Mwaisa mmefanya vizur sana bhogwamwitu naona hapo green City Mbeya na songwe City mmetisha sana
Huyu mwamba kazaliwa mwaka 2005 ana miaka 75 Mungu amuongezee
Hua Anafurahisha San Huyu Mwamba
Itakua kunamda anauza kiatu kwa buku jero.... Pia kunamda anapandisha mpaka lak tano....
Huyo mbona Kama kichaa
He was born 2005
And he's 75
Lmao 😂😂😄
Wanna have this confidence
Oollh mashallah sawa vizuri allah Hafiz inshallh nimefurah sana kweli
Hebu nitafkie kazi za ndani uko we kaka wa Oman 🤣🤣🤣
@@khadijaahmed7455
😂😂achana na mambo ya oman
Njoo S.A
@@johnmatiko2596 weeee niko tayari mwanya ata kazi ya kutawazisha vibibi 🤣🤣🤣
@@khadijaahmed7455
Kuna lockdown huku na korona 😂😂
@@johnmatiko2596 apo sasa ndo mizinguo na kikubwa naogopa kupimwa kile kipimo cha kutatua marinda
Tanzania nchi yenye upendo na Amani
Kakwambia nani?
Uyu Jamaa anazidi kutoboa safi sana
🤣🤣🤣
Nakweli
Zuchu umesikia ujumbe huku mama unasubiriwa
Anatoboa wakat chenga
🤣🤣🤣🤣🤣
Ana miaka 75 Kweli ataweza biashara huyu 😢😂😂😂
Ila mumuelewe tu huyu jamaa koz ni maumbile tu na ndio maana Mungu anamfungulia njia zake za kimaisha. ...
Kwakweli,vitu vingi vinavyofanywa nabaadhi ya wanadamu kujipatia ridhiki ni Mungu anatoa
Duu ni noma ww chikumbalaga hawo watoto umezaliswa lini
Mtangazaji sauti yako km ya Ayo
Tz wana upendo sana
Sponsor ni handsome namfananisha na Ben poul
kaka nitumien namba ya miradiayo ni shida naye please
Nenda dm ya mirad mwenyewe utampat
kwenye mfumo wa kibepari, kila kitu ni bidhaa, wamasai ni bidhaa,wahadzabe ni bidhaa,chikubalanga bidhaa,pierre bidhaa...... commodities nikila chenye manufaa bila kuangalia utu wa watu.
Hata maafisa usalama wa taifa wanukuaga hivihiviiii😁😁😁
Uyu jamaa masihara masihara anatoboa . maisha ni wewe mwenyewe 😂😂😝😝😝😅
Hana akili ya kutoboa maisha uyo Yan hapo hata hela anayopewa Wala haijui shlng ngap
Tulikuwa Tukimuona Kitaa Aseeee
VP akili zake ziko vizur
@@deelissa2746 ndio lakini si anapewa MAMA yake shida iko wap
@@rogermomodesty3568 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jmn ay Kaka Ila hawez kupata kulingana na anchofanya Alf anagalia chain iyo mpk inamfikia mama itakuwa shlng ngap any way nasubr kuona mafanikio yake inshallah
70 nimezaliwa 2005 hiii 🤣🤣🤣
😂😂
Kazaliwa 2015😄
Amuwezi Aminu nampenda sana uyu mkaka
😭😭😭
Huyu mtambo
All in all #chiku very famous.tunduma #tunajivunia .
Ndagu hii
Kweli kama ipo ipo tu daaah sawa bana 😀😀😀😀😀💃💃💃
Km nilisikia Hana mama
Kweli Mungu hamtupi mja wake
🤔🤔☻75 kuzaliwa 2005 mungu ni saidie mimic 😂😂😂😂🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️
🤣🤣🤣🤣🤣chezea mwanakamati wa kudumu ww yuko vzr
Ukitaka Ratiba Za Sherehe Chiku Anajua Hakuna Sherehe Au Msiba Ambao Hayupo Asee
Daaah mm ni kucheka Kabla sijamaliza hii interview
Wamfanya kivutio.du!
Nimeipenda
DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... .
Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo.
1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia
2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk
4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility)
7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
🔟 Inarutubisha mayai
NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao
Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi
Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248
Jamaa anasubili zuchu mpaka kesho mama anauza mkaa....daah
Juitt
🤣🤣
Namkubali sana chikumbalanga
Ana miaka mingap na amezaliwa lini jaman emb nisaidieni 😀😀😀😀
Amezaliw 2015
🤣🤣🤣🤣form four adi chekechea
Eti Sponsa 😂😂😂. Maisha haya
Mama , ni kweli kabisa
Wale wadad wapend nyota mje upes chikubalanga ana nyota ya mapenzi
Anazngua hata interview hainogi
Bora afanye kazi hiyo kuliko kuiba, pambana
Safi kabsa ....umeongea point
Hpo kwenye kuongeza bei na kupunguza 🤣🤣🤣kazi ishamshinda
Jamani uyo meneja mbn haeleweki anavyojibu khaaaaa watakuwa wanampiga Sana ela Mana mm simuelewi jmn yani hayuko makini na majibu kitu si kitu anajibu yeah
Mia 75 sasa hyu c atafanya mess kw biashara walaii🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🇰🇪
😀😀😀😀
Mwiaka 75 alizaliwa 2005 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umekosea si mwiaka
Uyu siataribu biashara kama mambo nikama ao..
Huyu jamaa haziko sawa
Huyu mkimpa auze viatu vyenu atawauzia watu jero jero na atazidishia watu chenchi, maana ana majibu ya papo kwa papo
Wanasoma form four hadi chekechea
Daaah maisha hayana formula kima sihara anatoboa